Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Duh,Dr.Slaa anatisha,hii ni balaa.sijamuona akipiga picha na akina 50cent kama Mwenyekiti wa chama twawala.Sasa nina kaswali wadau,hivi JK huwa haoni hizi fursa au ndiyo ubize na madili?
 
Bora Dr slaa anaonekana hata kuwa na hoja kwenye biashara na kilimo kuliko Rais Kikwete anaeendaga kutumia kodi zetu kwenda bembea badala ya kutafuta suluhu ya matatizo.
 
Hivi kuna fataani mkubwa zaidi ya shetani Mohamed Saidi na wafuasi wake Faiza Fox na Ritz?

Hivi hapo kuna "state reception"?

Kama ni kweli kuna "state reception" basi Dokta kachemka, na waliomualika hiyo "state reception" wamemdharau sana.

Dah! bila wageni waalikwa wengine?

Pole dokta slaa, pole kivuli cha Rweyemamu aliyeleta hizi taarifa, hajui hata maana ya "state reception". Na misukule wanashangilia!

Hata reception ya ndoa ina wageni waalikwa licha ya hii mlioibatiza "state reception".
 
Fazali Foko, unauliza swali hakuna anayekijibu toa jibu basi hutoi sasa tukueleweje?? Kama hapa Elezea state reception ni nini kanuni zake sheria yake ya TZ inasemaje majukumu yake,inavyotakiwa iwe,iende, eleza kila kitu kinachotakiwa,umetuletea walkin indigo elezea basi hamna ukaishia kutuuliza maswali sasa uelewekeje???

Acha Ujinga bana.
 
Mashumbushi ni mke au mchumba wa Dk. Slaa?

Ati Dr Slaa yupo na mkewe hivi huyo ni mke halali au hawara? Acheni kusifia ujinga nyie na kuisaliti biblia takatifu huyo ni hawara na anaishi nae Kama kimada.

Kuna ndoa Moja tu kwa wakatoliki na sio kuacha mkeo na kuoa mwingine ati nae anatambulika Kama mke lol huo ni upotoshaji mkubwa sana. Jose ni kimada Kama walivyo vimada wengine... Chepe daima litaitwa chepe na sio jembe.
 
Nakuuliza unajua maana ya "state reception"?

Yaani "State Reception" du hawa Machamdomo jamani wanatia aibu sana sijuwi wanaumwa nini hawa? Kumbe inawauma sana wakiona Rais anapata hiyo wanaoisema A state reception. Ni uchu na wivu mkubwa wa madaraka. Acheni wivu wa kike jamani.

Hivi unajua hata wewe na baba yako mkiwa na official visit mtapata fursa sawa Kama Slaa ? Ndio lazima upate Kama umeomba hata CCJ watapata huduma sawa na hiyo. Wee hujuwi vyuo vya Marekani ulisoma wapi kile chuo chenu cha mwanza?

Pili unadanganya sana angalia top 50 universities in US Kama hivyo alivyo tembelea vipo? Hakuna hata kimoja ndugu yangu ni sawa na kutembelea Veta chang'ombe.

Wewe Kama hujuwi cha kuandika kaa kimya na ulale maana inadhihirisha jinsi gani ulivyo pata elimu duni na usivyoelimika.
 
Hivi hapo kuna "state reception"?

Kama ni kweli kuna "state reception" basi Dokta kachemka, na waliomualika hiyo "state reception" wamemdharau sana.

Dah! bila wageni waalikwa wengine?

Pole dokta slaa, pole kivuli cha Rweyemamu aliyeleta hizi taarifa, hajui hata maana ya "state reception". Na misukule wanashangilia!

Hata reception ya ndoa ina wageni waalikwa licha ya hii mlioibatiza "state reception".
Yaani katika madada wa nguvu na wanaojua Vitu wee ni mmoja wao. Big up sana my sister from another mother. Waelimishe hao ili wajuwe na wao maana ya a state reception. Wanakurupuka sana hawa Machamdomo jamani.

Yaani head of departments na dean of faculty or college Kwao ndio state reception? Hamuoni hata aibu nyie jamani? Nenda UDSM au SUA ama MU Kama hutapokelewa Kama huyo babu yenu huyo anaehangaika na hawara uck kucha!!!

Jifunze kutambua kwanza wa nini ukiandikacho kabla ya kupost itakusaidia sana ndugu zangu wa Chamdomo. Najua fursa hukupata ya kusoma vyuo bora duniani hujachelewa jifunze utaelimika ndugu yangu. Naumia sana kijana Kama wee hujuwi maana ya state reception. Pole sana mjomba
 
bila kusahau kupanda bembea#

First Lady wa Chamdomo Kama kawa!!! Full tabasamu lol vyeo vitamu jamani naona Dada yangu wa Kanyigo alivyonawiri lakini shemeji yetu duu anazidi kuzeheeka na kinachosababisha ni msongo wamawazo.

Najua babu ulizikosa hizi fursa wakati ukiwa mtumishi wa Mungu sasa umekutana nazo uzeeni kandamiza babu. Najua anakupatia vile Vitu vyetu bora saana vya kihaya. Na ushasahau mke wako wa ndoa na unaendelea kazini. Babu endelea kuzini lakini ujuwe ushaanza kukopa biblia hivyo na toba isikupite.
 
"ziara za kimataifa" ndio zipi hizo? naomba nifahamishe kijana.

Ukimwacha mkeo na ukapora mke wa mtu na ukaenda nae Marekani kukagua vyuo vya kuwapeleka watoto wako na watoto wa mke wako uliowakuta ndio Ziara za kimataifa Mwalimu! Good answer my dear student, keep it up! A+
 
Nakuuliza unajua maana ya "state reception"?

Mwalimu ukivaa Kama Mama Kikwete na ukatoka na mshikaji wako ukaenda Marekani ndio maana nyingine ya a state reception. Good answer, keep it up. B+
 
Pana ushauri na kejeli, umewahi kumwambia kosa lake?

Kosa kubwa ambalo babu amelifanya ni kudhulumu mke wa mtu hata Mungu hapendi. Ndio maana ninamchukia Babu kuliko Shetani. Ni sawa na wewe unyang'anywe mke wako inauma sana. Ni dhuluma iliyokubwa sana kisa huna pesa. Mungu wa mbinguni na ardhi hapendi dhuluma na kila mwenye kudhulumiwa akiomba baya Mola hulipokea.

Nitakuchukia, nakichukia Babu kwa dhuluma na kulisaliti kanisa takatifu la Bwana. Na hivi unaendelea kuzini katika umri huo hapo ndipo naumia zaidi
 
Back
Top Bottom