Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Mmmhhh ok ok tuseme unayosema ni kweli, sawa, turudi upande wa pili, ukilinganisha watu waliokutana na Dr. Slaa na watu aliokutana nao yule Katibu wako wa CCM? tuwe honest kwa hili

Katibu yupi wa CCM unaemuongelea wewe? Usiogope.
 
Mh!! Kazi kweli kweli. Waliozamia tu ughaibuni wana upeo wa kuelewa? Wanadharau na wanayofikiri tofauti na wasemacho? Unamaanisha kuongea nao ni kupoteza muda na rasilimali za nchi. Marais wamekuwa wakifanya ziara na waandamizi wake. Je nitakuwa nimekosea kusema kuwa ziara za rais zifutwe na Balozi zifungwe sababu watu hawa hawaaminiki na kisha watz waishio ughaibuni wawe washauri wa nini cha kufanya,wanauelewa mkubwa hata kama hawana elimu ya kutosha.

We nawe ndio walewale!!!

Soma ulichoandika halafu soma ulichoquote uone kama kuna uhusiano. Kama wewe uliyeandika huuoni huo uhusiano unategemea wengine watauonaje?
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Hivi kuna fataani mkubwa zaidi ya shetani Mohamed Saidi na wafuasi wake Faiza Fox na Ritz?
 
Kwa hiyo Obama alikuwa na Michele na watoto wake peke yao? Mimi kwangu siyo Josephine kuwepo kwenye ziara ila ziara kukosa uwakilishi wa kichama. Katibu Mkuu wa Chama hawezi kwenda nje ya nv=chi kwa shughuli za chma akiwa peke yake na mkewe! Hapa ndipo penye shida, inakuwa imekaa kifamilia zaidi. Mbona Gavana wa alabama hakuwa peke yake tu na mkewe?
Kimbunga, ziara kwenda na mke wake tu si tatizo ikizingatiwa uwezo wa chama kifedha. Tatizo ninaloliona mimi ni huyu mama kuhudhuria vikao ambavyo, kwa mtazamo wangu, havimhusu.
 
Kimbunga, ziara kwenda na mke wake tu si tatizo ikizingatiwa uwezo wa chama kifedha. Tatizo ninaloliona mimi ni huyu mama kuhudhuria vikao ambavyo, kwa mtazamo wangu, havimhusu.

Josephine kashawaambieni pesa zilizowapeleka huko sio za Chadema na hivyo wanazi wa Chadema muache majungu ya kuwajadili.
 
Siasa ni mchanganyiko wa mambo mojawapo ni wivu na lingine ni sifa
 
Kimbunga, ziara kwenda na mke wake tu si tatizo ikizingatiwa uwezo wa chama kifedha. Tatizo ninaloliona mimi ni huyu mama kuhudhuria vikao ambavyo, kwa mtazamo wangu, havimhusu.
Ndio matatizo ya kushindwa kutofautisha majukumu ya kikazi na mapenzi babu ameshikwa
 
Hata Mpoki akiact utajiri huwa anaonekana zinga la milionea.

Hata Joti akiact kiuanafunzi huwa anaonekana kama kidenti vile...
1379988_10202056382270007_253373094_n.jpg
 
Mkuu mimi sipingi Kiongozi kuambatana na mwenza wake; tatizo ni kwamba hapa kuna Serikali ya Jimbo, Gavana na Mawaziri wake, wakiwa wamempokea Kiongozi wa Chama cha Siasa. Lakini Kiongozi wa Chama cha Siasa yuko yeye na mke wake tu bila kuwa na ujumbe wa chama. Ningemuona kiongozi mwingine wa CHADEMA akiwa ameongozana na Katibu Mkuu kwenye hayo mazungumzo wala nisingekuwa na cha kuuliaza; lakini yeye na mke wake peke yao mbele ya ujumbe wa seruikali ya jimbo inabidi nijiulize. Sijawahi kumuona JK na Salma peke yao wakiwa kwenye mazungumzo ya kiuwakilishi labda iwe wamekaribishwa wao kama familia ama wamekaribisha kama familia.

Dr Slaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mwanahrakati wa chadema kabla hawajaoana.As of mama Salma,yeye alikuwa mwalimu nadhani shule ya msingi ama chekechea kama sikosei.Kuna utofauti mkubwa hapo.Sanasana Josephine maybe amepata nafasi ya kuplay a bigger role.
 
Dr wa ukweli the president to be.....msomi hutafuta solution kwa wenye majibu......ni nchi zinaendelea kwa kutumia wataalam na Dr. slaa amefanya hivyo sasa watanzania mnataka nini?
 
