Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Mkuu Kimbunga, a JF TANZANITE MEMBER, naomba kuuliza kidogo, Hivi mheshimiwa Kikwete anapokuwa ameambatana na mama Salima katika ziara zake uwakilishi unakuwaga wa kifamilia zaidi?🙁
Msipotoshe mambo. JK aliambatana na kijana wake Kenya kwenye sherehe za kuapishwa rais wa Kenya. Tulipiga kelele sana Ridhwan alipopiga picha akiwa mbele ya viongozi wa serikali kwani tuliona kama protokali haikuzingatiwa. Ujinga tunaolaani unapofanywa na ccm hatuwezi kukaa kimya kwa kuwa tu ujinga huohuo umefanywa na Slaa au na CDM.

Wengi tunamfahamu Dr Slaa kama mtu makini, lakini anapokaa kwenye kikao rasmi na gavana wa jimbo na mawaziri wake huku akiwa na mkewe, huyo mkewe anamwakilisha nani, au ni nani CDM? Tumeyaona Anna aliyomfanyia Mkapa, hatutaki yajirudie kwa Josephine na Slaa, na kwa vyovyote mstibue imani ambayo wananchi wameanza kuijenga kwa CDM.

Mliopo karibu na huyu mzee msaidieni. Inawezekana amezidiwa na nshutama.
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?

Black widow again with Dr.W.Slaa, the Man if Fully Occupied by Josephine , dont you give up ????????????????
btw, what is the next step after wastegate ???
cc dudus
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa ana potezea hao viongozi wa hilo jimbo muda wao tu; hivi kiongozi wa chama kwenda kujikomba komba kwa Wamarekani ina faida gani kwa CHADEMA?
 
Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?
Wazaramo bila kuona sufuria la wali kikao hakikaliki....haya wali huo umeridhika...

CCM+Kampeni.png
 
Mkuu mimi sipingi Kiongozi kuambatana na mwenza wake; tatizo ni kwamba hapa kuna Serikali ya Jimbo, Gavana na Mawaziri wake, wakiwa wamempokea Kiongozi wa Chama cha Siasa. Lakini Kiongozi wa Chama cha Siasa yuko yeye na mke wake tu bila kuwa na ujumbe wa chama. Ningemuona kiongozi mwingine wa CHADEMA akiwa ameongozana na Katibu Mkuu kwenye hayo mazungumzo wala nisingekuwa na cha kuuliaza; lakini yeye na mke wake peke yao mbele ya ujumbe wa seruikali ya jimbo inabidi nijiulize. Sijawahi kumuona JK na Salma peke yao wakiwa kwenye mazungumzo ya kiuwakilishi labda iwe wamekaribishwa wao kama familia ama wamekaribisha kama familia.


Kaka mimi have the same observation.

Hii safari inaonekana ya kifamilia zaidi kuliko ya chama! Ukirejesha kumbukumbu zako nyuma ni kuwa juzi mama Jose alituma ujumbe JF kwa kutumia simu ya DR na DR Slaa akataka aachiwe kwa vile ni mambo ya kifamilia.

Juzi tuliwekewa picha za kuonesha DR akifanya mazungumzo na Chamber of Commerce basi hata kuzuga CHADEMA inashindwa? At least angefuatana na mtaalamu wa mambo ya uchumi wa chama, au DR anajua yote?
 
acheni upumbavu hayo makaratasi anayokabidhi ni research alizoziandika binafsi ili kuomba misaada na si sera za chadema. tusubili baada ya miezi sita utasikia anajenga hotel nyingine ya kitalii.

...raisi wenu hata research hawezi kuandaa..teh teh heehh..!
 
Mkuu mimi sipingi Kiongozi kuambatana na mwenza wake; tatizo ni kwamba hapa kuna Serikali ya Jimbo, Gavana na Mawaziri wake, wakiwa wamempokea Kiongozi wa Chama cha Siasa. Lakini Kiongozi wa Chama cha Siasa yuko yeye na mke wake tu bila kuwa na ujumbe wa chama. Ningemuona kiongozi mwingine wa CHADEMA akiwa ameongozana na Katibu Mkuu kwenye hayo mazungumzo wala nisingekuwa na cha kuuliaza; lakini yeye na mke wake peke yao mbele ya ujumbe wa seruikali ya jimbo inabidi nijiulize. Sijawahi kumuona JK na Salma peke yao wakiwa kwenye mazungumzo ya kiuwakilishi labda iwe wamekaribishwa wao kama familia ama wamekaribisha kama familia.


