Dr Wilbroad Slaa aliyeikimbia Chadema katikati ya mapambano ya kukamata dola mwaka 2015 na kutunukiwa ubalozi kwa sasa ndiye mpiga debe mkuu wa Tundu Lissu kutaka kukamata uongozi ndani ya chama hicho
Dr Wilbroad Slaa aliyesema Tundu Lissu alipigwa risasi na wanachadema wenyewe huku Freeman Mbowe akitumia kila njia kuokoa maisha yake leo hii ndiye anayezunguka huku na huko kutangaza mtu anayefaa kuongoza Chadema
Dr Wilbroad Slaa aliyesema hadharani anachukizwa na watu wanaosema Freeman Mbowe siyo Gaidi leo hii anapiga propaganda kwamba Freeman Mbowe anapendwa na serikali.
Katika mahojiano na wanachama mbalimbali wa Chadema wamemtaka Mzee huyo apumzike na asitake kuchagulia Chadema viongozi kwani hana heshima hiyo ndani ya chama hicho.
Idrissa Abdallah aliyejitambulisha kama mwanachama wa Chadema alisema Dr Wilbroad Slaa anamchafua Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni na huenda akamharibia na kuzima ndoto zake za kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwani wanachama wanamchukulia Mzee huyo kama adui yao.
Hata hivyo katika tafika tafiti na chunguzi kadhaa mpaka sasa inaonekana Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe atachaguliwa tena kwa kupata kura kati ya asilimia 60% mpaka 70%