Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,925
Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.
Kuna ukweli katika hili please guys get serious no more BS
Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.
godlisten nikufundishe kitu kwanza hongera kwa taarifa vita vyetu si juu ya damu na nyama
--watapiganaaaaaaaaaaaa lakini awatashindaaaaaaaa
--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA
NIMEONA MIMI HILI LIVE....TENA HAPO CENTRAL WAKATI NIKIWA NATAFUTA LESENI NIKAZUNGUSHWA NA WENGI SANA
WENGINE WANATAKA HELA NDEFU KAMA WANANUNUA IKULU NIKAMWOMBA MUNGU NIKASIMA NA KUMUITISHA KUANZIA RTO NA WENGINE WOTE WAWE CHINI YANGU NITAKAPOFIKA NAKUHAKIKISHIA NIMEFIKA KWA INSPECTOR MMOJA ALIPOSHINDWANA NA MIMI KWENYE MAHESABU AKANIAMBIA NENDA KWA RTO...
Kuna makamanda zaidi ya hamsini wameshafika, kituo kimezingilwa... naona polisi wanahaha tu, baadhi wanasema tupo pamoja... wapiganaji wamo ndani... soon tutapata taarifa.
watakua wanahojiwa kuhusu matamko yao yanayohatarisha amani. mbona walisema hawatokwenda? inteljensia inaonesha wanataka nchi isitawalike. chdm wachague moja. ama kufanya siasa ya kidiplomasia au wachukue silaha waende msituni ili wakafykwe vizuri. tumechoka tumechoka tumechoka na fitna za kaskazini. mnatuharibia nchi! mambo ya kenya hatuyataki tanzania!
mnyika alisema serikali ni dhaifu. mdee jana ameamuru raia wa kawe wawapige wanaotaka kununua ardhi na kuendeleza jimbo la kawe. ameomba wamwage damu. SASA WATAONA KAMA SERIKLAI NI DHAIFU AU SIYO DHAIFU. RAIS ANATUKANWA KILA UCHAO! naiomba serikali iwabane hadi wakose pakumulia. naona hii siyo siasa. huu ni uasi na uhaini. vile chdm wametangaza vita basi na iwe vita. wanaotaka kwenda central tangulieni mkashambuliwe na vyombo imara vya serikali ya ccm.
KUHUSU ALIEANDIKA MAKALA NDEFU YA LESENI YA UDEREVA
Mungu ni wetu sote. slaa ana wema gani hadi Mungu awe upande wake. anafuja pesa za chama, anaiba wake za watu, anamhonga kimada wake ubunge viti maalumu ili kumnyamazisha asimfuate kimada wake mpya, ni muongo majukwaani nk..... KWELI HUYU NI MJA WA MUNGU!!!!!!!!!!!!!!!? Mbowe klabu yake ya bilicanas inauza pombe, ni kichaka cha machangudoa, wasagaji, ******* nk....... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI!!!!!!!!!? lema zombe alificua kuwa walishirikiana ktk ujambazi arusha.... hadi leo hajakanusha wala kumshitaki zombe.... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI. NAKUOMBA UACHE MAHUBIRI YA KISHETANI!!!!!!!!!!!!!!!! hawa ni mabaradhuli siyo wacha MUNGU
Utabaki peke yako!Nenda mwenyewe
Mtu akikwambia kuna mtu anataka kumuuwa wewe unamwita polisi au unaandaa utaratibu wa ulinzi, au wanwaandalia ulinzi kuanzia polisi tupe ukweli????hakuna kosa hasa nikifuatllia mwendelezo wa matukio. ni kwenda kutoa maelezo tu basi. Unajua baadhi ya watu bado ni mwaka 1950s, ambao unajua kuitwa polisi, basi una kosa kumbe unaweza kuitwa kwa kuwa wanaamini una taarifa za mhimu kuwasaidia kufanya kazi zao za kila siku.
Viongozi wetu wameitwa baada ya kusema kuna njama wamebaini kuna watu wanataka kuwamaliza, sasa kuitwa na kutakiwa kutoa maelezo ndo wafuasi wao tuandamane? mbona hata akili hatuna? tumependa kupita kiasi sasa tumeondoa ubinadamu wetu(social being) na kuingiza unyama, ambapo pa kutumia akili, tunatumia maguvu tu.
kwani wameenda kufungwa kama mandela?
Ingelikuwa Arusha muda huu polisi pangekuwa hapatoshi
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
Dar mkuu!!Central ya wapi??
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.
Updates
Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm, Mr Henry J. Kilewo.
lema na mbowe! chadema chama ya wachaga!