Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Status
Not open for further replies.
Hivi kwanini watu wa Lumumba wanatulazimisha kumpa nafasi Zitto kwasababu ya kujenga democrasia lakini wao wakishauriwa na kada wao makini Mchambuzi wanachukia sana?

CC MSALANI

Mchambuzi sio kada wa CCM.

Huyu anamiliki kadi tu ambayo aliinunua ili agombee Ubunge.

Kumbuka kuwa Slaa naye anayo kadi ya CCM. Slaa alipoulizwa kwanini hairudishi kadi hiyo kama wale vijana anaokusanya kadi zao kwenye majukwaa alijibu kuwa "akiba haiozi"
 
Watu wengi ni maskini wanakunywa gongo kwa kuwa ni bei rahisi kuimudu

Mtu masikini anapaswa kufikiria jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye umasikini, sio kufikiria aina ya pombe ya kunywa.

Mtu anakesha kwenye kilabu cha gongo lakini akiambiwa alipe ada ya mwanae sh. elfu 10 kwa mwaka anasema hawezi! Akiumwa anataka atibiwe bure kwa pesa za kodi za wananchi.
 
Mchambuzi sio kada wa CCM.

Huyu anamiliki kadi tu ambayo aliinunua ili agombee Ubunge.
As usual, upotoshaji;

Nilijiunga na UVCCM 1989 Tawi la rungwe sekondari Mbeya na kadi ninayo hadi leo;Na tangia mwaka 1990, nimekuwa mwanachama hai wa ccm, na mara ya mwisho kadi yangu nimeilipia CCM Tawi la Kawe mbele ya katibu wa tawi; kasome register ya wanachama waliolipia kadi zao pale;

Suala la ubunge nimekuwa nalipenda tangia mdogo kwani baba yangu alikuwa mbunge wa Rungwe kwa miaka 20 na alikuwa na tabia ya kunibeba katika ziara zake tangia mdogo nikiwa likizo;that's how I became interested with politics, na kuamua kutumia haki yangu ya kikatiba ya kuchagua au kuchaguliwa kwa kugombea ubunge kinondoni 2010;

Wanaokosoa chama kama Kinana na Kikwete mbona mnaogopa kuwaita wasaliti wakati mwongozo unaruhusu wanachama na viongozi kukosoana kama silaha ya mapinduzi? Watakaokiua
ccm ni wanafiki kama wewe ambao mmedandia ccm kwa maslahi tu na kutokana na mahusiano yenu na kina fulani;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mchambuzi, kama wamehalalisha "gongo za kizungu" wanakosa morals za kutohalalisha "gongo za kitanzania". Ukiikubali dhambi moja huna namna ila kuzikubali zote! Kwangu mimi (Mkristo) kama ulivyosema, JD au JW zote haramu. iwe kiroba, gongo au mataputapu kwangu sioni tofauti.

Kama taifa linalotegemea pombe kwa mapato yake badala ya dhahabu, gesi, utalii et al, sioni kama kuna la ajabu hapa!
 
Wanaokosoa chama kama Kinana na Kikwete mbona mnaogopa kuwaita wasaliti wakati mwongozo unaruhusu wanachama na viongozi kukosoana kama silaha ya mapinduzi? Watakaokiua
ccm ni wanafiki kama wewe ambao mmedandia ccm kwa maslahi tu na kutokana na mahusiano yenu na kina fulani;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu, mimi sijakuita msaliti. Hilo neno limekaa kichademachadema sana. Sijalitumia jina hilo kwako.
 
uchambuzi wako umejitosheleza kabisa na yeyote hata yule mwenye akili ya kawaida sana amekuelewa , nakushukuru sana .
 
Mtu masikini anapaswa kufikiria jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye umasikini, sio kufikiria aina ya pombe ya kunywa.

Mtu anakesha kwenye kilabu cha gongo lakini akiambiwa alipe ada ya mwanae sh. elfu 10 kwa mwaka anasema hawezi! Akiumwa anataka atibiwe bure kwa pesa za kodi za wananchi.

Makasino yenye JD, JW, Konyagi, Safari et al sio kuwa yameruhusiwa na serikali na yanalipa kodi? Je sehemu kama Jolly ambako kuna ufuska wa kila aina unaosababishwa na ulevi hamuuoni?

Sifagilii pombe hata nukta moja. Ningependa walevi wote waokoke waachane na pombe wafanye maendeleo. Lakini sioni tofauti ya gongo na pombe zinazonywewa katika makumbi ya starehe. Zote ni pombe na sioni tofauti.

Kitu ambacho natofautiana na Dr.W.Slaa ni kuwa angekuja na sera ya namna ya kulikwamua taifa toka utegemezi wa kodi za pombe mpaka kutegemea rasilimali. Kuhalalisha pombe ni kuendeleza ujinga uleule uliopo. Ila kwa wana CCM hamna morals za kumnyooshea kidole kwa kauli yake ilhali serikali ya chama chenu inategemea pombe kama sehemu kubwa ya mapato!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, Dr. Slaa anapenda sana gongo...
 
Tatizo hamji kule kwenye mijadala ya great thinkers, shivji nimemjadili sana na kuweka kazi zake nyingi tu kama references; njooni kule mnisome muone jinsi gani tunajadiliana na kutoa proper citations za kina shivji n.k; kwa wale ambao wananisoma kule GT wanaelewa hilo, sio nyie wa kwenye vijiwe vya siasa ambao hata mkitajiwa shivji, etc, mnaruka na kutafuta palipoandikwa Dr. Slaa;

Vinginevyo leo umenijibu maswali yangu mengi kwani hoja zako nyingi nilikuwa naona kama zinatoka kwa mtu hamnazo;kumbe hata kujifukiza ukichutama unatumia BANGI? No wonder;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Aliokudanganya mtu akijifukiza anachutama ni nani? mkeo au dada'ko ndio alikwambia? huyo haujui udi huyo, anausikia tu.

Naona umeshushuliwa leo kwa "plagiarism", hasira zako unataka kuutolea udi wangu wa bangi.

Halafu wewe unaona ajabu FF kutumia bangi kwenye udi? hebu jisomee kidogo usiyoyajuwa:

In perfumes hemp is used to enhance stylish creations like the Vacances from Strange Invisible Perfumes or to be explicit in its “deep and penetrating beauty,” like in the Cannabis Flower Demeter Fragrance. The beautiful and unisex mix "Hemp and Leather" by Robbie VanGogh is a careful balance achieved in the bottle (nicely designed), but once on the skin it apparently can go in the direction depending on what your more favorite ingredient is, or even depending on the mood. I tried it a few times and sometimes the hemp lingers and sometimes over time leather takes over.

o.4190.jpg

Author: Olga Ikebanova
Biologist, aromatherapist, photographer, floral designer and passionate believer in Power of Nature.

[h=2]Perfumes and Colognes With Cannabis[/h]
Cannabis Flower Demeter Fragrance

Kush Kush Perfume

Black Afgano Nasomatto

Blue Nehru Robbie VanGogh

Osmo Scents Cannabis Il Profvmo

Oxbow Essence de Surf Man Oxbow

Mountain High Smell Bent

Hungry Hungry Hippies Smell Bent

PG02 Coze Parfumerie Generale

Hemp and Leather Robbie VanGogh

Kinski Kinski

Cannabis Santal Fresh

Bois Velours Esteban

Jamais le Dimanche Ego Facto

Blue Nehru Extrait de Parfum Robbie VanGogh

Hemp and Leather Extrait de Parfum Robbie VanGogh

Cannabis Rose Fresh

Cozumel Laboratorio Olfattivo

Opus Nocturne Robbie VanGogh

R.V. Homme Extrait de Parfum Robbie VanGogh

Omniscent 0.96 Yosh

Forbidden House of Matriarch

Absolument Absinthe Le Parfum d`Interdits

Nuda Il Profvmo

Les Fleurs du Mal Chanvre Cousu de Fil Blanc
Vacances Strange Invisible Perfumes

Soma zaidi: Cannabis perfume ingredient, Cannabis fragrance and essential oils Cannabis
 
