Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

ni kweli nakubaliana na wewe obama hakuja peke yake.! Lakini je, hao wasaidizi ulikuwa unawaona kwenye picha ambazo zilikuwa zinapigwa?

kwi kwi kwi teh teh teh.

2013-07-01t135300z_1105354792_gm1e9711ok401_rtrmadp_3_obama-tanzania.jpg


Unamuona Michele au Salma hapo?
 
Acha kujitia upofu wewe kwani mpaka iwe mbele ya hao unaowataja na si kwamba huwa hawi nae.....kama kwenye kamapeni tu walikuwa wote na ndiye aliyempa back up kubwa ktk uzinduzi hyo nayo vp. Ok japo tunapiga siasa lakini mambo mengine tuwe makini vijana tumekuwa wakurupukaji sana mi si muumini sana wa siasa za Jk ila kipindi cha kampeni ilionekana watu kuchukizwa sana na kitendo cha mama salma kuzunguka kumpigia kampeni JK why not...the same kwa Dr. kuzunguka na my baby wake iwe nongwa ...oleweni ninyi basi huu wivu mwingine as if watu mmekosa wame au wake . Turudi tujadili hoja mambo ya ndani wachieni wenye nyumba...Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kinachojadiliwa hapa ni uhalali wa huyu mama kukaa kwenye vikao visivyomhusu. Nani mwenye muda wa kujadili Slaa kusafiri na mke wake? Labda wewe unayekuja hapa kupiga siasa. Na hayo matusi ya kuolewa achana nayo, vinginevyo utalikimbia jukwaa hayawani weye.
 
Mama Salma alikuwa hapa juzi na private jet wewe unazungumzia Slaa kuja na mke wake?Hayo ya kuchanganya ndo uliyechanganya,mimi nilichofanya ni kucriticize,lakini bado umeshindwa kunielewa.Sasa ulitoa mfano wa Obama ya kazi gani wakati cticism yako ni towards Josephine?Mara nyingi tu nimeona Michelle akiongozana na Barack kwenye shughuli nyingi tu za kichama,achilia mbali kampeni.Sasa ukirudi kwa viongozi wetu,ndiyo hivyo JK na Salma wanapishana tu angani kwa kodi za wadanganyika na ufisadi mwingine unaohujumu taifa na maendeleo yake.

Unaijuwa WAMA, "budget" yake ni kushinda "budget" ya chadomo x2
 
wale ambao hamjadili mada na kushinda mkitetea ujinga unaofanywa na vyama vyenu iwe CCM au CDM mnaboa sana.this forum is now very boring...
 
- Kweli mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza, Dr. Slaa ameenda na kukubali kupokewa kwa heshima na State ambayo mpaka leo mweusi hana heshima wala hawakubaliki, hivi Chadema mn washauri wa namna gani hasa? Wameenda shule kweli au ni wababishaji tu? aibu!!

Le Mutuz
Ukiwa na mtoto mwenye akili kama zako ni laana tupu, Dr.slaa amekwenda pale akiwa anajua anachokifuata pale na siyo kufuata sheria za kumzuia mswahili kumuoa mzungu... Vipi ulikimbizwa huko nini na hawa jamaa?

Hivi unajua mwenyekiti wako alikwenda kule wanakoruhusu u-lesbian na u-gay na akapokelewa kwa heshima?
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?
tatizo ni elimu yako ndo inakufanya uwe hivyo pole sana vp huendi kwenye mazishi mombasa?
 
=> Aibu tupu....Tanzania ni pagumu..?? sbb ufisadi...

=> Uongo wa mchana mchana tumechoka...there are many US...Gov. orgs & NGOs....so this is pure lie....if they can come & work with CDM sawa hatukatai....cdm ipo kipi kinawazuia wasije....?? waje as NGO....

