Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

- Kwenye hizo picha zote za Dr. Slaa Alabama naomba nionyeshee picha moja yenye kiongozi wao Mweusi, aibu sana!!

Le Mutuz
In November 2000, Alabama became the last state to overturn a law banning interracial marriage. The one-time home of George Wallace and Martin Luther King Jr. had held onto the provision for 33 years after the Supreme Court declared anti-miscegenation laws unconstitutional.
 
Hilo la kuambatana naye wala si kubwa lililotuchefuwa bali Josephine kuwa na guts za kuja kututukana hapa JF watu wenye akili zetu na hadhi zetu kwa kutumia ID ya Jemedari wetu tunayempenda na kumwamini Dr Slaa.

Sasa tumeamka na tutafuatilia kwa karibu sana nyendo zao. Hatuwezi kuchaguwa Rais tunayempenda Dr Slaa halafu nchi ije kuongozwa kwa maagizo ya Mwanamke asiyekuwa na adabu kama Josephine.

Mkuu Matola, mbona wajishusha kiasi hiki!!? Ni nini kimekupata!!!? Ktk bandiko zima sijaona mahari umejadiri umuhimu wa safari hii ya Dr. Slaa!! Umejikita zaidi kwa huyu Mama ukisaidiana na Lumumba!!!!

Sioni ubaya wa Josephine kuambatana na Mme wake ikiwa safari hii wala haiihusu CHADEMA. Yawezekana wao kama wao ukizingatia Josephine ni mjasiliamali/ mwanaharakati, na Dr ni mwanasiasa wameona watembelee USA kwa ajili ya kujifunza. Sasa hapa kosa liko wapi!!?

Nitakubaliana na tuhuma zenu ikiwa tu mmoja wenu atathibitisha kwamba safari ile ni ya kichama, ndipo tuanze kujadir uwepo wa Josephine!! VINGINEVYO TUNAPOTEZA FURSA MUHIMU TULIYONAYO KWA KUJADILI UPUMBAVU KTK MAMBO SENSITIVE!!!

TUBADILIKE JAMANI!!!
 
- Ndio nini hii unajua maana ya kuoa mzungu Alabama ni marufuku sheria bado ipo vitabuni mkuu!1

Le Mutuz
The Alabama Interracial Marriage Amendment, also known as Proposed Statewide Amendment Number 2, was a legislatively-referred constitutional amendment on the November 7, 2000 ballot in Alabama, where it was approved.[SUP][1][/SUP]

  • The amendment repealed Article IV, Section 102 of the Alabama constitution, which had prohibited interracial marriages.
[h=2]Election results[/h]
VotesPercentage

[TH="colspan: 5"]Alabama Amendment 2 (2000)[/TH]

[TD="colspan: 2"]Result[/TD]

[TD="colspan: 2"] Yes [/TD]
[TD="align: right"] 801,725 [/TD]
[TD="align: right"] 59.49% [/TD]

[TD="colspan: 2"]No[/TD]
[TD="align: right"]545,933[/TD]
[TD="align: right"]40.51%[/TD]
Results via: USelectionatlas.org.
[h=2]Text of measure[/h]
“Proposing an amendment to the Constitution of Alabama of 1901, to abolish the prohibition of interracial marriages. (Proposed by Act No. 1999-321)[SUP][2][/SUP]

[TD="width: 20, align: right"]”[/TD]
[h=2]Path to the ballot[/h]
  • The amendment was proposed by Representative Holmes.
  • The amendment was also know as HB 13 (1999) and Act No. 1999-321.[SUP][3][/SUP]
 
In November 2000, Alabama became the last state to overturn a law banning interracial marriage. The one-time home of George Wallace and Martin Luther King Jr. had held onto the provision for 33 years after the Supreme Court declared anti-miscegenation laws unconstitutional.

- Wameibadili maneno tu jaribu kuoa mzungu huko uone, halafu vipi mbona hakuna kiongozi mweusi huko State Capitol? Naomba nionyeshe kiongozi wa State mweusi kwenye picha hizo? Yaaani state zote za USA zenye ustaarabu yeye akaona aende Alabama State ambayo haiwakubali weusi? Unajua the message ya wazungu kwa weusi huko ni kwamba mweusi huyu ni bora kuliko wao, ni aibu sana kwa Slaa kwenda hilo jimbo.

