maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Rudi Mzee tuendeleze siasa upate mtaji 2020
msaada wake ni kwa ajili ya ustawi wa Taifa Hili.... Ww subiri kolabo ya Prof Lipu na Dk Bastola ujue kuwa kinachofanywa ni hatari na hakuna anayeweza kukizuiaAiseee anajiandaa kuanzisha chama chake? He he he mazito haya, kwanini asirudi CCM tu maana kadi anayo amsaidie magufuli,
Naona unakariri tu...RAIA MWEMA nalo ni Gazeti..!! lina tofauti gani na Mzalendobaadhi ya vyombo vya habari vya hapa nchini siyo vya kuamini au vya kuttumia kama source wengine hawana weledi hata kidogo wa uandishi bali wa be driven na wanasiasa. hapa nchini naona gazeti moja tu anagalau linajitaidi kuandika RAIA MWEMA
Chezea Ccm wenye,Washamtumia na kumdampo.Sasa anaona aibu mke keshakula nyumba.Afadhali apotelee huko huko maisha yake yote.
Watanzania hawamwitaji tena.
Mwanangu Dr. Slaa cyo level yako hata mwk. wako taifa analijuwa hilo.
Nandiyo maana hadi leo chama hakijapata katibu mkuu hata wa kumsogelea kwa asilimia 6% tu hajapatikana cdm. Ni Mungu amempa uwezo huo na simwingine ni mungu wake.
Na kwalevo ya Dr awezi kuja cdm kuomba msamaa huyu jamaa anamisimamo sana, nadiyo maana kasema choo kime jaa mavi yamepakuliwa na kuletwa chumbani, leo ishajionyesha.
Bila shaka Dr. Slaa anaelewa michezo inayochezwa. Itakuwa ajabu kama hajui kile kinachoitwa "siasa ni mchezo mchafu" ni nini hasa. Kuhusu CDM sioni itapata faida gani kutishia uhai wake labda kama chama kina zero intelligence. Nachoona ni wale "waliommiliki" Dr. na kumfadhili wakati akiigeuka CDM, kuhamia Serena hotel na kuzungukia vyombo vya habari kuiponda CDM na Lowasa ndio wenye manufaa makubwa kwa kifo au kudhurika kwake kimwili. Faida kuu mbili ni, kwanza, kuwaaminisha watu kuwa ni "maadui wake wapya: CDM na Lowasa ndio wamefanya hivyo. Pili, ni "kumzima" asijeropoka yasiyotakiwa baada ya kumaliza kumtumia. Dr. anatakiwa kutumia intelligence yake vizuri sana katika hilo.
Kosa kubwa alilofanya Dr. ni kutotumia busara alipopewa tenda na watu wenye nia mbaya na "mikono michafu" waliotaka kuhujumu upinzani na kummaliza adui yao Lowasa. Yeye alimuona tu adui/"fisadi" Lowasa na kukerwa na CDM kumteua kuwa mgombea. LAKINI hakuona uovu na malengo batili ya waliompa tenda. Shortsightedness. Alitakiwa aone kuwa hawa ni watumia fursa tu; watu wa mikakati; kwamba ikibidi wanaweza "kumzima" waliyemtumia asije akaleta nuksi baadaye. He should be more smart on these kinds of moves. Jazba haitakiwi kabisa.
Siamini kama suala la nyumba ndilo linamkimbiza. Kama ilivyosemwa huko nyuma, alipewa mshiko wa kutakata. Labda kama wenye kusema hivyo wana"enjoy" kumsanifu tu. Nahisi amepoteza mwelekeo wa maisha na kushindwa kuona ni vipi atarejea kuishi Tz baada ya yote yaliyotokea. Labda pia mwisho wa visa umefika. Hivyo inabidi aombe uraia kwenye nchi yenye uwezekano mkubwa wa kupata. Huyu ni mtu aliyezoea harakati na mazingira ya Tz. Sijui ataweza vipi kuishi nje permanently.
LOWASAHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Sasa mtaalam wa psychology tena akahudumiwe na wataalam wengine? Ama kweli mganga hajigangi!! Mzee wa watu mafuta ya Chrisma yanamtesa maskini!! Kazee kanaona aibu kurudi Tz kataweka wapi uso wa kenyewe huku Lowassa kaliyemsema ni liability anaendelea kunawiri tu huku UKAWA ikiingiza mjengoni wabunge lukuki na kushika majiji karibia yote!!Hihihiiii mtaalamu wa saikolojia alione hili.
DuppyConqueror
Hata mimi mwana CCM namwonea huruma sana Dk Slaa sikutegemea maisha yake yatasinyaa kiasi cha kuanza kukimbia kimbia kuomba nchi ya kuishi ndani ya muda mfupi kiasi hiki, nawaombeni tumuombee!!Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma
alivyoingizwa mkenge na Magufuli
Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi?
Hivi ni kwanini aliamua kuacha upadri?
Haa haaaa kwanini mkuu?Kama ni kweli basi inatakiwa tuchukue tahadhari kubwa wakati wa kuoa.
Mkuu, siyo Bukoba, ni kibondo mkoa wa kigoma mkewe silaa ni mkimbizi wa kwa Nkulunziza.nyumba inapigwa mnada na benki .... Dr. aende ukweni bukoba