Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

mara ya mwisho mbowe kukamatwa serikali ya mabwepande ilitumia mil zaidi ya 50..safari hii sijui watatumia mil ngapi masikini kodi zetu..
 
Yesu alipata mateso ili tukombolewe... the same is applicable...
 
Kazi sana siasa za Mabwepande na PoliCCM!sijui itakuwaje ikiwa CDM watashika dola siku moja,hawa polisi watatii amri zao au watakimbia kivuli chao?? Kwa nini wanapelekwa na matakwa ya wanasiasa?
 
Masawe mnataka kwenda kuwatoa kwa nguvu? Ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi, wanahojiwa kutokana na kauli zao.

Mbona Dr Mwakyembe alipotoa tuhuma za mauaji yake hakukamatwa,hiyo ndo double standard ya polisi wetu?​


 
Waache kujihami na kutafuta umaarufu eti wanataka kuuawa,waeleze vizuri polisi
 
Tunasema viongozi wa CHADEMA wanaodaiwa kukamatwa na polisi Dar es Salaam waachiliwe HURU kwa kuwa maonevu zaidi haitovumilika.
 
Kimsingi ccm wanawapa wapinzani agenda, ilipaswa wawapuuze na kuendelea na mambo yao lakini kwakuwa nilazima mabadiliko yatimie Tanzania ndio maana kwa ujinga wao wamekuwa wakiharakisha hata pale mambo yanapokwenda polepole.

Hawa viongozi wetu walipotoa tamko lao waliwatahadharisha wanausalama kuwa hawatatoa ushahidi wowote mpaka mahakamani na ki-ufundi ndiko tunakoelekea maana wakiwafungulia mashtaka utetezi wao mahakamani utakuwa wa kuiumbua serikali ya magamba kwa hila zao za kijinga.

CCM wanajua wanataka kufanya nini, na wanafanya kama walivyopanga, tatizo kubwa ni kwamba hawajui nini matokeo ya kile wanachofanya na mbaya zaidi hawana uwezo wa kukabiliana na matokeo ya wananchofanya. Every move kuanzia Feb 2011 imekuwa disaster.

Sasa hivi wameunda kikosi kazi cha 'fitna'. Ni mtanzania gani sasa hivi (ukiondoa watu maslahi) ana muda wa kusiliza mashairi ya CCM? Wakulima waliopata mbolea feki leo hii utawaambia ni CHADEMA ndio walileta mbolea? Vijana wanazagaa barabarani kwa kukosa ajira utaambia CHADEMA ndio chanzo? CCM just dont get it!
 
nimewasiliana na Godbless Lema anasema 'hatuja kamatwa ila tulikuja wizara ya mambo ya ndani kwa mahojiano na bado tunaendelea.'
 
Masawe mnataka kwenda kuwatoa kwa nguvu? Ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi, wanahojiwa kutokana na kauli zao.

arghhhhhhhhhhhh malizia ...............kwa kauli zao za kichochezi kuvunja amani ya nchi isitawalike.
 
mara ya mwisho mbowe kukamatwa serikali ya mabwepande ilitumia mil zaidi ya 50..safari hii sijui watatumia mil ngapi masikini kodi zetu..

Hivi endapo wakiwa wanawahoji wakikataa kusema chochote,nini kitafuatia?
 
Back
Top Bottom