Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Mkuu Kimbunga, a JF TANZANITE MEMBER, naomba kuuliza kidogo, Hivi mheshimiwa Kikwete anapokuwa ameambatana na mama Salima katika ziara zake uwakilishi unakuwaga wa kifamilia zaidi?🙁
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!