Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Anayemtisha ni kivuli chake mwenyewe cha usaliti
 
Kwa mahitaji yako ya maparachichi, tuwasiliane
0784572272
Nipo Morogoro
 
Habari kama hizi zinahitaji kuwa na uhakika kabla ya ku comment.
Zina kila dalili za kuwa fake!
 
Dr Slaa ni member humu JFs.. Hulka yake ni kupenda kujibu kila hoja inayomhusu.
Plse Dr jitoleze ujibu hizo tuhuma za magazeti yetu....
Dr tunakusubiri kw shauku kusikia kauli yako...
Anajibugi Miss Mshumbuzi @D W Slaa Hana access na acc yake ya JF...
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Dhambi ya usaliti inamtesa
 
Kwahiyo wale wa usalama waliokuwa wanamlinda serena walikuwa wanafanya part time job? Afungue shule na hospital huko huko
 
Inawezekana kbsa anasakwa kama yule mchungaji mtikila alivyo katiswa maisha ,yuko sahihi.kuomba ukimbizi maana ni haki ya kila mtu doktor yuko sahihi.kama ni kweli.
 
Dr. Slaa ni jina kubwa haijalishi wewe unamwonaje. Hakubaliani na unafiki kwa kuwa yeye si mnafiki. Habari za yeye kuomba ukimbizi Canada tunaitaka serikali ifuatilie na itupe mrejesho. Kama vitisho hivi vinatoka kwa Hugo rais wa wawahuni wanayesema anaishi kama rais hatua zichukuliwe kuuthibitishia umma kwamba ipo serikali makini yenye uwezo wa kulinda RAIA wake
 
Swala la lipumba...na dr slaa ni tofauti..

Mahangaiko yanayomsumbua dr ni mengi.... usaliti wa chama na kanisa... ni vitu hatari sana...

Lipumba anaweza kuomba msamaha akasamehewa ikumbukwe wakati anajiengua kwenye kiti chake bado hajakaa mbali na siasa...

Huyu dr makando ni mengi mara familia...mara chama...mara kanisa...mara bango la nyumba...

Mwanangu Dr. Slaa cyo level yako hata mwk. wako taifa analijuwa hilo.
Nandiyo maana hadi leo chama hakijapata katibu mkuu hata wa kumsogelea kwa asilimia 6% tu hajapatikana cdm. Ni Mungu amempa uwezo huo na simwingine ni mungu wake.
Na kwalevo ya Dr awezi kuja cdm kuomba msamaa huyu jamaa anamisimamo sana, nadiyo maana kasema choo kime jaa mavi yamepakuliwa na kuletwa chumbani, leo ishajionyesha.
 
Back
Top Bottom