Tembelea my profile uone michango yangu ilivyomtumia shivji na kum cite katika suala hilo hilo mara nyingi tu;

Asante kwa elimu juu ya matumizi ya kujifukiza kwa kuchutama kwa kutumia BANGI; Lazima inakupa andas;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Makasino yenye JD, JW, Konyagi, Safari et al sio kuwa yameruhusiwa na serikali na yanalipa kodi? Je sehemu kama Jolly ambako kuna ufuska wa kila aina unaosababishwa na ulevi hamuuoni?

Sifagilii pombe hata nukta moja. Ningependa walevi wote waokoke waachane na pombe wafanye maendeleo. Lakini sioni tofauti ya gongo na pombe zinazonywewa katika makumbi ya starehe. Zote ni pombe na sioni tofauti.

Kitu ambacho natofautiana na Dr.W.Slaa ni kuwa angekuja na sera ya namna ya kulikwamua taifa toka utegemezi wa kodi za pombe mpaka kutegemea rasilimali. Kuhalalisha pombe ni kuendeleza ujinga uleule uliopo. Ila kwa wana CCM hamna morals za kumnyooshea kidole kwa kauli yake ilhali serikali ya chama chenu inategemea pombe kama sehemu kubwa ya mapato!
Watu wazima wanakuwa na maamuzi yao kama wewe utumii pombe wala sigara hongera. Lakini si sawa kuwaamulia na wengine, na hayo ndio mawazo ya jamii inayolenga uhuru wa kujiamulia katika mistari ya sheria inayoruhusiwa.

Kwakuwa sigara na pombe ni moja ya bidhaa zenye kuleta madhara makubwa kiafya, nani awagharamie watumiaji kwa maamuzi yao binafsi. Namna moja ya kuhakikisha unapunguza gharama za matibabu ya wagonjwa ambao vyanzo vyake ni bidhaa hizi ni kuhakukisha wanachangia kwenye mapato ya kuendesha huduma za afya, na pili sera za ku tax hizo bidhaa kwa gharama ni kwa sababu unajua bei zitapanda na watumiaji watapungua na kupunguza magonjwa yenye vyanzo hivyo (hivi vitu ni luxuries sio necessities na amna mtu analazimishwa kutumia, unlike ushuru wa mkate au unga wa sembe).

Sasa tena dokta Slaa yeye anapendekeza kwakuwa serikali inapigana na kupunguza watumiaji kwa kutumia ushuru au kuzuia vilevi vyenye matatizo na vinatengenezwa kiholela, mwenzetu anataka watu waboreshe pombe za kienyeji sio tu kwamba ni unrealistic maana bei itaongezeka na kutakuwa na kodi kama wengi walivyogusia, bali pia indirectly ana encourage undesirable behaviors kwenye jamii kwa sababu ya kura za uchaguzi aint that cheap politics, considering walevi wa gongo ni watu wa aina gani.

Sijawahi kumsikia mwanasiasa aliye responsible anatumia sera za pombe kwenye kutafuta kura kwenye siasa za dunia ya leo na nchi zenye maendeleo sanasana watu wanapigana jinsi ya kulikabili tatizo la ulevi uliokubuhu (si kwa wanywaji wastani).
 
Dr ni mwanasiasa kama wengine, na kazi kubwa ya mwanasiasa huwa ni kuisoma jamii anayoongea nayo ina uelewa kiasi gani ili awateke akili na kuwashawishi kwa hoja ambazo ukiziangalia kwa undani hazitekelezeki. Moja, watengenezaji wengi wa gongo hawana uwezo mkubwa kiasi hicho cha kununua mashine au mtambo kwa ajili ya kazi yao.Mbili, watengezaji wa gongo hawana nishati ambayo anaweza ku-balance temperature, ili atenganishe zile alkohol mbili ambazo moja ni sumu na nyingine ndo pombeTatu, unapohalalisha kitu chochote, lazima kuwe na control measures, ambazo mpika gongo hata chupa pekee na label hawezi kununua tukiachilia maabara ya kuangalia kiasi cha alkohol.Kwa ujumla ukihalisha kitu na kuanza kukifuatilia viwango, tayari umemtenga mpiga gongo wa sasa.Hivyo kuhalalisha gongo inawezekana, lakini mpshi ni mwenye mtaji hivyo yule mwenzangu mie ataendelea kusakwa na polisi kwa kupika gongo ambayo haina viwango.Labda mwenye ukaribu na Dr. amuulize afafanue
 
Huwezi fananisha mtu aliyekunywa Konyagi nusu lita na aliyekunywa GONGO nusu lita!

Mbona wanaweza endana kabisa mzinga mmoja ni sawa na chupa za pepsi zile ndogo mbili nadhani walevi wa gongo wanapeleka chupa hata tatu sasa na yule wa mzinga wa Konyagi anayeweza kuunywa bila kuchanganya na club soda ni wa kumpa heko... wadau wenyewe wakija wanaweza kukuweka sawa uelewe kama zinataofauti... naamini Konyagi ukinywa nyingi kavu unaweza kundei bila tatizo..

Hivi vinywaji vya walevi havina tofauti au kama ipo basi vinatofautiana kwa asilimia kidogo.... na zote ni Spirit
 
Mchambuzi wewe ni kichwa pekee katika CCM.

Kuna vijana humu wanajiita ni wana CCM lakini hawana kazi ya kuitetea chama zaidi matusi tu, FaizaFox nadhani ni kiongozi wao.

Japo CCM siipendi lakini hoja zao nazikubali.
 
Mchambuzi

Hii hoja inapaswa kuchambuliwa kwa kuangalia mazingira halisi yaliyopo na siyo kutumia nadharia tu.

Gongo ikitengenezwa kwa utaaalamu unaoujengea hoja hapa itakuwa siyo gongo tena bali ni kinywaji tofauti cha chupa kitakachopewa jina la "Gongo"

Nina mashaka kama wapika gongo, wengi wao wakiwa ni walala hoi, watamudu gharama za kununua na kuendesha mitambo hiyo.

Sijui kama hiyo mitambo ya Sido itaendeshwa kwa umeme, mafuta au kuni? Angalia tatizo hapo kwa upana kwa kutilia maanani hali halisi iliyopo sasa huko kwa wapishi wa gongo.

Pia kwa kweli sina uhakika kama mitambo midogo ya Sido inaweza kukidhi mahitaji ya kutengeneza pombe hiyo kitaalamu kwa standard inayotakiwa hasa ukitilia maanani kuwa miongoni mwa ingredients zake ni vinyesi na vitu vilivyooza. Itahitaji pia kuagiza au kutengeneza vifaa vya vipimo vya ubora na madhara ya kiafya kwa viwango vinayakubalika kimataifa na hiyo ni dhahiri itaongeza gharama za utengenezaji wa mitambo hiyo na pia kwa mnunuzi na mteja.

Gongo la kienyeji litaendelea kutengenezwa na inawezekana itakuwa imepatiwa uhalali na kupata njia rahisi kujipenyeza kwenye Baa ndani ya chupa ya gongo iliyohalalishwa. Utapeli bongo ndiyo nyumbani

Warusi wana kinywaji kikali kukaribia gongo,Vodka lakini bado kuna vodka/gongo ya kienyeji "samagon" inashamiri na kuangamiza watu wengi mpaka leo hasa walalahoi.

Pia, issue ya maadili na mtazamo wa jamii ni muhimu sana kama alivyoeleza vizuri sana Bethlehem. Naamini hii ndiyo sababu wengi wanapinga kauli ya Dr. Slaa na siyo kwa sababu za kisiasa. Issue hii sehemu kubwa ya jamii inaiweka kwenye kundi moja na ukahaba, mapenzi ya jinsia moja na madawa ya kulevya.

Kama ulivyofanya wewe, anaweza kujitokeza Mchambuzi mwingine akaweka hapa thesis nzima yenye vielelezo vyilivyobobea kitaalam kwanini ni sahihi kuhalalisha ukahaba, bangi au madawa ya kulevya lakini sidhani Kama sehemu kubwa ya jamii itakuwa tayari kuelewa na kuunga mkono.

Suala hili mimi na wewe tunaweza kulizungumza hadharani na likachukuliwa kama mtazamo binafsi lakini kauli nzito kama hii inapotolewa hadharani na Mwanasiasa mwenye hadhi nzito kama Dr. Slaa inachukuliwa kama ni mtazamo wa taasisi anayoiwakilisha na siyo wake binafsi. Jamii yetu haijawa tayari kuipokea kauli kama hii kama inavyodhirishwa na reaction ya wengi kuhusu kauli ya Dr.Slaa.

Kuwahusisha wanaoipinga na sababu za kisiasa tu ni kutowatendea haki kwa kweli.
 
Tembelea my profile uone michango yangu ilivyomtumia shivji na kum cite katika suala hilo hilo mara nyingi tu;

Asante kwa elimu juu ya matumizi ya kujifukiza kwa kuchutama kwa kutumia BANGI; Lazima inakupa andas;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Aliokudanganya watu wakijifukiza wanachutama ni nani? mkeo, dada'ko, au mama'ko? I wonder kwa sura yako kwenye avatar kama hao watu wako wa karibu wanaujuwa udi ni nini.

Nijuavyo watu wakistanji kizamani ndio huchutama, siku hizi pia hiyo ni old fashion, me naona wewe bado unastanji kwa kuchutama. Udi na kuchutama wapi na wapi? ume buuugi maan!
 
1. Gongo iwapo itaboreshwa, gharama yake lazima itaongezeka na wanywaji watashindwa kuinunua pombe ya gharama kubwa. Pombe bora zipo lakini hawazinunui kwa sababu ya gharama wanaopt kunywa gongo.

2 This is to say that wazalishaji wa pombe ya gongo isiyokidhi viwango lazima wataendelea kuwepo.
3. Swali ulilopaswa kujiuliza ni je, polisi wasiwakamate hawa ambao wataendelea kuuza hii pombe isiyokidhi viwango?

4. Pili, fikiria kwa mapana zaidi. Gongo inasababisha magonjwa ya ini yaani cirhosis pamoja na liver cancer.
Economic barden ya kumhudumia mgonjwa mmoja wa kansa ya ini haipungui shilingi milioni tano. Ukijumlisha na indirect barden ya watu wanaomuuguza kushindwa kwenda kazini, watoto wake kushindwa kuconcentrate na masomo kwa sababu baba au mama mgonjwa etc utagundua kuwa mtu anayeshabikia kuruhusu biashara ya gongo ishamiri either ana upeo mdogo au hana nia njema na nchi yetu.

Taarifa nilizopata ni kwamba Slaa alipigwa "kipapai". Lengo lake lilikuwa kuongea kuhusu katiba mpya lakini akajikuta anaongea kuhusu gongo.
Wanajamvi, kinachonishangaza ni kuona watu wameacha kujadili mada kwa hoja wanajadili watu na mambo yasiyohusiana na hoja. Huu ni udhaifu lazima tuukubali na inasikitisha.
Endapo yupo miongoni mwetu asiyekubaliana na hoja atuonyeshe, na wale wanaokubaliana wafafanue hoja zao.
ZeMarcopolo , hoja namba 1 umesema gongo iliboreshwa itaongeza gharama na wanywaji watashindwa. Neno kuboreshwa ni kufanywa katika hali ya ubora na si lazima iongoze gharama.

Mama Ntilie walipoambiwa wafunike vyakula ni kuboresha na haiongezi gharama.
Mzee Keenja alipowaambia wauza mboga Kisutu watengeneze frame badala ya kuweka katika njia za waenda kwa miguu aliboresha haikuongeza gharama. Kuboresha ni kuweka katika hali bora' improve the quality'

Wakati unasema gongo iachwe tu kama ilivyo ili isiongeze gharama(#1), hoja yako namba 4 inalaani ubaya wa gongo kwa uchumi wa mtu binafsi na pengine taifa. Kwa maneno mengine gongo ikiboreshwa itapunguza mzigo kwa ndugu, familia na taifa kama ulivyosema #4 na ikiachwa kama ilivyo itaongeza gharama. Huoni unavyojichanganya?

Hoja#3 unakiri wazalishaji wataendelea kuwepo. Sasa kama unakubali hilo kipi kizuri, iboreshwe au iachwe tu na kuendelea kuumiza watu #4

Hoja#4 kumbe unakubali gongo haikidhi viwango tena ukashadidia kwa #3 sasa unashauri nini. Iachwe tu kupunguza gharama kwa mtuamiaji ay kuongeza gharama kwa familia, ndugu na taifa au iboreshwe ili kupunguza gharama hizo?

Kuhusu hoja ya gongo kuleta maradhi kama Cirrhosis na cancer, napenda ufahamu madhara ya gongo kama alcohol nyingine ni zaidi ya hapo. Yanaathiri tissue za mfumo wa fahamu, obesity, blood pressure, addiction, akina mama wajazito,matatizo ya akili kama depression na kimuhe muhe(anxiety) n.k.

Ni makosa kusema gongo pekee ndio inayoleta matatizo hayo. Metablism ya alcohol hufanyika katika ini bila kujali imetenegenezwa uani au kiwandani. Tofauti ni viwango na aina ya alcohol inayofika kwenye ini kwa metablosim.

Vinywaji vingi huwa methanol na ethanol kutokana na ukaribu wa kikemikali.
Tatizo la gongo ni uwepo wa ethanol na pia methanol ambayo huathiri tissue za fahamu na ndio maana mara nyingi hutokea watu kufa ghafla au kupoteza upofu.

Kinachofanyika viwandani ni kutenganisha alcohol kama ambavyo crude oil inavyotenganishwa tukapata petroli, dizeli n.k. na kuhakikisha kuwa kiwngo kinachouzwa ni kile kinacholingana na uwezo wa mwili kukifanyia metabolism bila kuathiri mambo mengine.

Hivyo gongo kwa kukosa viwango na kutotenganishwa kwa contents zake inakuwa hatari zaidi kwa madhara ya haraka.
Hiyo haina maana kuwa ukinywa Konyagi, Beer, Johnwalker na vingine kwa kiwango cha juu na kwa muda mrefu hutaathirika, la hasha utaishia kupata cirrhosis of the liver na mengine kama nilivyoyataja.
Tofauti ya gongo pengine na vinywaji vingine ni muda wa kuathirika na kiwango cha athari

Pengine kinachokuudhi wewe ni neno gongo, lakini ikiitwa'' Londonspecial'' hilo halina tatizo kwasababu utakuwa umekwepa maradhi yatokanayo na alcohol!!! hapa unakosea na umepotoka.

Na mwisho, kama tunaogopa kuboreshwa kwa gongo ili kukwepa gharama vipi tuwaambie watu waingie gharama za kuchemsha maziwa?
Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na tatizo la TB kutokana na kunywa maziwa mabichi katika hali ya uchafu.

Tatizo hilo limepungua kwa kufanyiwa pasteurization na kule vijijini watu kuambiwa wachemshe.
Hiyo ndiyo kuboresha maana wananchi wamekubali gharama kidogo ili kuepuka madhara ya hoja yako #4, lakini una advocate gongo iachwe kama ilivyo kwasababu kuingia gharama kidogo kama ya wale wanaochemsha maziwa itakuwa adha.

Mkuu ZeMarcopolo pengine unahoja unayotaka kutueleza, kwa maelezo yako kama nilivyonukuu ni ngumu kubaini ulikusudia nini kwasababu unajichanganya na hata kushadidia hoja za Dr Slaa in a way.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom