Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Spadino

New Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
4
Reaction score
30
file_000000001cc481f49dfea8efb95dc4c7.png
Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.

Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.

Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.

Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.

Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.

Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
 
View attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.

Umeandika ujinga tu 🚮
Utanisamehe pia kwa kutumia kugha kali. Ila ukweli ndiyo huo.
 
Kwa 2030 Magufuli wetu ni Tundu Lissu
 
Apo Rizimoja na Wanu Hafidh wanakamilisha list
 
Za ndani ya Mungu mjipange lissu anakuja kama sio rais basi waziri mkuu, jaji on top, ni swala la mda tu
 
View attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.

Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.

Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.

Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.

Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.

Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Chai
 
Back
Top Bottom