Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Ila jamani tuacheni masihara,Mimi naipenda sana CHADEMA na ninamkubali sana Dr Slaa lakini huyu mama Mushumbuzi kama asipobadilika na ku-behave kama lady atamshusha maksi sana Dr.Ni vyema akafundishwa namna ya kujadiliana na watu wanaotofautiana na naye au kama ikiwezekana asiwe anaambatana na Mzee katika mikutano muhimu kama hiyo.
 
Kwa ujinga wako wa kumlinganisha slaa na kikwete status yako imekua ya kishoga coz ni ucngizi na kifo afu Kwann hutulii, una funza mferejini? dr slaa mwenyew ni zaidi ya sarekali nzima ya magamba, kama we unapenda ungese kwa kutokujua au kwa kujua ili tu ulipwe buku 7 per day na mwigulu heri uwe shoga uliwe kiboga kulikuko kubonga shit za kiniaje

hoya punguza maneno makali wanajua kwamba alishinda ndiyo wakatangaza kura za 2005 badala ya 2010; ndiyo maana hawampendi; ndiyo jeshi kila kona wanadhibithi ; tuombe mungu washindwe
 
Unafiki ni pale watu waliokuwa mstari wa mbele kukejeli tukio la kiheshima la Rais kupewa shahada ya heshima, haohao wanapokuwa mstari wa mbele kutukuza kitendo cha Slaa kusambaza mitandaoni picha alizopiga akiwa anakunywa mvinyo!

Hizo ni dalili kamili za kulaghaika...
 
Hii tabia ya kufananisha mambo ya CHADEMA na CCM au serikali inakera kweli na inakera zaidi inapofanywa na watu wenye heshima humu JF kama wewe jmushi1.

Kama huna hoja ya kutetea uozo wa Dr Slaa au CHADEMA ni busara kukaa kimya kuliko kutafuta uhalali wa uozo wa Dr Slaa/CHADEMA kwa kufananisha na Kikwete/serikali. Acheni jamani, inakera.

Hapa nakuunga mguu kama mkono hautoshi, udhaifu wa Kikwete usihalalishe na Dr Slaa Kiongozi shupavu tunayemwamini atawaliwe na Mwanamke hili mimi sikubaliani nalo hata kidogo.

Wanaodhani msimamo wangu unaibomoa Chadema wajifikirie mara mbili na kwa wale waliosoma Biblia wajiulize nini kilimpona Sauli jitu lilokuwa na maguvu kupita maelezo.

Uchaguzi mkuu bado ni lazima tunaipenda Chadema tuifunde sasa.

Cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Huyo Josephine kaenda na kitenge kimoja huko?
 
Ila jamani tuacheni masihara,Mimi naipenda sana CHADEMA na ninamkubali sana Dr Slaa lakini huyu mama Mushumbuzi kama asipobadilika na ku-behave kama lady atamshusha maksi sana Dr.Ni vyema akafundishwa namna ya kujadiliana na watu wanaotofautiana na naye au kama ikiwezekana asiwe anaambatana na Mzee katika mikutano muhimu kama hiyo.

Hilo la kuambatana naye wala si kubwa lililotuchefuwa bali Josephine kuwa na guts za kuja kututukana hapa JF watu wenye akili zetu na hadhi zetu kwa kutumia ID ya Jemedari wetu tunayempenda na kumwamini Dr Slaa.

Sasa tumeamka na tutafuatilia kwa karibu sana nyendo zao. Hatuwezi kuchaguwa Rais tunayempenda Dr Slaa halafu nchi ije kuongozwa kwa maagizo ya Mwanamke asiyekuwa na adabu kama Josephine.
 
Mpaka sasa Chadema kuna viongozi wengi wameshapoteza nafasi zao kwa maelekezo ya Josephine Mushumbusi.
 
Ila jamani tuacheni masihara,Mimi naipenda sana CHADEMA na ninamkubali sana Dr Slaa lakini huyu mama Mushumbuzi kama asipobadilika na ku-behave kama lady atamshusha maksi sana Dr.Ni vyema akafundishwa namna ya kujadiliana na watu wanaotofautiana na naye au kama ikiwezekana asiwe anaambatana na Mzee katika mikutano muhimu kama hiyo.
Hilo nalo neno mkuu Tech Wiz.....
Dadaangu Josephine wewe si malaika lakini hata hivyo zingatia 'Wisdom is profitable to direct' vinginevyo kama unashindwa kujizuia kuhamaki nakujikuta umeharibu basi you have to go for deliverance.
 
Tukikosoa tunamaanisha kujenga vile vile hivyo Dr Slaa kama anafuatilia hizi post ni vyema akamweka chini mama yetu akampa maelekezo ili asiendelee kuharibu
 
Tukikosoa tunamaanisha kujenga vile vile hivyo Dr Slaa kama anafuatilia hizi post ni vyema akamweka chini mama yetu akampa maelekezo ili asiendelee kuharibu

We endelea kukosoa, lakini unapoteza muda wako. Slaa hashauriki.

Umeshawahi kusikia Slaa anaomba radhi?
 
Inasikitisha kuona badala ya kujadili mada kama hizi safari alizoenda Dr.Slaa kama kiongozi wa Taifa wa CHADEMA zina tija gani kwa mtanzania.Je Dr.Slaa atahakikisha vipi ziara hizo alizoenda zinamneemesha mtanzania wa kawaida bila kujali itikadi yake na hasa pale ambapo bado CHADEMA ni wapinzani.Japo ameenda kama yeye na siyo kama chamandiyo kimemtuma lakini ziara alizoenda zinaonyesha ana lengo Fulani kwenye mawazo yake.Inawezekana siyo wote wanaompenda Dr.Slaa lakini kama amefanya kitu kizuri tumpongeze vinginevyo tutakuwa tunaendeshwa na chuki binafsi zisizo na tija.Sijaona Ubaya wa Josephine kuongozana naye pamoja na mapungufu yake inawezekana naye kama binadamu anataka kujifunza.Matusi na kejeli tunazopeana watanzania wenyewe hazitujengi bali zinatubomoa kwa wale wanoingia kwenye mtandao na kusoma tuliyokuwa tunajibizana.
 
Back
Top Bottom