Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Faiza, unaweza kusema mengi lakini ukweli ambao huwezi kuukwepa ni kuwa kuna tofauti kubwa kati ya safari aliyoifanya Mwigulu na Dr. Slaa. Hii safari ya Dr. ukiitazama kiundani ilijielekeza zaidi katika elimu, tekinolojia na uchumi lakini safari ya Mwigulu ilikaa kiupambe wa kisiasa. Hapo kuna tofauti kubwa sana katika vision.

Japo Dr. Slaa siyo kiongozi wa kiserikali lakini mtazamo wa safari yake umekaa kitaifa na kiuongozi zaidi kuliko safari ya Mwigulu. Lakini pia ukiangalia safari za Rais wetu, Nazo ni tofauti sana kimtazamo na hizi za Dr. Slaa. Safari za Kikwete zimekaa zaidi kisherehe, kuufurahia Urais, na ndiyo maana kulikuwa na taarifa hapa kuwa Prof. Muhongo alikwishawahi kutamka kuwa haelewi inakuwaje mtu mwenye upeo kama wa JK ameweza kuwa Rais wa nchi kwa sababu yeye anamwona ni mtu asiyejua mambo mengi sana.

JK, kuna mambo ya kujifunza kutoka kwa Dr. Slaa, anapoenda nje ya nchi afanye nini kuliko kuzurura na kugeuka kuwa ombaomba asiyekuwa na malengo yoyote ya kubadilika toka kuwa unayesaidiwa na kila nchi na kuwa nchi inayoweza kuisadia Dunia. Leo Tanzania inaonekana kama ni burden kwa mataifa mengi anayoyazungukia Kikwete kwenda kuomba kila mara.

Chief umeongea Mambo ya msingi sana.
 
Mashumbushi ni mke au mchumba wa Dk. Slaa?
 
Hii inanikumbisha Lema alipowaletea vijana wa Bavicha picha ya ambulances na helikopta kulaghai kuwa atavileta nchini.

Vijana wa Bavicha amkeni, picha sio kitu. Ulizeni Slaa kaongea nini? Mwenzenu yuko kwenye kuandaa maisha yake ya kustaafu, nyinyi mnachelea picha. Sasa hizo picha zinawanufaisha nini?

Kama kuna mtu kati yenu anataka appointment na Governor wa State yoyote Marekani aseme tu. Tunamsaidia kupata hiyo appointment.

Mweu kweli wewe,Mmeshindwa kumsaidia Mwigulu ambaye akaishia kuuza sura na wazamiaji uje utusaidie sisi!
 
Katika vitu ambavyo Josephine hawezi ni kukaa kimya. Mwanamke ana mdomo utadhani Juma Nature!!!

Namuonea huruma huyo mwanamke unayeishi naye,Mwanaume una mdomo mrefu kama Anne Kilango Malecela!!!Huyo mwanamke si anakonda kwa gubu lako!!!??Watoto wa kiume hatuko hivyo.
 
Mweu kweli wewe,Mmeshindwa kumsaidia Mwigulu ambaye akaishia kuuza sura na wazamiaji uje utusaidie sisi!

Upeo wako ni wa Bavicha.

Hujui kuwa mtanzania anayeishi ughaibuni ana upeo mkubwa zaidi wa jinsi mambo mbalimbali ya ughaibuni yanavyoweza kuisaidia Bongo kuliko raia wa nchi hiyo ya ughaibuni.

Slaa anadharau kukutana na wabongo, lakini wabongo wangeweza kumwambia mambo mengi ambayo ni practical kuliko hawa anaoongea nao. Hao wanampa plastic smile yeye anadhani wanamheshimu kumbe hao watu wana dharau kupindukia na ukifungua vichwa vyao kujua wanachofikiria kuhusu waafrika utaweza kuwakacha kabisa!

Mshaurini Slaa akutane na wabongo. Najua amekuwa disappointed alivyoona watu hawajaja pale DC lakini asikate tamaa, cha msingi tu amwambie Josephine asiendelee kuwaita diaspora wakimbizi.
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?

Una wivu wa kijinga sana, siasa itakuharibu vibaya mno.
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?

Tulia basi kidogo, tunafahamu maccm mnaifaidi sana hii nchi na mkiona yeyote mwenye nia ya kutufungua macho mnajitahidi sana kummaliza.

The True Dr. Slaa atarudi na atafanya mikutano na ataongea na watu wa kada mbalimbali.
Hapa shule ya ccm ni ndogo, ama kaanzisheni kampeni USA (kama mlivyozoea Tanzania) mkawaambie kwamba anachosema Dr. Slaa hakitawezekana.
 
kumbe wazungu wanaweza kukupokea hata kama msafara wako hauna watu 100 !
 
Hiyo nayo kali
Lakini ukumbuke bora ukichaa kuliko kuanguka bafuni? Huo sijui ni ugonjwa gani ulimkumba mzee wangu

kuna chama kilimtupia jini ili adhurike lakini ilishindikana, hebu tabiri ni chama gani kinachoamini ushirikina ?
 
Upeo wako ni wa Bavicha.

Hujui kuwa mtanzania anayeishi ughaibuni ana upeo mkubwa zaidi wa jinsi mambo mbalimbali ya ughaibuni yanavyoweza kuisaidia Bongo kuliko raia wa nchi hiyo ya ughaibuni.

Slaa anadharau kukutana na wabongo, lakini wabongo wangeweza kumwambia mambo mengi ambayo ni practical kuliko hawa anaoongea nao. Hao wanampa plastic smile yeye anadhani wanamheshimu kumbe hao watu wana dharau kupindukia na ukifungua vichwa vyao kujua wanachofikiria kuhusu waafrika utaweza kuwakacha kabisa!

Mshaurini Slaa akutane na wabongo. Najua amekuwa disappointed alivyoona watu hawajaja pale DC lakini asikate tamaa, cha msingi tu amwambie Josephine asiendelee kuwaita diaspora wakimbizi.

Huo uelewa (Practical) unaouzungumzia hao Watanzania waliupata wapi kama sio huko huko Marekani?Ukweli unaujua Watanzania bado tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzetu.
Kwahiyo hata JK huwa anadharauliwa pia?Sikujua!!
Inavyoonyesha Mkuu unasumbuliwa sana na INFERIORITY COMPLEX,Pole!
 
[/CENTER]

Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?

wewe mdada naona mshipa unakutoka kwa kutumika unajitahidi kujikinga na mvua kwa kutumia chujio,acha kutumika wewe huwezi kuzuia nguvu ya kimbuga wewe.
 
Upeo wako ni wa
Bavicha.

Hujui kuwa mtanzania anayeishi ughaibuni ana upeo mkubwa zaidi wa jinsi
mambo mbalimbali ya ughaibuni yanavyoweza kuisaidia Bongo kuliko raia wa
nchi hiyo ya ughaibuni.

Slaa anadharau kukutana na wabongo, lakini wabongo wangeweza kumwambia
mambo mengi.

are you sure hakukutana na wabongo?? Au uunaropoka tu..?
Mijitu mingine bhana, akili zao hata mbili hazifiki!
 
kuna chama kilimtupia jini ili adhurike lakini ilishindikana, hebu tabiri ni chama gani kinachoamini ushirikina ?
Hilo jini mpaka limfuate chooni tu? kwanini isiwe shughuli nyengine za kibinaadamu alikuwa anazifanya akaanguka.
 
attachment.php

"Samahani sana yale maombi yako binafsi ya pesa kwa ajili ya matibabu na kujikimu na familia yako yamekataliwa,ofisi yangu haina utaratibu huo labda kajaribu kwa wengine"
 
Una wivu wa kijinga sana, siasa itakuharibu vibaya mno.

Kama hamjui maana ya "state reception" mjue japo kutumia google mjisaidie, sio kila pumba mnaloandikiwa nyie mnakubali tu ndio maana Slaa akawaita "indigo walk" aka misukule.
 
obama alipokuja africa aliongozana na mkewe michelle na watoto wake sasher na maria.! Je, ilikuwa na ziara ya kitaifa au alikuja 'picnic' na familia yake.??
Tatizo mambumbumbu wengi hamjui role & influence ya mke/familia kwa rais.!
Hongera dr kwa kulitambua hilo

Kwa hiyo Obama alikuwa na Michele na watoto wake peke yao? Mimi kwangu siyo Josephine kuwepo kwenye ziara ila ziara kukosa uwakilishi wa kichama. Katibu Mkuu wa Chama hawezi kwenda nje ya nv=chi kwa shughuli za chma akiwa peke yake na mkewe! Hapa ndipo penye shida, inakuwa imekaa kifamilia zaidi. Mbona Gavana wa alabama hakuwa peke yake tu na mkewe?
 
Kwa hiyo makaratasi hayo ndio chakula? hapo hata Gavana kakwepa baada ya kuwapa dakika tatu za kusalimiana ofisini kwake.

Hivi uongo unawasaidia nini?

Pole inaonekana hujawahi kufanya ziara za kimataifa.
 
Upeo wako ni wa Bavicha.

Hujui kuwa mtanzania anayeishi ughaibuni ana upeo mkubwa zaidi wa jinsi mambo mbalimbali ya ughaibuni yanavyoweza kuisaidia Bongo kuliko raia wa nchi hiyo ya ughaibuni.

Slaa anadharau kukutana na wabongo, lakini wabongo wangeweza kumwambia mambo mengi ambayo ni practical kuliko hawa anaoongea nao. Hao wanampa plastic smile yeye anadhani wanamheshimu kumbe hao watu wana dharau kupindukia na ukifungua vichwa vyao kujua wanachofikiria kuhusu waafrika utaweza kuwakacha kabisa!

Mshaurini Slaa akutane na wabongo. Najua amekuwa disappointed alivyoona watu hawajaja pale DC lakini asikate tamaa, cha msingi tu amwambie Josephine asiendelee kuwaita diaspora wakimbizi.

Mh!! Kazi kweli kweli. Waliozamia tu ughaibuni wana upeo wa kuelewa? Wanadharau na wanayofikiri tofauti na wasemacho? Unamaanisha kuongea nao ni kupoteza muda na rasilimali za nchi. Marais wamekuwa wakifanya ziara na waandamizi wake. Je nitakuwa nimekosea kusema kuwa ziara za rais zifutwe na Balozi zifungwe sababu watu hawa hawaaminiki na kisha watz waishio ughaibuni wawe washauri wa nini cha kufanya,wanauelewa mkubwa hata kama hawana elimu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom