Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,436
- Thread starter
- #101
Kwani gongo sio pombe ya kienyeji?Katika post yako hii naona umebadilisha lugha. Hutumii neno gongo, unasema "pombe za kienyeji".
Nimewaomba MODs waunganishe hizi threads kwa sababu mambo mengi nimeyaeleza kwenye threads nyingine. Hapa naona kama tunaanza upya.
Unachofanya ni kujaribu kushawishi MODs wakusaidir kuupoteza huu uzi baada ya kushindwa hoja;
Tatizo lako ni kwamba kwa vile ccm wote wanapita kwa rushwa, unaona matumizi ya fedha (ccm) katika chaguzi kununua haki na demokrasia huoni hilo kama sio tatizo; Mwenyekiti wako JK anasema ni tatizo, wewe je unasema ni tatizo au sio tatizo kwa ccm sasa na baadae (2015)?;Kuhusu CCM na rushwa nimeshasema kwamba simjui kiongozi hata mmoja aliyeshinda uchaguzi ndani ya CCM bila kutoa rushwa. Mtu yeyote anayejua chaguzi za CCM hawezi kukataa hili.
Diversion gani?Kwa vile umeleta diversion, naomba na mimi nilete diversion kidogo.
Moja ya sifa anazotakiwa kuwa nazo kiongozi (ingawa mimi sio kiongozi), ni kukubali mawazo mazuri hata kama yanatoka kwa wapinzani wako;katika hili la DR. Slaa, ni wazo zuri, na nimejadili kwanini, huku hoja zenu za kunipinga zikikimbia kujadili hoka zangu;Wewe Mchambuzi unajitambulisha kama mwana CCM lakini kutwa kazi yako ni kutetea sera za Chadema na Dr. Slaa huku ukiponda kila kitu about CCM. Remind me the last time you wrote anything good about CCM.
Yapo mengi nayosema ccm imefanya vizuri, lakini hasa awamu ya nyerere na kidogo sana awamu ya mkapa kuliko awamu ya nne ingawa yapo machache ambayo huwa nasema ni mazuri;kwanini wengine waone nikijadili hayo, hata watu wenu wa Lumumba kiasi cha kuniomba niwatengenezee papers mbalimbali lakini wewe hauoni?
pasco kanieleza mengi sana ya maana, je ni lipi, la kuhama ccm na kuhamia chadema?hilo linawezekana kwani iwapo ccm haikuwa mama kwa Nyerere, haiwezi kuwa mama kwangu;kwa sasa mimi ni mwana ccm, na nitaendelea kukosoa mengi ya ccm chini ya kanuni ya mwongozo (1982) kwamba kukosoa na kokosolewa kwa viongozi na wanachama ndio silaha ya Mapinduzi;kanuni hii inaelekeza viongozi na wanachama kutohamaki wanapokosolewa;zingatia kanuni hii, hivyo ndio utaweza kukomboa chama chako cha ccm huko tunapoelekea;Kuna kitu alikwambia Pasco may be you should consider it.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Last edited by a moderator: