Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Mbona Dr Mwakyembe alipotoatuhuma za mauaji yake hakukamatwa,hiyo ndo double standard ya polisi wetu
 
sasa ni wakati wa ukombozi umefika..... inabidi wandugu tusikubaliane na huu ubabe wa ccm na polisi wao, wananchi tuchoke na hii hali, tuende front tukabige watu....kituo gani wapo, nipo petrol station nakuja na petrol nahitaji kulichoma hilo licentral...
 
Na bado! Maana wamefanya ujinga wa ku"compromise" na hawa magamba. Hadi maandamano ya nguvu ya umma yamekuwa kitu cha kukebehewa sasa!
 
Back
Top Bottom