Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Sikuwahi fikria kama chadema na hasa Dr Slaa ata anza kufikiria kwa taabu kiasi hiki! Hivi ni kitu gani kimempata Dr Slaa?????
Slaa labda hajui maana ya SIDO.
Hakuna kiwanda kinachoitwa SIDO. SIDO ni mkusanyiko wa wajasiriamali wanaoendesha viwanda.
Je, sasa hivi SIDO kitu gani kinawakataza kutengeneza hiyo mitambo?
Nimekuuliza swali very specific.
Je, kuna mtu leo hii anawakataza SIDO kutengeneza mitambo ya bei nafuu ya kutengeneza pombe kali iliyo salama kwa wanywaji? Nani amekatazwa kubuni?
hebu tujaribu kuishi kwa kutokujitoa ufahamu, kwani MKAPA alifanyaje hadi vifaa vya ujenzi na vyakula bei zake hazikupanda? kwani serikali inawajibu gani kwa wananchi..LETS THINK BIG GUYS
Siungi mkono kwa maana ile anayosema Dr. Slaa kwavile hoja yake naona imekaa kisiasa zaidi hasa inapoelekea kumaanisha kwamba atafanya hivyo kwa ajili ya watengeneza gongo maskini....kwamba hawa watengeneza gongo maskini wa leo, wakiwezeshwa basi watakuwa na uwezo wa kutengeneza gongo iliyo salama. Endapo hoja itajikita kwenye kutengeneza gongo salama bila kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa local gongo brewers, then I can bet on it coz' I know at industrial level, percentage methanol can be reduced to acceptable rate and remain with only methanol necessary to neutralize Ethyl Ethanol. This's very important to me coz' as I stated earlier, to make it safe. production costs itaongezeka maradufu na kuwa si kwa ajili ya watengeneza gongo wa leo tena bali ni kwa ajili ya big investors. Kwahiyo, ikiwa hoja ni kuwafanya watengenezaji wa leo wa-survive kiuchumi basi ni bora kuwaachia kama ilivyo kuliko kuhalalisha wakati unafahamu fika hawatakuwa na ubavu wa kukidhi vigezo, not only financially but also technically. Nitaunga mkono hoja iwapo msingi wa kuhalalisha gongo utakuwa ni ku-attract modern investment ili serikali ipate kodi na sio hivi inavyozungumzwa sasa!NasDaz, karibu katika mjadala;nitarudia hoja zako muhimu, lakini wakati unanisubiri kwa hilo, nadhani unaelewa maudhui ya mada hii ni nini; kuna ya kujadili sasa na ya kujadili baadae; kabla haujajenga hoja, ni muhimu useme kwanza kama unaunga mkono hoja kwamba gongo ihalalishe au hapana; kufanya hivyo ndio kutafanya mtiririko wako wa hoja ueleweke, tofauti na watu kama ZeMarcopolo ambao wapo very erratic, lakini hilo linaeleweka kwani wanatafuta ushindi wa mjadala kwa udi na uvumba wakati mimi sipo hapa kutafuta ushindi bali kubadilishana mawazo kwa manufaa ya taifa, huku nikitegemea kabisa mwishoni kuna kukubali kutokukubalina; Gamba la Nyoka, nitakurudia pia;
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu ndo maana nikakupa mifano hapo juu, yaani hata hao wabunifu wakija kwamba wanataka kuifanya gongo iwe safi mtawarukia kama mnavo mrukia Dr.Slaa! Kwasababu Dr. ndicho alicho kisema 'in a nut shell'. 'Kuruhusu viwanda kutoa mitambo ya gharama nafuu kuifanya gongo ifae kwa matumizi ya watu' Angalia sasa kutoshirikisha ubongo kwenu mnavo mparamia?? comeone my fellow Tanzanian tupende kilicho chetu tuache kujidharau.. hata hayo ma grant na vodca ni sawa na gongo tu, sema yenyewe yameondolewa hizo sumu za methonol. Tena kwa taarifa yako gongo is more yummy and tasty than wisky and many other impotend brands!
Sikuwahi fikria kama chadema na hasa Dr Slaa ata anza kufikiria kwa taabu kiasi hiki! Hivi ni kitu gani kimempata Dr Slaa?????
Duh!
Inamaana hujuhi Mchango wa waleve lwenye pato la taifa ?
Na ndio maana wanataka Kuboresha kisha kuirasimisha Gongo ili ichangie kama Konyagi na Kibuku.
Maadili yapi? Mbona Kanisani Mnakunywa pombe? Hivi Ule mkate si una Divai ? Divai si Gongo iliyochakachuliwa tu au ?
Hahahahaha
Vijana wa Bavicha wamelaghaika.
Slaa a.k.a mzee wa gongo kaajiri "consultant" aje kumtetea, lakini "consultant" ameishia kukiri kuwa gongo isiyokidhi viwango iwe haramu kisheria.
Sasa sijui huyu "consultant" alikuja kutetea nini!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Cc FaizaFoxy
Mchambuzi
Kiongozi bora huwa na "ethics" katika utendaji wa wake wa kazi na maisha yake ya kawaida; kiongozi huwa nio kioo cha jamii inayomzungumka; binafsi sishangazwi na maneno ya huyu muongo na mzandiki Dr.W.Slaa; huyu yupo yatari kusema au kuahidi chochote ili mradi akubalike. Mtu aliyekosa "ethics" katika maisha yake binafsi kweli ataweza kuwa na "ethics" katika siasa? labda juilize kwa nini katika nchi zilizoendelea mwanasiasa anahusishwa moja kwa moja na tabia na mienendo yake katika maisha? Ukiwa muongo utakuwa muongo tu; Dr.W.Slaa ni muongo kuna wakati alijaribu sana kumtaja Josephine kama mke huku anjua fika anaishi na kimada na anafanya uzinifu; kwa hili moja hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi; huyu alikimbia utumishi wa Mungu sababu kubwa ni NGONO lakini akitaka kudanyawatu hugeuza maneno ameacha ili awatumikie wananchi kitu ambacho sio cha kweli; sasa leo hii anatoa ahadi ya kuruhusu Gongo hivi anataka kusema hajui madhara ya pombe kali kiafya na kijamii? Urusi imekabiliwa sana athari za unywaji wa hizi pombe kali; wanasiasa wa Urusi wamelivalia nyuga tatizo la pombe kali nchi inatumia gharama sana kutibu wananchi wake kutokana na unywaji wa pombe kali; vijana wengi wameathirika kiasi ya kwamba hawawezi kufanya kazi; leo badala ya Dr.W.Slaa kuwahamisha vijana kuepuka ulevi ili watoe mchango wao kwa taifa yeye anahuburi ulevi; Dr.W.Slaa ni mzinifu hata haya anayoyafanya Mbowe ya kumwacha mke wake na kwenda kuzini Dubai ni matokeo ya kuwa karibu na Dr.W.Slaa
Mzinifu huyu alianza na watoto wa kiume kanisani; akingilia wanakwaya; amemalizia kwa kupora wake za watu laana ya mwenyezi Mungu inamdhuru sasa anataka kutuharibia vijana ambao ndio tegemeo la kesho; ataropoka sana mwaka huu uraisi ataishia kuusoma Tanzania Daima.
Mkuu Ze Marco, ninachokukubali ni jinsi unavyokuwa king'ng'anizi on what you believe in, kitu ambacho ni kizuri kwenye debate as debate na sio lazima kiwe kweli ni kizuri in reality!.Mkuu Pasco
Tanzania hakuna mtu anayekatazwa kutengeneza, kusambaza au kuuza kinywaji ambacho anathibitisha kuwa ni salama kwa wanywaji.
Bangi ni marufuku without exceptions. Kwenye hili la bangi, wewe na FaizaFoxy mko sambamba. Bado sijajua kama Mchambuzi naye anaunga mkono ganja.
"Mambo ya Amsterdam" yanajadilika.
Hapa naona umesahau pia kuzungumzia ndoa za jinsia moja. I may be wrong, but based on this post I can't imagine you opposing homosexual acts.
Nikutakie Christmass njema...
Mkuu Ze Marco, ninachokukubali ni jinsi unavyokuwa king'ng'anizi on what you believe in, kitu ambacho ni kizuri kwenye debate as debate na sio lazima kiwe kweli ni kizuri in reality!.
La bangi nililisemea na nimeishajiribu nilipokuwa Tambaza, nikaijaribu tena nilipokuwa Ilboru, ila mimi inanituma vibaya!, na siku ninapoamua kukubali mwenyewe initume hivyo vibaya, huwa nashtua juzi, jana, leo na kesho!. Haina sumu ya nicotine kama sigara, yenyewe ina canabis tuu!, haileti cancer kama sigara etc. Baadhi ya hospital imekubaliwa na kwa hapa nchini naomba nikupe taarifa rasmi, kosa sio kuvuta bangi bali kukutwa ukivuta hadharani!, kama ilivyo kufanya mapenzi sio dhambi bali kufanya hadharani ni jinai!. Jinai ya bangi ni kukutwa na bangi na sio kuvuta!.
Enzi Walter Rodney akiwa mwalimu UD alikuwa anaipiga hiyo kitu kisawasawa!. Kuna lecture mwingine Mjamaica, alikuwa akiipiga hadharani, wanafunzi waliokereka wakamlipua akashikwa, akashitakiwa, akakiri na kulipishwa faini, utawala wa chuo ukamuita kumuonya na kusema wazi hiyo kitu na sehemu ya maisha yake, ama bangi ama afungashe!. Akakubaliwa kuendelea kuipiga lakini kwa masharti, asiipige tena akiwa darasani au kwenye maeneo ya wazi, ajipigie jani lake akiwa nyumbani kwake!. Marastafarai kibao wanakula hiyo kitu na kuna hadhi waheshimiwa wabunge wetu wanapata hiyo kitu wengine ikiwatuma vizuri, wengine ikiwatuma vibaya ila wapataji wanapata!.
Siungi mkono ndoa za jinsia moja ila niko very accomodative na situation yao haswa wale wanaojikuta huko kwa anatomical reasons and not by choice!. Kuna baadhi yao wamezaliwa na ulemavu huo na ni kama ulemavu mwingine wowote!, ni watu wa kuhurumiwa, kusaidiwa na sio kushangaliwa, kubezswa, kudhihakiwa na kutengwa!.
Merry Chrismass!.
Pasco
Mkuu,
Kwenye kichwa cha habari yako unasema "Dr. Slaa na kuhalalisha gongo..". Unaosema hutaki kujadili alichosema Dr. Slaa badala yake twende moja kwa moja kwenye kile ulichoandika unakuwa unakimbia mjadala ambao umeuanzisha wewe mwenyewe.
Yes, kasema hivyo watahalalisha. Kuhalalisha jambo ni mchakato na si tu kwamba ataamuka yeye na serikali yake na kusema na kuwaambia watu jamani wananchi wangu,kuanzia kesho gongo ni halali!!...Na kwa nilivyomwelewa amegusia hilo kwamba wataihusisha SIDO......
Kwa vile umetaka twende kwenye kile ulichosema hapa na kuacha mjadala uliouanzisha, mimi pia nitakubaliana na wewe. Tujadili kuhalalishwa kwa gongo, bila kumhusisha Dr. Slaa or personalities.
Vyema kwa sababu hutajadili mtu na huo ndiyo u-GT,utaheshimika kwa hoja na si kwa umahiri wa kumchamba mtu!!
Here I come,
Gongo maana yake ni pombe kali inayotengenezwa kiholela ambayo pamoja na vitu vingine huwa na sumu inayoathiri afya ya binaadamu.
Ziko zilizo kali sana zinatengenezwa kwa kufuata sheria na ziko sokoni zinatumiwa na zinzingiza pato kwa taifa na bado zina madhara kwa mtumiaji kijamii na kiuchumi na kiafya pia.
Pombe hii ina madhara ya kibaiolojia, kisaikolojia, kiuchumi, na kijamii. Ili kufuisha urefu wa post hii nitagusa kila madhara kwa juu juu tu na nitakuwa nikiingia deeper kadri mjdala utakavyoendelea.
Madhara ya kibaiolojia: Yapo madhara ya muda mfupi na muda mrefu kwa afya ya binaadamu kama upofu, magonjwa ya ini, kudhoofisha kinga ya mwili, magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, kuunguza uwezo wa kuconcentrate.
Kisaikolojia: Matumizi ya gongo ya muda mrefu yanamjengea mtu hali ya kutokujiamini na hivyo kupunguza uwezo wake wa kufanya kazi.
Kiuchumi: Ni dhahiri kwamba watu wanaokunywa gongo wanashiriki kidogo katika GDP kuliko wale wasiokunywa gongo.
Kijamii: Gongo imekuwa sababu ya mahusiano mabaya katika jamii. Wanandoa kuachana, vijana kujifunza tabia ya wizi.
Pombe zote zina madhara haya yote.Na madhara ya kitu chochote including pombe hii inayoleta mjadala ZE GONGOZ yanamtegemea mtumiaji mwenyewe. Hata Kilimanjaro Lager au Tusker au Balimi au kimpumu au Komoni au ile ya mtama kule kwetu Singida tunainywa kwa kwenda mbele na ukitumia bila akili lazima utakumbana na madhara haya!!
Kwanini gongo haipaswi kuruhusiwa kisheria?
Pamoja na kwamba gongo ina madhara mengi, lakini sababu kuu ya gongo kutokuruhusiwa kisheria ni moja, ambayo ni kutokukidhi viwango vya ubora unaohakikisha usalama wa wanywaji wake.
Kwa upande wa madhara imesemwa kuwa kila kilevi hata vile unavyoseama ni halali vina madhara. Kuhalalishwa kunakomaanishwa na DR W.P.Slaa ni pamoja na kuwasaidia utaalamu wa kiteknolojia wanaotengezeza ili watengeneze GONGO inayokidhi viwango kwa uwazi na bila ya kificho. Hta hao polisi wanaoendaga kukamata gongo baadhi yao ni wapenzi wa pombe hii na wanawalinda watengeneza kwa ujira wa "fanta mbili za gongo!"
Leo hii iwapo mpika gongo atahakikisha kuwa anachouza ni salama kwa matumizi ya binaadamu, basi hatakatazwa kukiuza. Taratibu za yeye kupewa kibali cha kutengeneza, kusambaza na kuuza pombe salama zipo.
Kivipi sasa pasipo kuwajengea mazingira na ikaeleweka kwao hivyo?? Je, ni kwa kuwaambia tangu uhuru 1961 kwa kuwa wanachotengeneza (gongo) ni HARAMU na KICHAFU na kina madhara na hakitakiwi na sheria??...Si ndiyo msingi wa hoja ya Dr Slaa na kuchajishwa na Mchambuzi?? Au mimi sijakuelwa wewe??
Unaposema gongo iruhusiwe ni kwamba unasema pombe kali inayoweza kupofua watu macho iruhusiwe kuuzwa. This is exactly what you just said in your post.
Je, unadhani ni sahihi kurusu pombe inayopofua macho kuuzwa just because tunataka muuzaji apate kipato?
Hata Konyagi na viroba na pombe zingine zote (mradi kinaitwa kilevi) si tu zikitumiwa vibaya kuzidi kiwango zinaweza kukupofusha macho bali pia zinaweza kukuua kabisa tena hapohapo!!....Mpaka hapo huoni kuwa Mchambuzi na DR Slaa wana hoja?? Huoni kuwa kuna kitu kinatakiwa kifanyike na si tu simply kwa kusema hawa watengenezaji waende wakasajili gongo yao? Huoni kuwa ni vigumu kuzuia mamilioni ya watu kutumia kinywaji hiki "kilichohoharamishwa" lakini wakati huohuo wanaokitumia hakuna dalili yoyote kuwa ipo siku watafanikiwa kukidhibitii? Aidha Si kweli kuwa wanaotumia kinywaji hiki kilichoharamishwa ni watz wa vijijini tu na wenye hali duni kikipato. Hii si kweli kwa sbb unywaji wa gongo upo mijini na vijijini kotekote tena mijini ndiyo balaa hata watu wa kipato chao cha mshahara na vibiashara vyao wanapiga gongo na tena inaingizwa(imported mijini) kama bidhaa zingine tu toka vijijini km vile viazi,mahindi nk ....
Hahahahaha this is ridiculous!
I am sure you are joking!!!
Kuna mambo mawili kwenye hili uliloandika.
1. Sheria ya bidhaa bandia inahusu branded products. Gongo haina brand. From mtungi to mdomo. Gongo is not fake, it is original but potentially dangerous.
Iwapo muuzaji ataiweka kwenye sealed bottle of Konyagi for example na kuisambaza kwa kuwalaghai wanunuzi kuwa hiyo ni konyagi then tunaweza kusema ni bidhaa bandia.
2. Lets assume kwamba sheria hiyo itakuwa applicable. Bado maana yake ni kwamba wauzaji hao wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hii ni kumaanisha kwamba lengo la Slaa la kuwafanya wauza gongo haramu wasibughudhiwe na polisi litakuwa halijatimia.
Nasubiri sehemu ya pili ya chapisho lako ili nikupige nyundo tatu za mwisho zitakazofunga mjadala.
Mkuu Mchambuzi,
Nashukuru kwamba nawe umeileta hoja hii. Nashukuru kwavile waliotangulia nimekuwa nikiwauliza swali ambalo mara zote wamelikwepa; hivyo nitarudisha swali/maswali husika kwako kama yalivyokuwa awali. Lakini nitangulie kusema kwamba, uharamau wa Gongo hautokani na hoja kwamba eti mazingira ya utengenezaji wake ni mabovu/machafu. Uharamu wa gongo is more than that. Technically, uharamu wa gongo unatokana na contents za gongo yenyewe. Kama ambavyo alizungumza mtoa mada wa awali, Gongo; among other things, is a solution of Methane and Ethanol. Hii Methanol ndiyo hatari yenyewe na kinachotakiwa ni ETHANOL and in fact not only Ethanol, but ethanol with acceptable amount of methanol.
Hivyo basi, swali ambalo watoa mada wa awali hawajanijibu ni hili hapa chini ambalo naomba wewe unijibu. Naomba tutumie formular za mleta mada wa awali kwavile ndicho hasa kinachotakiwa kujadiliwa.
Kwanza kabisa nashangazwa na kauli yako hapo kwenye RED ya kuwaona watu wana akili finyu wakati suala hili ni la KITAALAMU zaidi kuliko kuwa la KISIASA! Tunaposema Gongo, among other compounds ni mixture ya ethanol na methanol tayari moja kwa moja linakuwa ni suala la kisayansi. Anyway, turudi kwenye mada.
Awali ya yote, kwavile mimi si mtalaamu wa masuala ya Kikemia, basi nitatumia elimu ndogo ya Organic Chemistry ya A-Level. Hata kama sitakuwa 100% RIGHT bado am certain sitakuwa mbali saaaaaana na ukweli.
Kwanza kabisa, Gongo=CH3OH + C2H6O. Hii maana yake ni kwamba, to every cubic litre of Gongo, hiyo ni mixture ya CH3OH (Methanol) and C2H6O(ethanol). So, kabla hatujaenda huko kwenye Boiling Point, what's the percentage Methanol in that mixture? To put it in layman language, kuna asilimia ngapi ya Methanol (say) in every litre of GONGO? This's very important to know in order to make this discussion logical(hapa naongeza leo kwa kusema, to make discussion scientific and not political discussion). Which means, if (say) in every litre of Gongo kuna 70% methanol, then keeping other factors constant, uki-apply heat kwa ajili ya ku-vaporize methanol then you'll only remain 30% of liquid Gongo! If so, will it be still economical if 1000 litres of today's DANGEROUS GONGO will only be 300 litres of SAFE GONGO? Will it still be economical if pipa moja la gongo ya leo ambalo ni 200 litres libaki kuwa only 60 litres? This literally means in order to maintain at least the same level of production, then current production inatakiwa kuongezeka at the same level of methanol available in every cubic unit of today's GONGO. Kiuchumi inabidi itokee economies of size so as to be economically profitable....so, will it still be at the advantage of today's poorer brewers or it'll have to attract other investors who're financially stable? If so, will it still serve the purpose (to support the poorer?)
Kama Dr.W.Slaa na supporters wake hawana hizo figure, basi watakuwa wanajadili suala hili kisiasa zaidi kuliko kisayansi.
Umezungumza kirahisi kabisa kwamba Methanol and Ethanol zinatenganishwa kwa kuangalia Boiling Point zao! In a nutshell, you're RIGHT, lakini kwa mtu asiye na uelewa hata kidogo anaweza kudhani this's all about boiling the mixture then Methanol hiyooooo, ina-disappear wakati practically, FRACTIONAL DISTILLATION process inabidi i-take place thus increasing the production cost!! Si hivyo tu, umetaja BP ya Methanol 64.7 °C na ile ya Ethanol ni 78.37C....YOU'RE RIGHT! Lakini tusisahau kwamba hizo BPs ni za pure methanol and ethanol. Gongo ni mixture ya methanol, ethanol and other impurities; so heat applied inabidi iwe somewhere between 64.7 and 78.37.Hii maana yake ni kwamba, NO GUESSING....exact heat inabidi iwe applied at a certain level otherwise Methanol and Ethanol zote zitakuwa zina-evaporate thus minimizing the amount of Ethanol. However, the idea is to remove methanol and remain with ethanol. Umakini usipokuwapo, then si ajabu methanol yote ika-evaporate na kubakiwa na Ethyl Ethanol ambayo nayo ni hatari vilevile! Ni hatari coz' hata hizi spirit and in fact hata bia za kawaida zinakuwa na percentage methanol ndani yake ili ku-neutralize hii Ethyl Ethanol. The question is, can all those technical stuffs be handled by the existing poorer/local Gongo brewers or need some people specialized in the industry? If so, the same question arise again; will it serve the purpose?
Maswali ni mengi, jaribu kuyajibu hayo peke yake.
NB: Narudia, suala la Gongo ni la kikemia zaidi kuliko mazzingira ya utengenezaji wa hiyo gongo. Nimetumia arguments za mtoa mada wa kwanza coz', if you want this discussion not to be political discussion basi tunatakiwa kuangalia contents za gongo; that's Methanol and Ethanol and how we can evaporate Methanol from Ethanol huku pia tukihakikisha not all amount of methanol evaporates but some amount need to remain so as not to remain with Ethyl Ethanol.
Nikusifu kwa kujua namna ya kucheza na maneno; unajitahidi sana kutafuta ushindi wa hoja wakati suala hapa sio ushindi bali kukubali kutokubaliana kwa hoja;
Kama utakavyoona katika sehemu yangu ya pili, unachojadili hapo juu hakina maana; tafadhali rejea uone jinsi nilivyohitimisha bandiko namba moja hapo juu, hasa ni nini niliahidi kuja kujadili, utaona kwamba nipo on track with what I am doing, na haya maswali ya gamba la nyoka ni ya baadae, baada ya hoja ya msingi juu ya whether gongo ihalalishwe au la ikishakuwa addressed;
Seasons greetings mkuu, thanx;
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwani konyagi inatengenezwa nchi gani?
Mwenzako Mchambuzi kashagundua kuwa gongo ambayo si salama kwa wanywaji inapaswa kupigwa marufuku chini ya "sheria ya bidhaa bandia". Wewe bado unataka sumu iuzwe vichochoroni bila sheria kusema kitu?
Rose, naona umeukimbia ule mjadala uliouanzisha kwa viformular vya hapa na pale, sasa umekuja huku kwa "consultant".
Just be informed that "consultant" amekiri kuwa pombe ya gongo isiyokidhi viwango iwe haramu na wanaotengeneza au kuuza wachukuliwe hatua chini ya "sheria ya bidhaa bandia".
Hapa mjadala umeshaisha kwa post hiyo ya "consultant" Mchambuzi. Sasa hivi tunapiga story za Christmass tu.
Merry Christmass dada Rose.
Nadhani unamlenga ZeMarcopolo;Wewe jamaa kumbe sometimes ukiiweka akili yako vizuri una hoja nzuri sana tu zinazoweza kufanya watu mkajadiliana kistaarabu kabisa kwa hoja eti eeh!!??. Hapa nimekupenda mkuu na Pingana tu na Dr Slaa kwa hoja naamini hata yeye atakuheshimu sana kwa hilo. Hatukatai kwamba kuna wakati mijadala inayohusu watu binafsi pia katika mazingira flani huja na huyo mtu hujadiliwa ktk uelekeo huo,but for this Dr Slaa has point for GT na Mchambuzi na wengine wengi wameilewa. Na mimi naungana na hao.
Anyway najua na kutambua fika kuwa hata wewe umeelewa lakini hukubaliani na Dr Slaa kwa sbb unahisi huyu bwana ana re-invent kitu ambacho tayari sheria na taratibu za nchi yetu zinaruhusu utengenezaji wa pombe/vilevi aina zozote (na hii ndiyo hoja yako kiukweli).....lakini wakati huo huo sheria hizohizo zinaharamisha hii inayoitwa Gongo (hili ndilo tatizo la msingi tunalolijadili na ndiyo msingi wa mleta hoja na Dr Slaa) ndiyo maana akasema wao CHADEMA wakifanikiwa kushika dola "wataihalalisha Gongo kisheria" . Kilicho kibaya ni kuwa kuna watu wanamshambulia aliyeleta mjadala huu Dr W.P. Slaa yeye kama yeye kwa kumuita majina ya ajabu kama vile huyo bau kalewa gongo,na wewe kuna post yako hapa juu umesema siku ile anatoa hoja hii alikuwa "amepigwa kipapai" bila ya kuichambua na kuipinga hoja yake kwa hoja ...........ila leo(wewe) umekuja vizuri!!.
Sasa hebu twende kwenye hoja zako. Mimi natofautina naa wewe kwa kiwango kikubwa kwa sababu bado naamini na nitaendelea kuamini kuwa this Mzee Dr Slaa na huyu Mchambuzi wako sahihi;
[SIZE=4[SIZE=4] Mchambuzi, sote tunakujua namna ulivyo gwiji hapa JF ila katika hili, nyoosha mikono tu kwamba Dr. Slaa amechemka au hakujua alichomaanisha au nyie mtakuwa mnaongea kitu tofauti na alichosema Dr. Slaa. Ningeshawishika na kukubaliana na "uhalalishwaji" wa gongo iwapo Gongo ingelikuwa haiuzwi huko Tanzania. Ukweli ni kwamba Gongo inauzwa (chini ya jina Konyagi), na ina taratibu zake kama NasDaz alivyojaribu kubainisha na ina sheria yake chini ya kile kinachoitwa pombe kali. Vilevile, tukumbuke kwamba Konyagi ni zao la Gongo pindipo ikikidhi viwango vya uzalishaji kama NasDaz alivyobainisha na wala si viwango vya jina (brand name). Vile vile kwa kuwa umekiri kwamba bado sheria itahitajika ya kuzuia utengenezaji na uuzaji wa pombe isiyokidhi viwango-hii automatically ni Gongo hii tunayoijua leo-whatever ni sheria ipi itakayozuia lakini msingi wake ni kuzuia utengenezaji na usambazaji wa "Gongo Fake" na msimamizi wa sheria hiyo itaendelea kuwa mahakama (kama ilivyo sasa). Kwa msingi huu, Mchambuzi utakuwa unachambua nini hapa?[/SIZE][/SIZE]
Nikirejea: Gongo inayotengenezwa kwa kufuata taratibu husika=ipo chini ya jina Konyagi; Gongo inayotengenezwa bila kufuata taratibu husika=Ipo jina limebaki kuwa Gongo na hairuhusiwi kutengenezwa, kutumika na kusambazwa chini ya Sheria. Sasa mnapojenga hoja ya kuhalalisha Gongo ipi? Siyo hii Konyagi? Aidha hoja Hoja ningeliielewa kama ingelikuja na agenda ile ya miaka ya 70 ya kuinunua kutoka kwa wazalishaji wadogo wasiozingatia viwango ili izalishwe kwa kiwango (suala ambalo limekuwepo na lipo, ila hao wapishi wa gongo hawako tayari kwa hilo), au kufufua na kutilia mkazo wa kuwakusanya wapishi wa Gongo wajiunge katika vikundi na kupeleka products zao kiwanda cha Konyagi then wachukue wauze huko mtaani kupitia chupa zao za Soda (kitu ambacho pia hawatakubali).- tukubali tu Dr. Slaa anazungumzia Gongo hii tunayoijua kama Gongo kwa sababu Gongo ile ya kitaalam ipo na halali. Nauliza tena, Mnajadili kuhalalisha Gongo ipi? Ndio Marcopolo anasema hoja imeisha hii, tutakiane X-mas tu hapa.
Lumumba kuna aina kuu nne za watu:
1. Jesters
2. Demagogues
3. Ideologues
4. Intellectuals
You are a jester in a super hero shirt;