Unabisha nini na amendment ilifanyika in November 2000, na nimekwambia nimetoka kuhudhuria harusi Alabama about 6 weeks ago?
Huyo mkenya alieoa mzungu mbona hawakuja kumkamata?
Sio AL peke yake kwani hata states kama AL, NC, ID, IA, ND, SD, MT hakuna minority kwenye hizo state capitols.
Hiyo message ya wazungu kwa weusi ulioisema ni according to wewe.
welcome to the dirty South bro!!!!
 
Kuna wanaharakati wengi
sana wa chadema ambao hujui majina yao,na pia hujui matokeo ya chochote
kwenye harakati zao.Na kuna wengine unajuwa matokeo ya harakati zao
lakini huwajui.Umetokea kumfahamu Josephine kwasababu ni mke wa Dr
Slaa.

asante sana mkuu.! Mpe darasa
anadhani chadema ni mbowe na slaa tu pekee, nyuma ya pazia kuna thousands of people wanaokipigania chama kwa mida wao, resources zao, na wengine hata kwa damu zao.!
 
- Kwenye hizo picha zote za Dr. Slaa Alabama naomba nionyeshee picha moja yenye kiongozi wao Mweusi, aibu sana!!

Le Mutuz

Kumbe wewe ni mjinga sana, unataka kumaanisha nini kuhusu kiongozi mweusi?
Usijifanye mshari sana na wazungu, wakati elimu yako uliyopata ni ya mzungu. Jinga sana wewe mtu.
Kama unathamini sana mtu mweusi, kwa nini serikali yako inabariki na inakiuka haki za binadamu dhidi ya raia wake weusi? Jinga kweli wewe
 
- Wameibadili maneno tu jaribu kuoa mzungu huko uone, halafu vipi mbona hakuna kiongozi mweusi huko State Capitol? Naomba nionyeshe kiongozi wa State mweusi kwenye picha hizo? Yaaani state zote za USA zenye ustaarabu yeye akaona aende Alabama State ambayo haiwakubali weusi? Unajua the message ya wazungu kwa weusi huko ni kwamba mweusi huyu ni bora kuliko wao, ni aibu sana kwa Slaa kwenda hilo jimbo.

Le Mutuz
The Alabama Interracial Marriage Amendment, also known as Proposed Statewide Amendment Number 2, was a legislatively-referred constitutional amendment on the November 7, 2000 ballot in Alabama, where it was approved.[SUP][1][/SUP]

  • The amendment repealed Article IV, Section 102 of the Alabama constitution, which had prohibited interracial marriages.

Election results

[TABLE="class: cms_table"]
[TR="bgcolor: #E9E9E9"]
[TH="colspan: 5, align: center"]Alabama Amendment 2 (2000)[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: #00008B"]
[TD="colspan: 2"]Result[/TD]
[TD]Votes[/TD]
[TD]Percentage[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Yes[/TD]
[TD="align: right"]801,725[/TD]
[TD="align: right"]59.49%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]No[/TD]
[TD="align: right"]545,933[/TD]
[TD="align: right"]40.51%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Results via: USelectionatlas.org.
Text of measure

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]“[/TD]
[TD]Proposing an amendment to the Constitution of Alabama of 1901, to abolish the prohibition of interracial marriages. (Proposed by Act No. 1999-321)[SUP][2][/SUP][/TD]
[TD="align: right"]”[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Path to the ballot

  • The amendment was proposed by Representative Holmes.
  • The amendment was also know as HB 13 (1999) and Act No. 1999-321.[SUP][3][/SUP]
[SUP]​[/SUP]

[h=2]References[/h]
 
Sawasawa, jibu zuri
sana. Nakupa asilimia 100.

Kwa kutumia busara na akili hizohizo zilizokuwezesha kujibu vizuri,
tambua kuwa CCM ina wanaharakati wengi zaidi kuliko Chadema na kwamba
umemjua mama Salma Kikwete kwa sababu ni mke wa NDOA wa Rais
Kikwete.

salma hajawahi kuwa mwanaharakati, salma amejipachika vyeo baada ya kuwa first lady! Hii ni tofauti kabisa na josephine ambaye kabla hata ajakutana na dr slaa alishakuwa mwanaharakati si wa chadema tu pia hata kutetea haki za akina mama na watoto.!
 
Taja harakati moja tu aliyoshiriki Josephine.

Kabla hajamnasa Slaa, Josephine alikuwa mwanaharakati wa kutafuta mwanaume maarufu - hakuna harakati nyingine yoyote aliyoshiriki Josephine. Kama ipo itaje.
 
- kwenye hizo picha zote za dr. Slaa alabama naomba nionyeshee picha moja yenye kiongozi wao mweusi, aibu sana!!

Le mutuz

hivi mtu kama wewe ni sahii kuoanisha historia ya miaka 40 na maisha ya sasa.things change kaka.take your time to learn from other champions..kama dunia tunasema imekuwa kijiji hata historia hubadilika baba.huwezi ongea au kutuingizia issue za kibaguzi wakati picha na muonekano wa the world at current unakataa mtizamo wako.hakika sikutegemea huu upotevu kutoka kwako.
 
- Wameibadili maneno tu jaribu kuoa mzungu huko uone, halafu vipi mbona hakuna kiongozi mweusi huko State Capitol? Naomba nionyeshe kiongozi wa State mweusi kwenye picha hizo? Yaaani state zote za USA zenye ustaarabu yeye akaona aende Alabama State ambayo haiwakubali weusi? Unajua the message ya wazungu kwa weusi huko ni kwamba mweusi huyu ni bora kuliko wao, ni aibu sana kwa Slaa kwenda hilo jimbo.

Le Mutuz
Ha ha ha ha wewe mtu una matatizo sana.
 
hivi mtu kama wewe ni sahii kuoanisha historia ya miaka 40 na maisha ya sasa.things change kaka.take your time to learn from other champions..kama dunia tunasema imekuwa kijiji hata historia hubadilika baba.huwezi ongea au kutuingizia issue za kibaguzi wakati picha na muonekano wa the world at current unakataa mtizamo wako.hakika sikutegemea huu upotevu kutoka kwako.

- Nimekuomba uonyeshee mweusi kiongozi wa Alabama kwenye hizi picha that is all mengine sijakuomba mkuu!!

Le Mutuz
 
- Nimekuomba uonyeshee mweusi kiongozi wa Alabama kwenye hizi picha that is all mengine sijakuomba mkuu!!

Le Mutuz

MTOTO.jpg
 
Sisi vijana tusipoangalia sasa tutakuja kudhani tuna haki ya kuzungumzia mambo binafsi ya mtu...Josephine asiamabatane na mumewe kwa lipi kisa wakosoaji wake mtasema ha ha ha kama ndivyo basi siasa za tanzania ni upumbavu zaidi hata ya uongozi wa kichifu. Jifunzeni kwa wenzenu waliostaarabika mfn. Obama yeye si kutembea kwa ziara na Michelle ila hata kuonyesha mahaba kwa dunia kwa kushuka kwa ndege wamepakatana why not Dr. to appear with his good baby( Josephine).....Kama siasa ndio hizi mtu unapinda mpaka kiuno unacomment against Josephine ukiwa umeng'ata na meno...endeleeni na siasa za emotion watz mi sasa basi nitabaki mpiga kura tu na nitampigia huyo huyo mume wa Josephine hata kama mtamuibia kura. What does participation of Josephine to the high table has to do with my life, what are the to impacts of it to my life.
Umewahi kumwona Obama amempakata Michelle wanapokuwa mezani na Cameron au Putin wakijadili masuala muhimu ya nchi zao?
 
hebu tuambie maana yake nini?
And one more thing, hivi kwann watu wanakuunganisha na alshabab.! Bado sijaelewa.!???

1) Jifunze kutumia google.

2) Kama una swali lolote kuhusu mimi binafsi fungua nyuzi nyingine hapa tunajadili ulimbukeni wa misukule kusifia visivyokuwepo.
 
hauoni sahani izo?au unafikiri ni zakuwekea maji ya kunywa,wana anza na starter kwanza

Wacha starter hata "dynamo" hizo sahani au visahani? aka visosi. Maji ya kunywa ndio starter? we kweli "indigo walk"in.
 
Umewahi kumwona Obama amempakata Michelle wanapokuwa mezani na Cameron au Putin wakijadili masuala muhimu ya nchi zao?

Acha kujitia upofu wewe kwani mpaka iwe mbele ya hao unaowataja na si kwamba huwa hawi nae.....kama kwenye kamapeni tu walikuwa wote na ndiye aliyempa back up kubwa ktk uzinduzi hyo nayo vp. Ok japo tunapiga siasa lakini mambo mengine tuwe makini vijana tumekuwa wakurupukaji sana mi si muumini sana wa siasa za Jk ila kipindi cha kampeni ilionekana watu kuchukizwa sana na kitendo cha mama salma kuzunguka kumpigia kampeni JK why not...the same kwa Dr. kuzunguka na my baby wake iwe nongwa ...oleweni ninyi basi huu wivu mwingine as if watu mmekosa wame au wake . Turudi tujadili hoja mambo ya ndani wachieni wenye nyumba...Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom