Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Dr Slaa na Kuhalalisha Gongo: Kwanini Yupo Sahihi

Status
Not open for further replies.
Ulichoandika ni tofauti kabisa na nilichokuuliza. Nimekuuliza kama Kinana ameshawahi KUAHIDI kubadilisha sheria.

Kusema kuwa kuna sheria mbovu ni jambo endelevu na ndio maana tuna Bunge kwa ajili ya kuziadjust na kutengeneza sheria.

Kinana hajawaji kuahidi kuwa kuwa atabadilisha sheria au CCM itabadili sheria.

By the way, Tanzania hakuna mtu aliyekatazwa kutengeneza pombe kali ya kienyeji inayokidhi viwango vya usalama wa afya ya wanywaji.

Nimeshazoea na mtindo wako wa kuchonokoa hoja iyeyuke badala ya kujenga hoja isimame; nimeshakueleza kwamba kinana katika ziara zake alikiri kwamba baadhi ya sera na sheria zilizopitishwa na bunge zimeathiri watanzania badala ya kuwasaidia na kuahidi kuzifanyia kazi; nadhani haukuwa na ufahamu juu ya hilo vinginevyo usingeniuliza swali hilo ambalo majibu yake ndio hayo;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu Gamba la Nyoka, swali lako ni la msingi lakini jibu lake ni rahisi;sheria itakayotumika katika muktadha huo itakuwa ni ile inayoshughulika na utengenezaji wa bidhaa bandia, hasa ambazo zipo chini ya kiwango kama vile TBS wanavyoshughulika na bidhaa feki;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hahahahaha this is ridiculous!

I am sure you are joking!!!

Kuna mambo mawili kwenye hili uliloandika.

1. Sheria ya bidhaa bandia inahusu branded products. Gongo haina brand. From mtungi to mdomo. Gongo is not fake, it is original but potentially dangerous.
Iwapo muuzaji ataiweka kwenye sealed bottle of Konyagi for example na kuisambaza kwa kuwalaghai wanunuzi kuwa hiyo ni konyagi then tunaweza kusema ni bidhaa bandia.

2. Lets assume kwamba sheria hiyo itakuwa applicable. Bado maana yake ni kwamba wauzaji hao wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hii ni kumaanisha kwamba lengo la Slaa la kuwafanya wauza gongo haramu wasibughudhiwe na polisi litakuwa halijatimia.

Nasubiri sehemu ya pili ya chapisho lako ili nikupige nyundo tatu za mwisho zitakazofunga mjadala.
 
Last edited by a moderator:

Kuahidi kufanyia kazi ndio kuahidi kubadili sheria?

Kumuahidi mtu kuwa utabadili sheria ni kitu kinachoweza kufanywa na dikteta tu. Slaa kwa hizi ahadi zake anaonyesha dalili za udikteta, kama jinsi anavyodiriki kukataza wanachama wa chadema kujadili mambo fulani au kwenda maeneo fulani ya nchi.
 
Good sasa naona tunaenda vyema: JE KWA KUWA SHERIA INAYOSHUGHULIKIA BIDHAA BANDIA NA AMBAZO ZIKO CHINI YA VIWANGO INAKATAZA BIDHAA HIZO KUTUMIWA NA BINADAMU, SI NI SAHIHI KWA SERIKALI KUIPIGA MARUFUKU POMBE ILIYO CHINI YA VIWANGO KUTUMIWA NA BINADAMU JANA, LEO HATA MILELE?.

KUMBUKA ZEMACOPOLO AMERUDIA MARA CHUNGU NZIMA KWAMBA, SERIKALI YA NCHI HII HAIJAWAHI KUKATAZA MTU AU KAMPUNI YEYOTE KUTENGENEZA POMBE ILI MRADI TU IWE SALAMA KWA AFYA YA MNYWAJI. SASA SWALI LINAKUJA IWAPO UTARATIBU HUU UPO TOKA KALE AMBAPO NI SUALA TU LA WATENGENEZA POMBE HIYO KUCHANGAMKIA FURSA ILI POMBE YAO IWEZE KUTHIBITISHWA USALAMA WAKE, JE MZEE SLAA ANAKUJA NA KITU GANI KIPYA?-

