Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Things have never been the same since...

No wonder Katibu Mkuu wa CCM Kinana anamuhofia siku zote. Hawezi kusimama naye iwe kwenye mjadala wa kawaida redioni au kwenye TV ama hata kwenye live debates.

Man of the people by the people for the people...

KUMBE NDIYO MAANA kinana ALIMKIMBIA KWENYE MDAHALO !
 
My Beloved President H.E akiwa katika study tour named Vision Tanzania kwa ajili ya 2015

oneni jamani , KUMBE hata jina la hiyo ziara ya kujifunza iliitwa VISION TANZANIA ! Dah ! UZALENDO MTUPU !
 
Hakika watanzania tutamjutia Dr. Slaa tukimkosa!! Huyu ndie kiongozi pekee mwenye machungu na nchi yake!!
 
chadema ni mpango wa Mungu,chama kitakacho tuvusha toka Misri kwenda Kanaan,nchi ya maziwa na asali,nchi,isiyo na ufisadi
 
Back
Top Bottom