jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 3,257
- 4,360
Hawa nyumbu sasa wanatia kinyaa. Mi nilijua Lowassa labda ana nguvu ya ziada.. Kumbe ni ujinga tu wa Watanzania!! Leo hii mtu anamuona Dr Slaa shetani, halafu Lowassa malaika!! Duh...Mmecharuka kumponda Dr.Slaa bila kujua hizo taarifa ni kweli au fitna tu! Kosa lake nini? Chuki gani hiyo kwa Dr.Slaa hata downfall ndogo tu tena ya majungu muifurahie kama hivi!! Kumbukeni hakuna adui au rafiki wa kudumu katika siasa! Au mshasahau huu usemi maarufu