Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Kuna wanaharakati wengi sana wa chadema ambao hujui majina yao,na pia hujui matoke ya chochote kwenye harakati zao.Na kuna wengine unajuwa matokeo ya harakati zao lakini huwajui.Umtoke kumfahamu Josephine kwasababu ni mke wa Dr Slaa.

Sawasawa, jibu zuri sana. Nakupa asilimia 100.

Kwa kutumia busara na akili hizohizo zilizokuwezesha kujibu vizuri, tambua kuwa CCM ina wanaharakati wengi zaidi kuliko Chadema na kwamba umemjua mama Salma Kikwete kwa sababu ni mke wa NDOA wa Rais Kikwete.
 
Kuna wanaharakati wengi sana wa chadema ambao hujui majina yao,na pia hujui matoke ya chochote kwenye harakati zao.Na kuna wengine unajuwa matokeo ya harakati zao lakini huwajui.Umtoke kumfahamu Josephine kwasababu ni mke wa Dr Slaa.
Usitake kupotosha Dr. Slaa hajawahi kuoa Josephine, ni Girlfriend wake tu.
 
Last edited by a moderator:
Hili wala halina mjadala hata JK na udhaifu wake wote pale kwenye official talks Salma hatii mguu.

Dr Slaa ni dhaifu kwa Josephine na wala halihitaji degree kulitambuwa, nitaendelea kumfanyia vetting binafsi Dr Slaa mpaka pale nitakapojiridhisha ameweza kumdhibiti huyu Mwanamke.

Wale wenye mahaba ya kupitiliza endeleeni tu kunifuata pm lakini kwenye sitayumba na msimamo wangu ni mkali sana na hauwezi kubadilishwa na yeyote zaidi ya Dr Slaa na Josephine.
Sisi vijana tusipoangalia sasa tutakuja kudhani tuna haki ya kuzungumzia mambo binafsi ya mtu...Josephine asiamabatane na mumewe kwa lipi kisa wakosoaji wake mtasema ha ha ha kama ndivyo basi siasa za tanzania ni upumbavu zaidi hata ya uongozi wa kichifu. Jifunzeni kwa wenzenu waliostaarabika mfn. Obama yeye si kutembea kwa ziara na Michelle ila hata kuonyesha mahaba kwa dunia kwa kushuka kwa ndege wamepakatana why not Dr. to appear with his good baby( Josephine).....Kama siasa ndio hizi mtu unapinda mpaka kiuno unacomment against Josephine ukiwa umeng'ata na meno...endeleeni na siasa za emotion watz mi sasa basi nitabaki mpiga kura tu na nitampigia huyo huyo mume wa Josephine hata kama mtamuibia kura. What does participation of Josephine to the high table has to do with my life, what are the to impacts of it to my life.
 
Umeshawahi kumsikia Michelle Obama akisema kuwa wamarekani wanaoishi ughaibuni ni wakimbizi? Hiyo ndio tofauti ya Michelle na Josephine.
 
Naona kuna document zinabadilishana mikono pale lakini tatizo ni kwamba Dr. Slaa yupo peke yake. Isije ikawa ni mikataba kati ya CHADEMA na Alabama?

Hapana nadhani ni mikataba kati ya Slaa na hao jamaa wa Alabama State!
 
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!

you are real GT....BAK hapo juu katokota kaacha kufikiria

yuko ziarani, well and good dont that paint this as state visit or something close to that. Let him know the culture of that world as he is used to the culture of Rome
 
Sisi vijana tusipoangalia sasa tutakuja kudhani tuna haki ya kuzungumzia mambo binafsi ya mtu...Josephine asiamabatane na mumewe kwa lipi kisa wakosoaji wake mtasema ha ha ha kama ndivyo basi siasa za tanzania ni upumbavu zaidi hata ya uongozi wa kichifu. Jifunzeni kwa wenzenu waliostaarabika mfn. Obama yeye si kutembea kwa ziara na Michelle ila hata kuonyesha mahaba kwa dunia kwa kushuka kwa ndege wamepakatana why not Dr. to appear with his good baby( Josephine).....Kama siasa ndio hizi mtu unapinda mpaka kiuno unacomment against Josephine ukiwa umeng'ata na meno...endeleeni na siasa za emotion watz mi sasa basi nitabaki mpiga kura tu na nitampigia huyo huyo mume wa Josephine hata kama mtamuibia kura. What does participation of Josephine to the high table has to do with my life, what are the to impacts of it to my life.
Hoja si kutembea au kupakatana bali kwenye vikao na mazungumzo yanayohusu chama yeye anaingia kama nani?
 
Ok sasa hiyo red tu assume ni kweli sasa inaijenga kwa kiasi gani Ccm na kuidhoofisha CDM kwa kiasi gani ?

Hatuzungumzi vyama hapa,kwani hata kimaadili ya kitanzania na kwa umri wa yule mzee kuwa na hawara haipendezi na si utamaduni wetu.
 
Matola has a point. Issue ni kwenye official talk za Dr. Slaa with other parties Josephine anaingia kufanya nini? au anawakilisha kitu gani?
 
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?

Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.

Alipewa dakika ngapi na Gavana?

sasa ndo umeandka nn hapa we gamba?!akili za mait hzi.
 
"Walipoulizwa kwa nini walikwepa
Tanzania, hawakuficha ukweli. Walinena
kwamba ni vigumu sana kufanya kazi
Tanzania. Ufisadi uliwazuia ingawa
wangekuja na fedha zao kutoka benki ya
dunia na shirika la kimarekani la USAID
ambayo inadhamini miradi yao sehemu
nyingi barani Afrika ikiwemo Kenya na
Uganda"

ridiculous eti ni vigumu kufanya kazi tanzania

mashirika mangapi ya US yanafanya kazi Tz

abbott fund
CDC
ASCP na kadhalika

hayo mashrika ni yale yanayotoa ten pacent kwa viongoz wa magamba.
 
Matola has a point. Issue ni kwenye official talk za Dr. Slaa with other parties Josephine anaingia kufanya nini? au anawakilisha kitu gani?

Josephine alisema Slaa akiwa Rais yeye ndiye atakayekuwa Chief of Staff. Labda yuko kwenye kujifunza...
 
Kwa ujinga wako wa kumlinganisha slaa na kikwete status yako imekua ya kishoga coz ni ucngizi na kifo afu Kwann hutulii, una funza mferejini? dr slaa mwenyew ni zaidi ya sarekali nzima ya magamba, kama we unapenda ungese kwa kutokujua au kwa kujua ili tu ulipwe buku 7 per day na mwigulu heri uwe shoga uliwe kiboga kulikuko kubonga shit za kiniaje
 
Umeshawahi kumsikia Michelle Obama akisema kuwa wamarekani wanaoishi ughaibuni ni wakimbizi? Hiyo ndio tofauti ya Michelle na Josephine.

Mkipiga propaganda asiwajibu kwa propaganda kwanini..leo nimekuona Lumunba mkuu umekula blown juu chihi unapiga spory na bonge mmoja big black nikaona umechukua phone fasta fasta ....pia vijana wamepanga foleni na bahasha kulikuwa maadhio mapya nini mkuu kuhusu bk 7
 
Chadema haina uongozi ina kundi la wahuni wanaoganga njaa kupitia siasa,hawa mahawara wanahistoria ndefu ya kuishi maisha ya kuunga unga mjini

cccm ina mafisadi wa wa walalahoi; inafuga mchwa wanyonyaji; epa; meno ya tembo; madawa ya kulevya ; rushwa; wachumia tumbo; eee mungu naomba shusha rungu lako hiki chama kishindwe na kuungua kabisa na itupwe kwenye moto wa millele
 
Back
Top Bottom