KWA MAONI YANGU SLAA ANGESEMA TUNATAKA KUWASAIDIA WATENGENEZA POMBE ISIYO SALAMA WA GONGO KUIBORESHA IWE NA USALAMA BILA KUTAKA KUIHALALISHA HATA ILE ISIYO SALAMA HAPO NINGEMUUNGA MKONO.
LAKINI HIVIHIVI TU KAULI YA KUIHALALISHA KISHERIA POMBE YA GONGO ILI WATENGENEZAJI WASISUMBULIWE NA POLISI, NADHANI HII IMEKAA KISIASA ZAIDI, KUJARIBU KUUNGWA MKONO KIRAHISIRAHISI NA WADAU WA POMBE HIZI
 
Gongoooo!!!! Dr slaa kutoka kupinga ufisadi hadi kuwa Balozi wa Gongo Tanzania! Astafulahh
 
Hawezi kuwa na jibu.

Mchambuzi alikuwa hata hajui kuwa Slaa aliichosema ni kuondoa usumbufu wa polisi kwa wauza gongo. Ndio maana Ruttashobolwa amewaambia several times kuwa gongo wanayoiongelea hawa vijana wa Bavicha ni tofauti na aliyoongelea Slaa.

Gongo original siku zote itaendelea kutengenezwa na ili kudhibiti kutengenezaji na unywaji wake ni lazima sheria iwepo.

Spinning politics as usual; mnajua vyema alichosema dr.slaa, lakini mnapindisha ukweli;lakini hata mpindishe vipi, mada inabakia pale pale - je, gongo ihalalishwe au hapana, na kwanini? Mmekosa majibu, mnakuja na blah blah ambazo zinaegemea katika uhalali wa hilo bila ya kujitambua kwasababu mmeshapigwa ufunguo Lumumba kubwabwaja;
Gamba la Nyoka kauliza swali lenye jibu rahisi sana, sijui kwanini hauna upeo wa kujua majibu kwa maswali rahisi kama haya;kitu kikisha halalishwa na kuruhusiwa kutengenezwa au kuwa imported katika standards zinazokubalika na mamlaka husika, wengine waki import au kutengeneza bidhaa chibi ya viwango, suala hilo linashughulikiwa na sheria dhidi ya bidhaa bandia, na mara nyingine, kwa vile sasa watengenezaji wanakuwa wanatengeneza under license, wale ambao watatengeneze nje ya leseni, hatua stahiki zitachukuliwa;its as simple as that;

Lakini cha msingi hapa ni kwamba, je, kuna haja ya kuhalalisha pombe hii au hakuna haja? Kama kuna haja, sheria juu ya mazingira ya uzalishaji n.k ni suala litakalofuata baadae; Mnashindwa kujadili kwamba je -tunalinda vipi wanywaji na tunainua vipo wazalishaji? Haya na mambo ambayo wengi huko Lumumba hawajali kushughulika nayo, na sio kwenye suala la gongo tu bali hata kulinda usalama wa raia na kuinua maisha yao;rejea sakata la operesheni tokomeza ambayo mliipigia sana debe humu, sasa mnaumbuka;

Na sio kila mtu anayepingana na sera za ccm ni bavicha, wapo hao, wapo wa vyama vingine, wapo wana ccm hapo hapo lumumba (ambao mnaogopa kuwaita wahaini au bavicha), wapo independents, wote wanafanya hivyo kwa sababu chama hiki ndio chenye dhamana kwa sasa, na kinaendesha hayo kwa kodi za watanzania regardless of itikadi za vyama;mnavyoitetea ccm ni kama vile ni kampuni binafsi inayoshindana na makampuni nyingine binafsi; amka ndugu yangu, na soma kwa umakini mwongozo wa ccm, bado upo relevant kwa asimilia sio chini ya sabini;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi
Kiongozi bora huwa na "ethics" katika utendaji wa wake wa kazi na maisha yake ya kawaida; kiongozi huwa nio kioo cha jamii inayomzungumka; binafsi sishangazwi na maneno ya huyu muongo na mzandiki Dr.W.Slaa; huyu yupo yatari kusema au kuahidi chochote ili mradi akubalike. Mtu aliyekosa "ethics" katika maisha yake binafsi kweli ataweza kuwa na "ethics" katika siasa? labda juilize kwa nini katika nchi zilizoendelea mwanasiasa anahusishwa moja kwa moja na tabia na mienendo yake katika maisha? Ukiwa muongo utakuwa muongo tu; Dr.W.Slaa ni muongo kuna wakati alijaribu sana kumtaja Josephine kama mke huku anjua fika anaishi na kimada na anafanya uzinifu; kwa hili moja hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi; huyu alikimbia utumishi wa Mungu sababu kubwa ni NGONO lakini akitaka kudanyawatu hugeuza maneno ameacha ili awatumikie wananchi kitu ambacho sio cha kweli; sasa leo hii anatoa ahadi ya kuruhusu Gongo hivi anataka kusema hajui madhara ya pombe kali kiafya na kijamii? Urusi imekabiliwa sana athari za unywaji wa hizi pombe kali; wanasiasa wa Urusi wamelivalia nyuga tatizo la pombe kali nchi inatumia gharama sana kutibu wananchi wake kutokana na unywaji wa pombe kali; vijana wengi wameathirika kiasi ya kwamba hawawezi kufanya kazi; leo badala ya Dr.W.Slaa kuwahamisha vijana kuepuka ulevi ili watoe mchango wao kwa taifa yeye anahuburi ulevi; Dr.W.Slaa ni mzinifu hata haya anayoyafanya Mbowe ya kumwacha mke wake na kwenda kuzini Dubai ni matokeo ya kuwa karibu na Dr.W.Slaa
Mzinifu huyu alianza na watoto wa kiume kanisani; akingilia wanakwaya; amemalizia kwa kupora wake za watu laana ya mwenyezi Mungu inamdhuru sasa anataka kutuharibia vijana ambao ndio tegemeo la kesho; ataropoka sana mwaka huu uraisi ataishia kuusoma Tanzania Daima.
 
Mkuu Mchambuzi, niko na wewe, na katika ukosoaji wa CCM, amini usiamini, nadhani CCM wanaitumia zaidi Jamiiforums kwa kuzingatia ushauri unaotolewa humu na hivyo kujiweka sawa kuliko Chadema wanavyoitumia jamiiforums!, hivyo endeleza ukosoaji kote kote baada ya 2015, kupitia matokea tutakumbushana tuliwashauri nini CCM/Chadema, CUF, NCCR etc, walichukua lipi, waliacha lipi na matokeo ni nini!.

Hili la gongo nasimama na wewe. Moshi vijijini kila siku wanapika gongo, wanaiita "piwa" wanaichanganya kidogo na mbege ili mbege iwe kali!.

Katika baadhi ya mambo exposure inasaidia kidogo. Mimi niliishi kidogo Uswisi kwa kipindi kifupi, kule bangi ni ruksa na drugs pia ni ruksa kwa kiwango fulani!, hivyo bidhaa hizi kule sio dili sana!. Ila imewekwa sehemu maalum ya kuvutia bangi na kubwiya unga!, na sehemu yenyewe ukiisikia, unaweza usiamini!, eneo maalum la kuvutia bangi nchini Uswisi katika mjini wa Bern ni viwanja vya Bunge!, The Bundes House!.

Kuna wakati nilishauri tuhalalishe "bangi" na gongo na "ile oldest professional!". Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The ...

Kuna mjadala mmoja kuhusu bangi nilisema hivi

Pasco.

Pasco.

Mkuu Pasco

Tanzania hakuna mtu anayekatazwa kutengeneza, kusambaza au kuuza kinywaji ambacho anathibitisha kuwa ni salama kwa wanywaji.

Bangi ni marufuku without exceptions. Kwenye hili la bangi, wewe na FaizaFoxy mko sambamba. Bado sijajua kama Mchambuzi naye anaunga mkono ganja.

"Mambo ya Amsterdam" yanajadilika.

Hapa naona umesahau pia kuzungumzia ndoa za jinsia moja. I may be wrong, but based on this post I can't imagine you opposing homosexual acts.

Nikutakie Christmass njema...
 
Last edited by a moderator:
Ni upuuzi kuhalalisha Gongo....
Mi nikiona post ya member kama wewe naona ni hasara tupu kwa jamii yangu ya Watanzania!

Isitoshe mada zilizokwenda shule kama hizi, kwasisi tulio na vichwa vya panzi ni vema tukaishia kusoma tu na kujiepusha kuchangia, ni bora watu wawe wanahisi tu kwamba uwezo wangu ni mdogo sana ndiyo maana sichangii, kuliko nikachangia katika mada kama hii alafu nikawafanya watu wathibitishe walichokuwa wanafikiria dhidi yangu
 
Mkuu Mchambuzi,
Nashukuru kwamba nawe umeileta hoja hii. Nashukuru kwavile waliotangulia nimekuwa nikiwauliza swali ambalo mara zote wamelikwepa; hivyo nitarudisha swali/maswali husika kwako kama yalivyokuwa awali. Lakini nitangulie kusema kwamba, uharamau wa Gongo hautokani na hoja kwamba eti mazingira ya utengenezaji wake ni mabovu/machafu. Uharamu wa gongo is more than that. Technically, uharamu wa gongo unatokana na contents za gongo yenyewe. Kama ambavyo alizungumza mtoa mada wa awali, Gongo; among other things, is a solution of Methane and Ethanol. Hii Methanol ndiyo hatari yenyewe na kinachotakiwa ni ETHANOL and in fact not only Ethanol, but ethanol with acceptable amount of methanol.

Hivyo basi, swali ambalo watoa mada wa awali hawajanijibu ni hili hapa chini ambalo naomba wewe unijibu. Naomba tutumie formular za mleta mada wa awali kwavile ndicho hasa kinachotakiwa kujadiliwa.
MAANA HALISI YA GONGO...

Pamoja na impurities zingine zinazotakiwa kuondolewa, GONGO ni mixture(mchanganyiko) wa Ethanol na Methanol.

CHEMICAL FORMULA:

CH3OH + C2H6O = GONGO
methanol ethanol

METHANOL na ETHANOL hutenganishwa kwa kutumia tofauti ya BOILLING POINTS zao

Biollingi point of Methanol= 64.7 °C

Boilling point of Ethanol=78.37 °C

Hivyo Methanol itaanza kutoka na Ethanol itabaki kama pombe halisi( pure alcohol) ambayo ni salama kwa matumizi

NAWASHANGAA WANAOBEZA MAONI YA DR SLAA..

Nafikiri ni ufinyu tu wa kufikiri na sishangai sana maana hapa taifa ndipo lilipotufikisha, hatuna uwezo wa kuhoji wa kutafakari mambo kwa undani..
Kwanza kabisa nashangazwa na kauli yako hapo kwenye RED ya kuwaona watu wana akili finyu wakati suala hili ni la KITAALAMU zaidi kuliko kuwa la KISIASA! Tunaposema Gongo, among other compounds ni mixture ya ethanol na methanol tayari moja kwa moja linakuwa ni suala la kisayansi. Anyway, turudi kwenye mada.

Awali ya yote, kwavile mimi si mtalaamu wa masuala ya Kikemia, basi nitatumia elimu ndogo ya Organic Chemistry ya A-Level. Hata kama sitakuwa 100% RIGHT bado am certain sitakuwa mbali saaaaaana na ukweli.

Kwanza kabisa, Gongo=CH3OH + C2H6O. Hii maana yake ni kwamba, to every cubic litre of Gongo, hiyo ni mixture ya CH3OH (Methanol) and C2H6O(ethanol). So, kabla hatujaenda huko kwenye Boiling Point, what's the percentage Methanol in that mixture? To put it in layman language, kuna asilimia ngapi ya Methanol (say) in every litre of GONGO? This's very important to know in order to make this discussion logical(hapa naongeza leo kwa kusema, to make discussion scientific and not political discussion). Which means, if (say) in every litre of Gongo kuna 70% methanol, then keeping other factors constant, uki-apply heat kwa ajili ya ku-vaporize methanol then you'll only remain 30% of liquid Gongo! If so, will it be still economical if 1000 litres of today's DANGEROUS GONGO will only be 300 litres of SAFE GONGO? Will it still be economical if pipa moja la gongo ya leo ambalo ni 200 litres libaki kuwa only 60 litres? This literally means in order to maintain at least the same level of production, then current production inatakiwa kuongezeka at the same level of methanol available in every cubic unit of today's GONGO. Kiuchumi inabidi itokee economies of size so as to be economically profitable....so, will it still be at the advantage of today's poorer brewers or it'll have to attract other investors who're financially stable? If so, will it still serve the purpose (to support the poorer?)

Kama Dr.W.Slaa na supporters wake hawana hizo figure, basi watakuwa wanajadili suala hili kisiasa zaidi kuliko kisayansi.

Umezungumza kirahisi kabisa kwamba Methanol and Ethanol zinatenganishwa kwa kuangalia Boiling Point zao! In a nutshell, you're RIGHT, lakini kwa mtu asiye na uelewa hata kidogo anaweza kudhani this's all about boiling the mixture then Methanol hiyooooo, ina-disappear wakati practically, FRACTIONAL DISTILLATION process inabidi i-take place thus increasing the production cost!! Si hivyo tu, umetaja BP ya Methanol 64.7 °C na ile ya Ethanol ni 78.37C....YOU'RE RIGHT! Lakini tusisahau kwamba hizo BPs ni za pure methanol and ethanol. Gongo ni mixture ya methanol, ethanol and other impurities; so heat applied inabidi iwe somewhere between 64.7 and 78.37.Hii maana yake ni kwamba, NO GUESSING....exact heat inabidi iwe applied at a certain level otherwise Methanol and Ethanol zote zitakuwa zina-evaporate thus minimizing the amount of Ethanol. However, the idea is to remove methanol and remain with ethanol. Umakini usipokuwapo, then si ajabu methanol yote ika-evaporate na kubakiwa na Ethyl Ethanol ambayo nayo ni hatari vilevile! Ni hatari coz' hata hizi spirit and in fact hata bia za kawaida zinakuwa na percentage methanol ndani yake ili ku-neutralize hii Ethyl Ethanol. The question is, can all those technical stuffs be handled by the existing poorer/local Gongo brewers or need some people specialized in the industry? If so, the same question arise again; will it serve the purpose?

Maswali ni mengi, jaribu kuyajibu hayo peke yake.

NB: Narudia, suala la Gongo ni la kikemia zaidi kuliko mazzingira ya utengenezaji wa hiyo gongo. Nimetumia arguments za mtoa mada wa kwanza coz', if you want this discussion not to be political discussion basi tunatakiwa kuangalia contents za gongo; that's Methanol and Ethanol and how we can evaporate Methanol from Ethanol huku pia tukihakikisha not all amount of methanol evaporates but some amount need to remain so as not to remain with Ethyl Ethanol.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha this is ridiculous!

I am sure you are joking!!!

Kuna mambo mawili kwenye hili uliloandika.

1. Sheria ya bidhaa bandia inahusu branded products. Gongo haina brand. From mtungi to mdomo. Gongo is not fake, it is original but potentially dangerous.
Iwapo muuzaji ataiweka kwenye sealed bottle of Konyagi for example na kuisambaza kwa kuwalaghai wanunuzi kuwa hiyo ni konyagi then tunaweza kusema ni bidhaa bandia.

2. Lets assume kwamba sheria hiyo itakuwa applicable. Bado maana yake ni kwamba wauzaji hao wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hii ni kumaanisha kwamba lengo la Slaa la kuwafanya wauza gongo haramu wasibughudhiwe na polisi litakuwa halijatimia.

Nasubiri sehemu ya pili ya chapisho lako ili nikupige nyundo tatu za mwisho zitakazofunga mjadala.

Sioni cha kukujibu hapo, maelezo yangu yanajitosheleza kuhusiana na swali la gamba la nyoka; sijui kwanini mnashindwa kuelewa mchakato wa utungaji sheria hufuata mkondo gani ili kukabiliana na masuala husika in a 360 dimension;hayo unayoeleza hapo juu ni mbinu tu za kukimbia swali la msingi la mjadala kwamba je, gongo ihalalishwe? Why or why not? Ukajaribu finyanga finyaga hoja kwa kusema kwamba nachosema sio sawa na alichosema Dr. Slaa, lakini ukabaini hoja hiyo haina mashiko;ukahamia kwenye hoja ambazo sasa zinakubali kwamba kuna haja ya kuhalalisha gongo, ingawa kwa kukosa umakini, unashindwa kubaini kwamba kimsingi upo upande wangu wa hoja, tunachopishana sasa ni HOW and under what PARAMETERS;

Honestly, hakuna nyundo hata moja ambayo unaweza kunipiga kwani michango yako haitetei maslahi ya taifa bali ccm, na ndio maana kauli za viongozi wako wa lumumba zikija na zikiwa zinazungumzia lile lile nalo zungumza, unapotea katika mijadala nikikuita;

Again, katika hili la uhalali wa gongo na pombe nyingine za kienyeji, Dr. Slaa kawashika pabaya;kumbuka, mimi ni mwana ccm na huwa nina badilishana sana mawazo na baadhi ya watu wako wa Lumumba over a cup of coffee, na wanakiri kwamba hili la Dr. Slaa lina mashiko na kwamba ccm imejisahau;kama nilivyokuambia, nitakukumbusha suala hili likitinga bungeni na kupigiwa debe na wabunge fulani fulani wa ccm, ndani ya chombo cha kutunga sheria ulichoniuliza awali;then ntakuita tuendelee na mjadala, ingawa najua kwamba kwa vile unatetea hoja kwa mtindo wa matukio na sio sera kwa maslahi ya taifa, hautarudi kwenye mjadala;

Sehemu yangu ya pili inakuja in a few hours, nipo kwenye utafiti katika maeneo mbalimbali ya vijiji ndio maana natumia sana simu kuchangia humu ndani;nikitulia, ntaweka bandiko la sehemu ya pili;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Gamba la Nyoka kauliza swali lenye jibu rahisi sana, sijui kwanini hauna upeo wa kujua majibu kwa maswali rahisi kama haya;kitu kikisha halalishwa na kuruhusiwa kutengenezwa au kuwa imported katika standards zinazokubalika na mamlaka husika, wengine waki import au kutengeneza bidhaa chini ya viwango, suala hilo linashughulikiwa na sheria dhidi ya bidhaa bandia, na mara nyingine, kwa vile sasa watengenezaji wanakuwa wanatengeneza under license, wale ambao watatengeneze nje ya leseni, hatua stahiki zitachukuliwa;its as simple as that;
sio chini ya sabini;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hapa naona umeanza kujipinga wewe mwenyewe.

Nashukuru Mungu kuona sasa umeanza kuelewa ulipokosea.

Hicho ulichoandika ndicho kinachofanyika nchini hivi sasa.

Viwango vya utengenezaji wa pombe kali vipo. Ndio maana konyagi, viroba etc zinauzwa bila matatizo.

Wale wanaotengeneza vinywaji vikali kiholela chini ya viwango ndio wanaokamatwa. Slaa yeye hataki wakamatwe. Kwahiyo kwenye hili unatofautiana na Slaa.

Kwanza kabla sijasahau. Tusije kuongea mambo ya gongo mpaka tukasahau kutakiana heri.

Nakutakia sikukuu ya Christmass yenye furaha na afya njema katika kuukaribisha mwaka mpya.

Cc Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
Kweli leo tuna bishana kuhusu Gongo! Gongo iruhusiwe??? Bavicha kweli mko serious mna muunga mkono Dr Slaa kwa hili la Gongo! Mmechoka kula viroba sasa mnataka Gongo!!!
 
Kuahidi kufanyia kazi ndio kuahidi kubadili sheria?

Kumuahidi mtu kuwa utabadili sheria ni kitu kinachoweza kufanywa na dikteta tu. Slaa kwa hizi ahadi zake anaonyesha dalili za udikteta, kama jinsi anavyodiriki kukataza wanachama wa chadema kujadili mambo fulani au kwenda maeneo fulani ya nchi.

Nadhani ni Mag3 au Candid Scope awali ali question your intelligence;nadhani sasa naona hoja yao; kwa kweli ulichoandika hapo juu kama nitajadili nitakuwa mjinga; ila nachoweza sema ni hivi: Kinana kaahidi kwamba serikali itapitia baadhi ya sera na sheria ambazo matokeo yake ilikuwa ni ccm kufanya mambo mengi ya ovyo;sasa kama wanalumumuba, stay firm na mtendaji wenu katika hili, kwani kwa hoja zako hapo juu, mnafanya ahadi alizotoa kinana kuwa ni za kisiasa na kisanii suala ambalo sidhani kwani katika watu wachache sana ambao nina imani nao pale lumumba, kinana akiwa mmoja wao; msaidieni kinana, msimkwaze, huyo atawasaidia ccm ifike 2015 ikiwa nafuuu kuliko ilipotoka;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Good sasa naona tunaenda vyema: JE KWA KUWA SHERIA INAYOSHUGHULIKIA BIDHAA BANDIA NA AMBAZO ZIKO CHINI YA VIWANGO INAKATAZA BIDHAA HIZO KUTUMIWA NA BINADAMU, SI NI SAHIHI KWA SERIKALI KUIPIGA MARUFUKU POMBE ILIYO CHINI YA VIWANGO KUTUMIWA NA BINADAMU JANA, LEO HATA MILELE?.

KUMBUKA ZEMACOPOLO AMERUDIA MARA CHUNGU NZIMA KWAMBA, SERIKALI YA NCHI HII HAIJAWAHI KUKATAZA MTU AU KAMPUNI YEYOTE KUTENGENEZA POMBE ILI MRADI TU IWE SALAMA KWA AFYA YA MNYWAJI. SASA SWALI LINAKUJA IWAPO UTARATIBU HUU UPO TOKA KALE AMBAPO NI SUALA TU LA WATENGENEZA POMBE HIYO KUCHANGAMKIA FURSA ILI POMBE YAO IWEZE KUTHIBITISHWA USALAMA WAKE, JE MZEE SLAA ANAKUJA NA KITU GANI KIPYA?-

KWA MAONI YANGU SLAA ANGESEMA TUNATAKA KUWASAIDIA WATENGENEZA POMBE ISIYO SALAMA WA GONGO KUIBORESHA IWE NA USALAMA BILA KUTAKA KUIHALALISHA HATA ILE ISIYO SALAMA HAPO NINGEMUUNGA MKONO.
LAKINI HIVIHIVI TU KAULI YA KUIHALALISHA KISHERIA POMBE YA GONGO ILI WATENGENEZAJI WASISUMBULIWE NA POLISI, NADHANI HII IMEKAA KISIASA ZAIDI, KUJARIBU KUUNGWA MKONO KIRAHISIRAHISI NA WADAU WA POMBE HIZI

Excellent summary.

Naona muanzisha mada mwenyewe ameshakiri kuwa gongo isiyokidhi viwango inabidi ipigwe marufuku kisheria. Na hilo ndilo linalofanyika nchini tangu hata Chadema hajasajiliwa.

Kwa maana hiyo mjadala huu umeshafika TAMATI.
 
Hapa naona umeanza kujipinga wewe mwenyewe.

Nashukuru Mungu kuona sasa umeanza kuelewa ulipokosea.

Hicho ulichoandika ndicho kinachofanyika nchini hivi sasa.

Viwango vya utengenezaji wa pombe kali vipo. Ndio maana konyagi, viroba etc zinauzwa bila matatizo.

Wale wanaotengeneza vinywaji vikali kiholela chini ya viwango ndio wanaokamatwa. Slaa yeye hataki wakamatwe. Kwahiyo kwenye hili unatofautiana na Slaa.

Kwanza kabla sijasahau. Tusije kuongea mambo ya gongo mpaka tukasahau kutakiana heri.

Nakutakia sikukuu ya Christmass yenye furaha na afya njema katika kuukaribisha mwaka mpya.

Cc Ng'wamapalala

Nikusifu kwa kujua namna ya kucheza na maneno; unajitahidi sana kutafuta ushindi wa hoja wakati suala hapa sio ushindi bali kukubali kutokubaliana kwa hoja;

Kama utakavyoona katika sehemu yangu ya pili, unachojadili hapo juu hakina maana; tafadhali rejea uone jinsi nilivyohitimisha bandiko namba moja hapo juu, hasa ni nini niliahidi kuja kujadili, utaona kwamba nipo on track with what I am doing, na haya maswali ya gamba la nyoka ni ya baadae, baada ya hoja ya msingi juu ya whether gongo ihalalishwe au la ikishakuwa addressed;

Seasons greetings mkuu, thanx;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hili swali langu ndugu Mchambuzi naona unalikwepa: Tafadhali naomba jibu.

Swali langu ni hili:

JE MITAMBO HIYO YA SIDO IKITENGENEZWA, IKATOKEA BAADHI WAKAITUMIA KUTENGENEZEA GONGO "HALALI", JE WALE AMBAO WATAENDELEA KUTENGENEZA GONGO "ILE ILE" YA ZAMANI KWA KIFICHO SHERIA ISEMEJE KUHUSU GONGO HIYO?

NI MATUMAINI YANGU UTANIJIBU!

Mimi siyo mchambuzi lakini basi kwa vile jukwaa ni letu wote, wacha nijaribu kukujibu.
Naamini kama serikali itatamani kuwaendeleza wananchi kwa kuruhusu hiyo mitambo, kimsingi hata hao wenyeji wataacha kutengeneza local gongo. Kama kutakuwa na viwanda hivyo vidogo vidogo kila kona ya nchi, badala ya wananchi kutengeneza locally watakuwa wanauza hiyo mbege, rubisi, ulanzi, kimpumu, n.k.. (wanavotumia kutenegenezea) kule kiwandani, na kwa vile kutakuwa na soko la uhakika yaani hiyo mbege yao itapata soko basi hawatakuwa na haja ya kulipukiwa na mapipa ya gongo.. watakuwa wakiuza kwa bei nzuri tayari kwa kusindika kupata kinywaji bora na safi kuliko vodca yaani refined gongo.. may be they can use a better name like 'super konyangi' etc.
 
Hili swali langu ndugu Mchambuzi naona unalikwepa: Tafadhali naomba jibu.

Swali langu ni hili:

JE MITAMBO HIYO YA SIDO IKITENGENEZWA, IKATOKEA BAADHI WAKAITUMIA KUTENGENEZEA GONGO "HALALI", JE WALE AMBAO WATAENDELEA KUTENGENEZA GONGO "ILE ILE" YA ZAMANI KWA KIFICHO SHERIA ISEMEJE KUHUSU GONGO HIYO?

NI MATUMAINI YANGU UTANIJIBU!

Mimi siyo mchambuzi lakini basi kwa vile jukwaa ni letu wote, wacha nijaribu kukujibu.
Naamini kama serikali itatamani kuwaendeleza wananchi kwa kuruhusu hiyo mitambo, kimsingi hata hao wenyeji wataacha kutengeneza local gongo. Kama kutakuwa na viwanda hivyo vidogo vidogo kila kona ya nchi, badala ya wananchi kutengeneza locally watakuwa wanauza hiyo mbege, rubisi, ulanzi, kimpumu, n.k.. (wanavotumia kutengenezea) kule kiwandani, na kwa vile kutakuwa na soko la uhakika yaani hiyo mbege yao itapata soko basi hawatakuwa na haja ya kulipukiwa na mapipa ya gongo.. watakuwa wakiuza kwa bei nzuri tayari kwa kusindika kupata kinywaji bora na safi kuliko vodca yaani refined gongo.. may be they can use a better name like 'super konyangi' etc.
 
NasDaz, karibu katika mjadala;nitarudia hoja zako muhimu, lakini wakati unanisubiri kwa hilo, nadhani unaelewa maudhui ya mada hii ni nini; kuna ya kujadili sasa na ya kujadili baadae; kabla haujajenga hoja, ni muhimu useme kwanza kama unaunga mkono hoja kwamba gongo ihalalishe au hapana; kufanya hivyo ndio kutafanya mtiririko wako wa hoja ueleweke, tofauti na watu kama ZeMarcopolo ambao wapo very erratic, lakini hilo linaeleweka kwani wanatafuta ushindi wa mjadala kwa udi na uvumba wakati mimi sipo hapa kutafuta ushindi bali kubadilishana mawazo kwa manufaa ya taifa, huku nikitegemea kabisa mwishoni kuna kukubali kutokukubalina; Gamba la Nyoka, nitakurudia pia;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kweli leo tuna bishana kuhusu Gongo! Gongo iruhusiwe??? Bavicha kweli mko serious mna muunga mkono Dr Slaa kwa hili la Gongo! Mmechoka kula viroba sasa mnataka Gongo!!!

Hahahahaha

Vijana wa Bavicha wamelaghaika.

Slaa a.k.a mzee wa gongo kaajiri "consultant" aje kumtetea, lakini "consultant" ameishia kukiri kuwa gongo isiyokidhi viwango iwe haramu kisheria.

Sasa sijui huyu "consultant" alikuja kutetea nini!

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom