Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Wasiwapeleke tu maeneo ya pande, maana siku hizi nikisikia intelijensia ya polisi moyo unashtuka.
 
Kwakweli nchi hii inahitaji rais atkae ipeleka mbele, mwenye maamuzi yenye faida kwa watanzania wote bila kujali itikadi,rangi,dini,elimu ya mtu hata awe drs la pili.tujiulize chama kinachotuongoza hakina wasomi kama wapo mbona mambo yapo hivi. UongOzi haupimwi kwa elimu tu.
na ungepimwa kwa elimu tu, ccm isingekuwa hivi ilivyo maana wana mbunge hadi wa darasa la saba tena mtaalam maalum!
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

UPDATE 3
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.

Michael P.Awenda wewe ni mwongo sana na taarifa yako hii yote ni ya kutaka watu watahaaruki,kama walivyofanya Zanzibar,hakika wewe si mpenda AMANI bali ni mchafuzi wa AMANI.
Taarifa sahii ni kuwa viongozi hao wote hawajakamatwa bali Dr.wa Ukweli yaani Dr.Slaa yuko Kakola,kahama akiendelea na M4C toka juzi alikuwa Kijiji cha ILOGI,BUGARAMA na jana alimalizia KAKOLA na ameondoka leo huko.
Michael Awenda hamia facebook ukawadanganye huko.
 
Wewe ndio umekurupuka, habari ya July, wewe unaichukulia kama ya leo!!
 
Michael P.Awenda wewe ni mwongo sana na taarifa yako hii yote ni ya kutaka watu watahaaruki,kama walivyofanya Zanzibar,hakika wewe si mpenda AMANI bali ni mchafuzi wa AMANI.
Taarifa sahii ni kuwa viongozi hao wote hawajakamatwa bali Dr.wa Ukweli yaani Dr.Slaa yuko Kakola,kahama akiendelea na M4C toka juzi alikuwa Kijiji cha ILOGI,BUGARAMA na jana alimalizia KAKOLA na ameondoka leo huko.
Michael Awenda hamia facebook ukawadanganye huko.

Mkuu wangu kwa heshima yako muombe radhi Michael Aweda! Umesoma tarehe ya hii habari? Kuwa makini mkuu
 
Echolima usikurupuke! Taarifa ya Michael P Aweda ni ya mwezi wa 7 na ilikuwa ya UKWELI. Sasa ni karibu na mwisho wa mwezi wa kumi. Ungeipitia kuanzia mwanzo kabla ya ku-comment. Kiuungwana mtake radhi na ufute hiyo post yako ndani ya saa 24.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu kwa heshima yako muombe radhi Michael Aweda! Umesoma tarehe ya hii habari? Kuwa makini mkuu

Kwa heshima na taadhima naomba MSAMAHA kwa Michael P.Awenda samahani kwa usumbufu wowote ulioupata kutokana na post yangu hii.
Sikuona post yako ilikuwa ya lini nimeona leo hii baada ya kuona kwa moyo wangu napen da kuomba msamaha kwa yote.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.Kama unajua taarifa imepitwa na wakati unaiweka mtandaoni ili IWEJE?ACHA UFARA.usiwaweke watu roho juu,maana hawa jamaaa ndo tegemeo la watz wenye akili za uzalendo.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.Kama unajua taarifa imepitwa na wakati unaiweka mtandaoni ili IWEJE?ACHA UFARA.usiwaweke watu roho juu,maana hawa jamaaa ndo tegemeo la watz wenye akili za uzalendo.
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

UPDATE 3
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.
wewe unastahili BAN kwa kuweka thread ya zamani na kusababisha usumbufu usio wa lazima!!
 
Siasa za tz ni uzushi mtupu...ukikosoa tu unalo,kituoni kila kukicha.
Uksimamia haki tu mabwepande.
Linalofaa bongo hii uwe na hela na uzigawe kwa wenye mamlaka,ukifanya hivi mambo yako shwariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisa.hata ukiua hakiharibiki kitu kesi itayeyuka tu.mifano ipo , tumeshuhudia mengi na tutaendelea kushuhudia .......
 
wewe unastahili BAN kwa kuweka thread ya zamani na kusababisha usumbufu usio wa lazima!!

unamatatizo upstairs wewe? Mwenye kuleta usumbufu ni yeye alioleta thread kwa wakati au wewe ulieisoma kwa kukurupuka usieangalia hata tarehe? Jf imeingiliwa siku hizi
 
JF Kweli imeingiliwa na wenye mtindio wa ubongo kama wewe! sisi huwa tukiona swala nyeti kama lini huwa tunasoma nan kuanza kufikiria hatua za kuchukua kwanza wewe kama umekunywa maviroba yako kaa kimya stupid , nincompoop!
 
wamekamatwa kwenye kituo kipi? nilikuwa na lema leo jumatano saaa 4 asubuhi hapa arusha alikuwa anahosha gari,na aliniambia anaenada kwenye mazishi moshi sehemu inayoitwa old moshi,aliwasiliana na mh selasini kujua kampeni zinaendaje,pia alinifafanulia kuhusu watu wanaotaka kumuekea silaha na dawa za kulevya ili akamatwe,pia tulizungumza kuhusu safari yao ya lushoto kwa januari makama.
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

Ukome kutowa tarifa za kipuzii za kimangamba, ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Kunya anye kuku akinya bata uharo.

Pasi na shaka Tz siku hizi hakuna utawala wa Sharia.

Poleni sana
 
Back
Top Bottom