Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Ccm wabaya sana, yaani wakishakutumia na kufanikisha mradi wao wanakusahau sio jina tu bali hata sura.
Hihihiiii mtaalamu wa saikolojia alione hili.Kuna kila sababu za kumpa ushauri nasaha Slaa vinginevyo tutampoteza au atapata maradhi ya akili!
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Hahahahaha..... yule mama noma. Nadhani ndo maana alishindwana na mme wa kwanza akaona bora ajikamatie zake padre wetuHivi ile acc yake ya jf bado password anazo mshumbuzi?
Na CCM wameshamtumia na kufanikiwa.... nao pia sioni sababu ya kumdhuru.Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma
alivyoingizwa mkenge na Magufuli
Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi?
Mkuu nakukubali sana kwa mabandiko yako, vilevile nakumbuka ukiwa mwalimu wangu ulikua unatupa lecture zenye data za kutosha na za uhakika. Ubarikiwe sana mkuu na usonge mbele.Kuna kila sababu za kumpa ushauri nasaha Slaa vinginevyo tutampoteza au atapata maradhi ya akili!
Awaambie ukweli wacanada kwamba ameshindwa kulipa deni na nyumba yake imepigwa mnada..
yote kwa yote..usaliti ni mbaya sana..hasa ukidanganywa na mama watoto
Watu mna maneno!!!! eti mzee mwenzieNaomba viongozi wakuu wa ukawa waitishe harambee tumchangie babu arudi bongo...ikiwezekana tumnunulie nyumba...na tumpe onyo kiwa sisiem hawafadhiriki na tumtakie maisha mema...pia wakati huo gwajima amwambie josephine aachane nae....tumtafutie bibi mwinzake waleane wasubiri siku....ndio maisha atafanyaje sasa..
Aiseee!Hivi ile acc yake ya jf bado password anazo mshumbuzi?
Alisababisha washindwe wanamwandama hadi leoHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Umeshawahi kuandikiwa check ukachukue hela toka kwenye closed account?Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
.Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Haha!Hahaha.....maandiko yametimia.
Ile dhambi imeanza kumtafuna.
Ningemshauri kabla hajaenda Canada aje kwanza kuzungumza na television kuhusu mkwamo wa demokrasia Zanzibar.Aweke yote hadharani.