Kwa hiyo Obama alikuwa na Michele na watoto wake peke yao? Mimi kwangu siyo Josephine kuwepo kwenye ziara ila ziara kukosa uwakilishi wa kichama. Katibu Mkuu wa Chama hawezi kwenda nje ya nv=chi kwa shughuli za chma akiwa peke yake na mkewe! Hapa ndipo penye shida, inakuwa imekaa kifamilia zaidi. Mbona Gavana wa alabama hakuwa peke yake tu na mkewe?
Umechanganya maembe na mabumunda kwenye gunia moja halafu mwishowe unauza kama gunia lenye maembe peke yake.Mbona hushangazwi mke wa rais huwa anakuja mwenyewe marekani kwa gharama kubwa tu na hata kukodi private jets?JK naye misafari yake na misafara anayoongozana nayo ni ya kumwaga mtu!Sasa zipitie hizo concepts halafu uniambie kama uta arrive to the same conclusion.Pengine utagunduwa ni a mediocre one.And if smart enough to be aware of that,you can then initiate a corrective actions.
 
Umechanganya maembe na mabumunda kwenye gunia moja halafu mwishowe unauza kama gunia lenye maembe peke yake.Mbona hushangazwi mke wa rais huwa anakuja mwenyewe marekani kwa gharama kubwa tu na hata kukodi private jets?JK naye misafari yake ni ya kumwaga mtu!Sasa zipitie hizo concepts halafu uniambie kama uta arrive to the same conclusion.Pengine utagunduwa ni a mediocre one.And if smart enough to be aware of that,you can then initiate a corrective actions.

Hii tabia ya kufananisha mambo ya CHADEMA na CCM au serikali inakera kweli na inakera zaidi inapofanywa na watu wenye heshima humu JF kama wewe jmushi1.

Kama huna hoja ya kutetea uozo wa Dr Slaa au CHADEMA ni busara kukaa kimya kuliko kutafuta uhalali wa uozo wa Dr Slaa/CHADEMA kwa kufananisha na Kikwete/serikali. Acheni jamani, inakera.
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mwanahrakati wa chadema kabla hawajaoana.As of mama Salma,yeye alikuwa mwalimu nadhani shule ya msingi ama chekechea kama sikosei.Kuna utofauti mkubwa hapo.Sanasana Josephine maybe amepata nafasi ya kuplay a bigger role.

Taja tukio moja la harakati za Chadema ambalo Josephine alishiriki kabla hajaanza mapenzi na Dr. Slaa.

Dr. Slaa na Josephine wasanii sana...
 
Hii tabia ya kufananisha mambo ya CHADEMA na CCM au serikali inakera kweli na inakera zaidi inapofanywa na watu wenye heshima humu JF kama wewe jmushi1.

Kama huna hoja ya kutetea uozo wa Dr Slaa au CHADEMA ni busara kukaa kimya kuliko kutafuta uhalali wa uozo wa Dr Slaa/CHADEMA kwa kufananisha na Kikwete/serikali. Achenh jamani, inakera.
Umeisoma vyema posti niliyoijibu mkuu?Niliyemquote,ametoa mifano yenye reference kwenye mambo mawili ama nafasi mbili zamsingi zilizonifanya nikatoa jibu nililolitoa.Kwanza kabisa kwenye mfano wake wa kwanza,amemention rais Obama na Michelle,hapo hoja ya serikali inakuja licha ya kwamba hapo ni mabumnda amechangaya,angetakiwa kutoa mfano wa rais wetu JK,hakufanya hivyo,na sidhani kama ni kwa bahati mbaya.Jambo ambalo nimemkumbusha kwenye jibu langu nilipomtaja JK na Salma

Upande wa pili wa mfano wake mwingie,alitoa reference kwa kutaja 'ziara ya kichama,ndo maana nikamwambia mwishowe anadai anauza gunia la maembe kumbe na mabumunda yamo(ziara ya kiserikali ya Obama na ziara ya kichama ya Slaa),halafu anakuja kudai ni gunia la maembe)(ziara ya kichama)kwenye conclusion yake,na ndiyo maana nikamshauri atake corrective actions halafu arudi kwenye mjadla kama ana hoja,kama takubali kuwa it was a mediocre assumption if not cynical.
 
Last edited by a moderator:
Taja tukio moja la harakati za Chadema ambalo Josephine alishiriki kabla hajaanza mapenzi na Dr. Slaa.

Dr. Slaa na Josephine wasanii sana...
Kuna wanaharakati wengi sana wa chadema ambao hujui majina yao,na pia hujui matokeo ya chochote kwenye harakati zao.Na kuna wengine unajuwa matokeo ya harakati zao lakini huwajui.Umetokea kumfahamu Josephine kwasababu ni mke wa Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom