Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
.
Ni Magufuli na chama chake .Baada ya kumuingiza chaka wamempaki pembeni!
.
 
Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
Mkuu kwani yule mwanampotevu tunaemsoma kwenye biblia hakupewa mali na pesa ya kutosha..?? Ilikuwaje akarudi kwa baba akiwa hana kitu..!!!??
 
Mkuu nakukubali sana kwa mabandiko yako, vilevile nakumbuka ukiwa mwalimu wangu ulikua unatupa lecture zenye data za kutosha na za uhakika. Ubarikiwe sana mkuu na usonge mbele.
Wapi huko?!
 
Enyi wafuasi wa Lowasa, acheni kumdhalilisha Dr Slaa.....mchango wake wa kuifikisha CDM hapo ilipo si wa kudhihakiwa, nyie wakuja tu hamkawii kurudi mlikotoka.
Haha hakuna wa kuja hapa...hata nikija leo wewe wa 90 tuna haki sawa...
 
Mkuu nakukubali sana kwa mabandiko yako, vilevile nakumbuka ukiwa mwalimu wangu ulikua unatupa lecture zenye data za kutosha na za uhakika. Ubarikiwe sana mkuu na usonge mbele.
Wapi huko?!
 
Wale waliokua wanajiita CHADEMA Asilia walikua wanaanzisha nyuzi humu kila dakika wakidai Chadema Asilia irudishwe, mbona hawasikiki tena?
 
Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
acha tuu mkuu watu wanaongea kadri Mungu alivyoawajalia mdomo...
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Naye hatakuwa na kikao katika nchi ya uzao wake
 
Dr Slaa ni member humu JFs.. Hulka yake ni kupenda kujibu kila hoja inayomhusu.
Plse Dr jitoleze ujibu hizo tuhuma za magazeti yetu....
Dr tunakusubiri kw shauku kusikia kauli yako...
 
Password iliibwa na mchumba na akaibadili sasa Dr akitaka kuingia kwenye akaunti yake mambo yanagoma. Chezea ushomire wewe!
 
Siasa za bongolala nouma xana hata kaburu alipotea kama utani vile amebakia kufahamika kwa wajumbe wa nyumba kumi kumi
 
Back
Top Bottom