Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Wala mihogo wote wanadunda tu humu nchini, yeye kwanini anahofia maisha yake kuwa hatarini!!!!!!!

Labda ameanza kupinga full breakfast, Lunch and dinner na glass ya red wine then lazima uhitaji ulinzi!
 
CDM ya EL imepwaya sana. Vijana wadogo akina Salum Mwalim wanajikanyaga tu. Hii habari imeletwa na magazeti ya habari corp. Tunafahamu mlengo wao toka uteuzi wa ndani ya vyama,kampeni hata baada ya matokeo. Hao wanshabikia mtu,si sera. EL na CDM mamluki wanadhani Dr Slaa ni threat kubwa kwao kuliko CCM.
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Inakimbia kivuli chake huku dhambi ya usiliti ikimwandama
 
Huko atafanya kazi gani? upadri haez rudi,siasa kashachemka,mchumba ndoa haieleweki,mkono wametegua,nyumbani anakuogopa. Oooh poor slaa,you failed to play your cards. Siasa nikama kamari unatakiwa ujue time ya kuicheza siasa,time ya kuhesabu hela na time ya kukimbia.
vijana kama kafulila na wenzake wajifunze,mtu maarufu ukifulia nitabu sana inabidi umwone psychologist.
Rudi hom dr. Slaa tupo tunaoenzi jitihada zako na tutakulinda kwa nguvu zooote
Unamdanganya
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Atapata tabu sana mzee wa watu.
 
Kila nikikumbuka mbwembwe za kulipia vituo vingi vya tv hili kutoa tamko zito chini ya usimamizi wa usalama wa t/fa..na ccm.. ndani ya hoteli ya nyota tano..ha ha ha
Dr akatutukana wanaukawa kwa kutufananisha na kinyesi...kumbe yeye ndiye kinyesi..
kwakweli josephine ni habari nyingine..
 
Mwanangu Dr. Slaa cyo level yako hata mwk. wako taifa analijuwa hilo.
Nandiyo maana hadi leo chama hakijapata katibu mkuu hata wa kumsogelea kwa asilimia 6% tu hajapatikana cdm. Ni Mungu amempa uwezo huo na simwingine ni mungu wake.
Na kwalevo ya Dr awezi kuja cdm kuomba msamaa huyu jamaa anamisimamo sana, nadiyo maana kasema choo kime jaa mavi yamepakuliwa na kuletwa chumbani, leo ishajionyesha.
Maneno mengi ya nini..nyie ccm mpeni msaada huyu mzee..unaona kaanza kujiita mkimbizi kwenye nchi za watu
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Mkubwa jf ni forum yenye heshima kubwa! Itendee haki,weka ushihidi wa gazeti na jina lake.
 
Uzee wote huo anahangaika nini kwenye nchi za watu? Labda laana za papa za kukataa wito zinamuandama.
 
Huwa mnapuuza wanajimu, ila mtoto wa sheikh Yahya alishatabiri kurukwa kwa akili kwa kiongozi mmoja wa kisiasa nchini. Bado nafuatilia nijue alimtarget nani
 
Chezea Ccm wenye,Washamtumia na kumdampo.Sasa anaona aibu mke keshakula nyumba.Afadhali apotelee huko huko maisha yake yote.
Watanzania hawamwitaji tena.
Nadhani Josephine Mushumbusi ameamua kuuza hiyo nyumba kisela bila Dr kujua au kupata hata kumi!
Kimjini mjini watu wanafanya hivyo anaangalia thamani ya nyumba (asset ) ni sh.mil.300 anakwenda bank anachukua hiyo hela,bank wanakuja kupiga mnada mzee anaachwa kwy mataa!
 
Team weka picha......
 

Attachments

  • 12631269_1032254170172374_8991446832432258561_n.jpg
    12631269_1032254170172374_8991446832432258561_n.jpg
    75.7 KB · Views: 39
Back
Top Bottom