Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

godlisten nikufundishe kitu
kwanza hongera kwa taarifa
vita vyetu si juu ya damu na nyama
--watapiganaaaaaaaaaaaa lakini awatashindaaaaaaaa
--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA
NIMEONA MIMI HILI LIVE....TENA HAPO CENTRAL WAKATI NIKIWA NATAFUTA LESENI NIKAZUNGUSHWA NA WENGI SANA
WENGINE WANATAKA HELA NDEFU KAMA WANANUNUA IKULU NIKAMWOMBA MUNGU NIKASIMA NA KUMUITISHA KUANZIA RTO NA WENGINE WOTE WAWE CHINI YANGU NITAKAPOFIKA NAKUHAKIKISHIA NIMEFIKA KWA INSPECTOR MMOJA ALIPOSHINDWANA NA MIMI KWENYE MAHESABU AKANIAMBIA NENDA KWA RTO..KUMBE ANANIPA GREEN LIGHT NILIPOFIKA NIKAWAKUTA KAMA WATU 4 ALIPOKUJA KUTOKA NJE AKAMUULIZA KAMAMA KAMOJA SECRETARY WAKE HAWA WANASHIDA GANI MNAWAJAZA HAPA OVYO WAKASEMA LESENI AKATUITA WOTE AKATUAMBIA NI NII NI ZAIDI TUKAMWAMBIA NAKWAMBIA YULE BABA ALICHUKUA KARATASI AKAOMBA MAJINA YETU NA KUTTULIZA WEWE UNATAKA LESENI GANI .D.E. KILA MTU AKATAJA ANAYOITAJI...AKAANDIKA NOTICE TWENDE KWA INSPECTOR FULAN AKATUPE LESENI TULIPOFIKA KARATASI NAMPA INSPECTOR ALIENITOLEA NJE KUNIPA LESENI TENA KWA PESA AKAKUTA MEMO WAPENI HARAKA SANA LESENI NA MWISHO AKAANDIKA MARUFUKU KULETA WATU OFISINI MWANGU HII SIYO SEHEMU YA KUTOLEA LESENI MUNGU AMBARIKI SANA ...NIKATOA DOCS ZANGU NIKAJA BAADA YA SIKU 4 ...YULE INSPECTOR AKUAMINI KILICHOTOKEA LABDA NIKUPE USHUHUDA ZAIDI LEO NI MZEE WA KANISA NINALOSALI HUYO INSPECTOR
NA ALILETWA NA RAFIKI WA MKEWE AKALETA FFAMILIA NZIMA..SO SWALA SIO KUWATOA SWALA NI KUJUA MAMLAKA TULIONAYO HAPA DUNIAN WISH NINGEWAAMBUKIZA KILA MMOJA MAMLAKA NILIONAYO HATA HUYO MBOWE NA SILAA WANACHOONGEA SIO WAO NI MUNGU ANAWATUMIA SO WALA MSIHANGAIKE NI MAPITO NA NINAVYOONGEA...NENDA KAMA UNAENDA FIKA PALE SEMA NAKUTIISHA EWE SHERIA/INSPECTOR NA KILA MAMLAKA ILIOCHINI YA ARDHI YA CENTRAL UKAWAAACHIE WATU HAWA TAJA MAJINA KWA JINA LA YESU WAWE HURU..UKIISHIA WATU HAWA MUNGU ANASIKIA ATAWAACHIA HATA MAJAMBAZI YALIOKAMATWA USIKU WA KUAMKIA LEO SO UWE MAKINI UNACHOONGEA

MUNGU AKUBARIKI

Mkuu wewe mbona wa siku nyingi hapa , unaandika kama Junior Member?
 
Baba katika jina la YESU nakemea pepo mchafu anaye litafuna taifa la TANGANYIKA,pepo tooooooooooooooooka,katika jina la YESU toooooooka,wote tuseme AMIN
 
watakua wanahojiwa kuhusu matamko yao yanayohatarisha amani. mbona walisema hawatokwenda? inteljensia inaonesha wanataka nchi isitawalike. chdm wachague moja. ama kufanya siasa ya kidiplomasia au wachukue silaha waende msituni ili wakafyekwe vizuri. tumechoka tumechoka tumechoka na fitna za kaskazini. mnatuharibia nchi! mambo ya kenya hatuyataki tanzania!

mnyika alisema serikali ni dhaifu. mdee jana ameamuru raia wa kawe wawapige wanaotaka kununua ardhi na kuendeleza jimbo la kawe. ameomba wamwage damu. SASA WATAONA KAMA SERIKLAI NI DHAIFU AU SIYO DHAIFU. RAIS ANATUKANWA KILA UCHAO! naiomba serikali iwabane hadi wakose pakumulia. naona hii siyo siasa. huu ni uasi na uhaini. vile chdm wametangaza vita basi na iwe vita. wanaotaka kwenda central tangulieni mkashambuliwe na vyombo imara vya serikali ya ccm.


KUHUSU ALIEANDIKA MAKALA NDEFU YA LESENI YA UDEREVA
Mungu ni wetu sote. slaa ana wema gani hadi Mungu awe upande wake. anafuja pesa za chama, anaiba wake za watu, anamhonga kimada wake ubunge viti maalumu ili kumnyamazisha asimfuate kimada wake mpya, ni muongo majukwaani nk..... KWELI HUYU NI MJA WA MUNGU!!!!!!!!!!!!!!!? Mbowe klabu yake ya bilicanas inauza pombe, ni kichaka cha machangudoa, wasagaji, ******* nk....... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI!!!!!!!!!? kuhusu lema, kamanda zombe alifichua kuwa walishirikiana ktk ujambazi arusha.... hadi leo hajakanusha wala kumshitaki zombe.... HIVI HUYU NI MJA WA MUNGU KWELI. NAKUOMBA UACHE MAHUBIRI YA KISHETANI!!!!!!!!!!!!!!!! hawa ni mabaradhuli siyo wacha MUNGU
 
Kama wamekamatwa kwa kosa la kusema kwamba wanataka kuawawa? Basi wamkamate na Mwakyembe na Sita kwanza,asanteni ze comedy EATV kwa kuliona hilo
 
Timing ya hii kitu itakula kwa CCM. 2 weeks baada ya Dr Ulimboka unawakatama wanasiasa waliotoa tuhuma za kuuwawa? Tena huku unakataa kuunda tume huru ya uchunguzi? CCM mbona wanatumia nguvu kubwa sana kukijenga CHADEMA? Wapi ma-consultants wao?
 
nani asiyejua kama hiki ni chama cha wachaga na siku hizi wakatoliki nao wamejiunga.Hata wewe waonekana ni mchaga pia.Pole sana ukweli unauma
Mtasema na matapanga mengi mwaka huu hata kuwalimboka lakini ukweli uko pale pale hamchomoi sisis na nyinyi wezi wakubwa nyie!!! Wanaoibiwa ni Watanzania sio WACHAGA watu wote tunapata hasara fedha zimefichwa Uswiss na SA wacha kulala M4C ndilo jibu!!!

 
Nafikiri watakuwa salama, kwani wote wanaelewa namna gani ya kuomba madai yao kufuata sheria. Naomba tuwe neutral na kuacha vyombo husika vifanye kazi yake. Napenda kuwahasa ya kuwa tuwe wavumilivu sana huku tukifatilia na kusubiri yatakayojiri. Pia napenda kuionya serikali iweze kufanya mambo yake kwa makini bila kufikisha watanzania mwisho wa uvumilivu.
 
Hivi Kikwete yupo? Nilisikia yupo ughaibuni anakula kuku akiuliza kwa simu vipi huko mgomo wa madaktari vipi umeisha? akajibiwa bado...... nae akajibu jitaidini basi na mnijuze mkiona mambo yametulia!

Mi acha nijipumzikie zangu huku manake nchi yenyewe haileleweki. Pia tafuteni mbinu ya kuwapooza akina Dr slaa, Mbowe, Lema na Mnyika-manake hawa jamaa wananinyima usingizi kabisaaaa!

Mpaka najuta kwanini nimekuwa raisi wa hili li nchi....
 
Asante, twende zetu central tukawatoe makamanda.
Kuna makamanda zaidi ya hamsini wameshafika, kituo kimezingilwa... naona polisi wanahaha tu, baadhi wanasema tupo pamoja... wapiganaji wamo ndani... soon tutapata taarifa.
 
Nafikiri watakuwa salama, kwani wote wanaelewa namna gani ya kuomba madai yao kufuata sheria. Naomba tuwe neutral na kuacha vyombo husika vifanye kazi yake. Napenda kuwahasa ya kuwa tuwe wavumilivu sana huku tukifatilia na kusubiri yatakayojiri. Pia napenda kuionya serikali iweze kufanya mambo yake kwa makini bila kufikisha watanzania mwisho wa uvumilivu.

Namkubali sana Mbowe linapokuja suala la ku deal na vyombo halali vya sheria. Nadhani mtu kama Slaa na Lema leo watajifunza kitu kutoka kwa nguli wa siasa za kistaarabu.
 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..

CDM 2015 inashika nchi huu ndio ukombozi sasa,NSSF,PPF,LAPF nyinyi ndio mtakaoizika ccm 2015 na sheria zenu hizo za miaka 60 mafao.
 
watakua wanahojiwa kuhusu matamko yao yanayohatarisha amani. mbona walisema hawatokwenda? inteljensia inaonesha wanataka nchi isitawalike. chdm wachague moja. ama kufanya siasa ya kidiplomasia au wachukue silaha waende msituni ili wakafykwe vizuri. tumechoka tumechoka tumechoka na fitna za kaskazini. mnatuharibia nchi! mambo ya kenya hatuyataki tanzania!

mnyika alisema serikali ni dhaifu. mdee jana ameamuru raia wa kawe wawapige wanaotaka kununua ardhi na kuendeleza jimbo la kawe. ameomba wamwage damu. SASA WATAONA KAMA SERIKLAI NI DHAIFU AU SIYO DHAIFU. RAIS ANATUKANWA KILA UCHAO! naiomba serikali iwabane hadi wakose pakumulia. naona hii siyo siasa. huu ni uasi na uhaini. vile chdm wametangaza vita basi na iwe vita. wanaotaka kwenda central tangulieni mkashambuliwe na vyombo imara vya serikali ya ccm...
Dr Ulimboka mlitaka kuuwa wanini, au naye ni aina ya Slaa?????????
 
Chanzo cha UPUUZI huo ni KUCHEMKA KI FIKRA KWA CCM...
Wao CCM Kupitia MAHITA waliendesha Propaganda awamu ya pili ya MKAPAkua CUF ni Mtandao wa Alkaida... Na wakapandikiza UDINI pia..
Leo CHADEMA imewakaba, wanapandikiza UDINI NA UKABILA..
SWALI ....!!!
1.CCM Ilianzishwa na viongozi toka MKOA GANI?
2.Na ndani ya CCM nipe uwiano ulio sawa wa IDADI ya walioshika Nyadhifa mbalimbali za Juu,KWA ITIKADI ZA DINI NA UKABILA.Wengi ni kutoka mikoa gani,Dini gani na Kabila gani?
UKUCHEMKA KUONGOZA PISHA WENGINE!!!!

mimi ni mchagga ndiyo, but it does not mean wote tunaoishi arusha ni wachagga, arusha kabila kuu ni wamasai, wameru, pamoja na wairaq ambao asilimia kubwa wao wanatokea manyara,, sasa huo ukabila unatoka wapi ndigu yangu, mbn unapandikiza udini, ukabila na chuki kwa chadema???,.
 
Hakuna mtu anayeleta update ya maana naona wote mnashindana kwa ngonjera na hadithi ngoja nikachukue fyekeo langu niende kwe ulabu ili yakianzia huko niwe na silaha!
 
Back
Top Bottom