guysniper
Member
- Apr 2, 2013
- 60
- 15
Awaambie ukweli wacanada kwamba ameshindwa kulipa deni na nyumba yake imepigwa mnada..
yote kwa yote..usaliti ni mbaya sana..hasa ukidanganywa na mama watoto

Awaambie ukweli wacanada kwamba ameshindwa kulipa deni na nyumba yake imepigwa mnada..
yote kwa yote..usaliti ni mbaya sana..hasa ukidanganywa na mama watoto

Aiseee anajiandaa kuanzisha chama chake? He he he mazito haya, kwanini asirudi CCM tu maana kadi anayo amsaidie magufuli,siku mtakapoona Chama Kipya kinazinduliwa basi rudini hapa na mzungumze vitu kama Hivi mnavyonena Hapa. Staili anayotumia Dk Slaa ni Staili ambayo Ilitumiwa na Mpelelezi Matata Joram Kiango katika Mkasa Ule uitwao Tutarudi na Roho Zetu pale alipoiba pesa benki na kwenda kuomba Hifadhi ya Ukimbizi Kule South. Kilichotokea nadhani Hata kwa Dk kitatokea kama kile.
Gazeti la Mtanzania Jumapili ka tarehe 31/01/2016.Mkubwa jf ni forum yenye heshima kubwa! Itendee haki,weka ushihidi wa gazeti na jina lake.
Sio kuwa ingekuwa Uhuru ndio tungeamini zaidi?Kama source yenyewe ni Mtanzania, basi ni kutilia shaka. Ingekuwa Mwananchi afadhali kidogo!
Kuna mjinga alitibua deal,Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
Tehe tehe ok kaka! LolGazeti la Mtanzania Jumapili ka tarehe 31/01/2016.
Acha kabisa, ilikua siku mbaya sana kwa wana chadema,Kila nikikumbuka mbwembwe za kulipia vituo vingi vya tv hili kutoa tamko zito chini ya usimamizi wa usalama wa t/fa..na ccm.. ndani ya hoteli ya nyota tano..ha ha ha
Dr akatutukana wanaukawa kwa kutufananisha na kinyesi...kumbe yeye ndiye kinyesi..
kwakweli josephine ni habari nyingine..
Mkuu, najitahidi kuwa objective. Kwa maana hiyo, Uhuru na Mtanzania ni hao hao.Sio kuwa ingekuwa Uhuru ndio tungeamini zaidi?
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Waite wakujibuWale waliokua wanajiita CHADEMA Asilia walikua wanaanzisha nyuzi humu kila dakika wakidai Chadema Asilia irudishwe, mbona hawasikiki tena?
Chezea Ccm wenye,Washamtumia na kumdampo.Sasa anaona aibu mke keshakula nyumba.Afadhali apotelee huko huko maisha yake yote.
Watanzania hawamwitaji tena.
Yule jamaa wa RICHMOND aljyemshughulikia Mwakyembe. ni hatari sana ingawa Mungu kaingilia kati kamfanya ZEZETA kuongea kwenyewe shida. Pampasi,, 24 his. Ila Dr anahaki kuogopa hasa ukikumbuka Mtikila tayari hatunaye.Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
... Mbona tayari utabiri ulitimia mkuu. Hukuliona ZEZETA likijinyea kwenye kampeni?Huwa mnapuuza wanajimu, ila mtoto wa sheikh Yahya alishatabiri kurukwa kwa akili kwa kiongozi mmoja wa kisiasa nchini. Bado nafuatilia nijue alimtarget nani
Tatizo la dr siyo siasa....Mwanangu Dr. Slaa cyo level yako hata mwk. wako taifa analijuwa hilo.
Nandiyo maana hadi leo chama hakijapata katibu mkuu hata wa kumsogelea kwa asilimia 6% tu hajapatikana cdm. Ni Mungu amempa uwezo huo na simwingine ni mungu wake.
Na kwalevo ya Dr awezi kuja cdm kuomba msamaa huyu jamaa anamisimamo sana, nadiyo maana kasema choo kime jaa mavi yamepakuliwa na kuletwa chumbani, leo ishajionyesha.