Mkuu Kimbunga, siamini na wewe ni mmoja wa walioumizwa sana na hii ziara, kwa hiyo angeenda Dr Slaaa Peke yake ungeridhika sio ?
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa ana potezea hao viongozi wa hilo jimbo muda wao tu; hivi kiongozi wa chama kwenda kujikomba komba kwa Wamarekani ina faida gani kwa CHADEMA?
...waulize wanaomlamba miguu obama kilikukicha,hata kama hawana cha kufanya basi wanaenda kubembea tu...
 
Hivi hiyo ilikuwa
ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza
ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine
naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa
na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa
upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa
upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!


obama alipokuja africa aliongozana na mkewe michelle na watoto wake sasher na maria.! Je, ilikuwa na ziara ya kitaifa au alikuja 'picnic' na familia yake.??
Tatizo mambumbumbu wengi hamjui role & influence ya mke/familia kwa rais.!
Hongera dr kwa kulitambua hilo
 
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!


We Kimbunga, kwa mtindo huu si ajabu punde ukawa Tufani. Imeandikwa sentensi ya kwanza kabisa, "Katibu mkuu wa Chadema Dr. Willibrod Slaa katika ziara yake nchini Marekani iliyoandaliwa na umoja wa vyuo vikubwa nchini humo ya kujifunza mambo mbali mbali, imemfikisha leo katika jimbo la Alabama na kupokelewa na wakuu wa jimbo hilo akiwemo Gavana pamoja na Waziri wa biashara."

Sasa kama amealikwa na kuandaliwa ziara (ambayo haijataja CHADEMA) ulitaka awe kama wale ndugu zetu ambao ukimwalika anaanza kuuliza "changaji je? njomba je? na bibi je? Haijaalikwa CHADEMA wala ujumbe wake bali huyo aliyehudhuria. Kuna shida gani hapo? Wewe ukialikwa ikulu utaenda na ukoo wako wote ndugu? Usituangushe kwa viroja badala ya hoja tulizozoea kutoka kwako!
 
Duh! Hii kali, wabongo tumezoea kuona sinia la wali tukikaa tumelizunguka, hii ya kizungu kutanguliziwa wine we imekupitia kisogoni.

Wine kwa kitoweo karatasi! unanchekesha!

Looh! hata haya hamuoni?
 
obama alipokuja africa aliongozana na mkewe michelle na watoto wake sasher na maria.! Je, ilikuwa na ziara ya kitaifa au alikuja 'picnic' na familia yake.??
Tatizo mambumbumbu wengi hamjui role & influence ya mke/familia kwa rais.!
Hongera dr kwa kulitambua hilo

Mkuu Hapa ndo umemaliza Kabisa.
Namkumbushia tu Kimbunga kuwa hata JK alipokwenda kwenye Sherehe ya Kuapishwa Kenyata alienda Riz1.
Sasa sijui ule ulikuwa ni mualiko wa kifamilia ama vp
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwigulu yeye ziara zake amekutana na akina nan? Ila dr slaa wnampenda watu.

ujaskia alikuja ni kithread chake humu eti amechaguliwa kuwa "mwenyekiti" wa vyama vya "ukombozi" africa..!
Hahahahahaha, jamaa 'ze comedy' sana yule
marekeni hawezi kukaribishwa ofisi yeyote ile hata ya mwenyekiti wa mtaa, jamaa wako makini sana, mwigulu pana mfaa china tu akanunue mabomu aje kulipua mikutano.!?
 
Sasa wewe uliambiwa hapo wanakula? kigezo cha uwepo wa mlo ni meza na kiti kwani? Nadhani umma na kisu ndiyo ishara ya meza iliyoandaliwa kwa maakuli ya dunia ya hawa jamaa. Ingekuwa CCM hata maji ya kunawa hayaji unafuta mkono kwenye shati unatandika punga

Unaonesha hata haya maneno chini ya picha hujayaona, unatumia mchina nini? "Uongozi wa jimbo na Dr. Wakila chakula cha mchana iliyotayarishwa kwa ajili yake"

Rudi juu kajiridhishe kwa kigezo chako na uje tena utueleze umeona umma na kisu juu ya hiyo meza? au kimchina kako hakioneshi picha pia?
 
acheni upumbavu
hayo makaratasi anayokabidhi ni research alizoziandika binafsi ili
kuomba misaada na si sera za chadema. tusubili baada ya miezi sita
utasikia anajenga hotel nyingine ya kitalii.

umezisoma hizo document au unaropoka tu?
Nimeamini ni vigumu sana kwa akili ndogo kutawala akili kubwa.!?
 
Back
Top Bottom