=> Aibu tupu sioni kitu hapa...

hizo asasi unazoziona ni zile walizopewa mikataba ya wizi na magamba baada kulewa mvinyo na kuhongwa suti kwanza hotelini
 
hawa jamaa naona wamemfananisha slaa na mrema Tanzania chadema party ndio chama gani? wanaikumbu TLP nini? waambieni chama chenu kinaitwaje kabla hajaenda bana!

pole sana c kosa lako ni serikali ya maccm kukunyima elimu bora na haya ndo madhara ya shule ya kata vp hukusoma civics?hujui hata maana ya party?
 
Mnazidi kujidhihirisha usukule wenu, si afadhali mngesema yuko kwenye mazungumzo na wasaidizi wa gavana kuliko kujidai wanakula chakula cha mchana wakati hakuna chakula hapo wala kijiko wa umma wala kisu.

Hivi mnazo haswa?

inaonekana unapenda sana kula mbona umen'gan'gania sn msosi kweli miccm ni walafi sana ndo mana kwenye mikutano yenu masahani ya pilau chafu hayakosekanagi subiri 2015 mapilau na kusombwa kwenye malori yataanza tena
 
Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA haina watu wa kuandamana na Katibu mkuu? au chama hakina utaratibu wa kupeleka viongozi wake na wasaidizi kwenye ziara kama hizi?? Au ilikuwa ni ziara ya kifamilia zaidi ?
 
ni kweli nakubaliana na wewe obama hakuja peke yake.! Lakini je, hao wasaidizi ulikuwa unawaona kwenye picha ambazo zilikuwa zinapigwa?
Kwa hiyo Dr. Slaa yupo na watu wengine ila wakati wanaongea na Governor alikuwa yeye na mama Josephine!
 
Kinachojadiliwa hapa ni uhalali wa huyu mama kukaa kwenye vikao visivyomhusu. Nani mwenye muda wa kujadili Slaa kusafiri na mke wake? Labda wewe unayekuja hapa kupiga siasa. Na hayo matusi ya kuolewa achana nayo, vinginevyo utalikimbia jukwaa hayawani weye.

Nikimbie jukwaa wewe Jf yako tahira wewe...mtafungwa kanga wanaume siku moja "...tunajadili huyu mama kukaa kwenye vikao visivyo muhusu" vinamuhusu nani kama si wanachama....ninyi ndio mlitoka kwenye hoja zamani hebu angalia maada kichwa chake ni kipi na huyu mama alianza kujadiliwaje....utakuja sutwa mwanaume mzima...unakuwa na mahaba na mume wa mtu...shwain wewe
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Picha zinaongea zaidi ya bla bla bla!
 
Unaijuwa WAMA, "budget" yake ni kushinda "budget" ya chadomo x2
Hayo ndo majibu ya mipasho kama kawaida.Kuweka picha ya kikao cha Obama na JK na kuulizia kama wake zao wapo hapo,huku ukifananisha na safari ya Slaa ni upofu wa fikra.
 
Hayo ndo majibu ya mipasho kama kawaida.Kuweka picha ya kikao cha Obama na JK na kuulizia kama wake zao wapo hapo,huku ukifananisha na safari ya Slaa ni upofu wa fikra.

Ungeifata post iliyojibiwa na hiyo picha.

Upofu wa fikra au wowote ule una afadhali kuliko uongo.
 
Picha zinaongea zaidi ya bla bla bla!

Picha hapo zinaonesha ni "state reception"?

Tatizo lako inaonesha hata "state reception" huijui maana yake, na ulipojazwa uongo ukaupokea mzima mzima, kwa kuwa hujui tu, laiti ungelijuwa "state reception" ni nini usingebishana.
 
Picha hapo zinaonesha ni "state reception"?

Tatizo lako inaobesha hata "state reception" huijui maana yake, na ulipojazwa uongo ukaupokea mzima mzima, kwa kuwa hujui tu, laiti ungelijuwa "state reception" ni nini usingebishana.
Ni heri mtu yule anayejua na akajifanya hajui kuliko yule asiyejua kujifanya anajua!
 
Back
Top Bottom