Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Swala la lipumba...na dr slaa ni tofauti..

Mahangaiko yanayomsumbua dr ni mengi.... usaliti wa chama na kanisa... ni vitu hatari sana...

Lipumba anaweza kuomba msamaha akasamehewa ikumbukwe wakati anajiengua kwenye kiti chake bado hajakaa mbali na siasa...

Huyu dr makando ni mengi mara familia...mara chama...mara kanisa...mara bango la nyumba...
Hahaha watu kwa maneno ni noma
 
Mbona kijana wake Mzee Mwanakijiji karudi TZ nasikia?

Magufuli kagoma kumpa ubunge ina maana?

mbona Lipumba yupo na anadunda?
Iliripotiwa hapa JF kuwa, nyumba ya Dr. Mihogo na maharage inapigwa mnada. Kama hilo limefanyika arudi TZ kufanya nini? Waliopo TZ wanalia na Magu na Lukuvi kwa tingatinga zao ziko bizee kuwagawia wapiga kura wao "maisha bora".

Kama aliahidiwa ubunge au yale mavitu ya John Momose Cheo, "Mape...." na imegeuka ahadi hewa kwa nini arudi kuja kula Muhogo na maharage. Kama amemaliza masomo yake, aongeze kozi ingine, kozi ya ukimbizi.

Kwa kweli, Dr. aseme yeye anatokea Syria au Iraq na huko Isis wanacheza kibindankoe na wanataka mtu zote zicheze huo mziki na yeye kwa umri wake hawezi.

Hapana Dr, arudi bana ili tuungane kumuombea Magu.Magu anahitaji kuombewa ili asitumbukie katika kundi la wanafiki. Dalili zaonekana wanafiki wameanza kumkwamisha Hapanakazi tu.
 
Hivi CCM ilimnunua Dr Slaa kwa shilingi ngapi vile? Ok, ikiwa haijamnunua Dr Slaa....Kwahiyo alitoka UKAWA kwa utashi wake na kusimamia misingi ikiwemo kupinga ufisadi. Hivi mtu wa aina hii anawezaje kuitwa msaliti!? Kusimamia misingi sio usaliti....wale walio kiuka misingi ndio wasaliti wenyewe.

Ikiwa Dr Slaa kapewa pesa na CCM (Inasemekana CCM imempa mahela mengi mabilioni)...Je, mtu kama huyu ataweza kufa maskini!? Si lazima atakuwa na pesa hata ya kununua sio tu nyumba....bali majumba.

Hivyo kabla hatujatoa comments zetu tujaribu kufikiria kidogo...Unyumbu usiwafanye mtoe comments ili tu mjifurahishe. Ni upuuzi.

Note: Mimi binafsi sijali chochote kuhusu Dr Slaa. I am not his fun.
 
Kati ya CHADEMA na CCM ni yupi aliyeharibu future ya huyu Mzee? Jitahidi kufikiri kwa kina na utumie ubongo wako vizuri sio kufikiri kwa kutumia viungo vya kutolea haja kubwa.
Future yake imeharibika vipi!? Si mlisema CCM ilimpa Dr Slaa mabilioni ya pesa ili asaliti mabadiliko....Sasa mtu anayekupa mabilioni ana haribu future au anajenga future yako!? Labda kama mmebadilika kuwa CCM haikumpa Dr Slaa kitu chochote....Hapo nitakubaliana na wewe kuwa Dr Slaa kaingizwa chaka. Ila kama alipewa mabilioni....huyo tena sio mwenzako....Maana hata angebaki CHADEMA kwa miaka 10 ijayo....asingeweza kutengeneza pesa yote hiyo.
 
Hivi CCM ilimnunua Dr Slaa kwa shilingi ngapi vile? Ok, ikiwa haijamnunua Dr Slaa....Kwahiyo alitoka UKAWA kwa utashi wake na kusimamia misingi ikiwemo kupinga ufisadi. Hivi mtu wa aina hii anawezaje kuitwa msaliti!? Kusimamia misingi sio usaliti....wale walio kiuka misingi ndio wasaliti wenyewe.

Ikiwa Dr Slaa kapewa pesa na CCM (Inasemekana CCM imempa mahela mengi mabilioni)...Je, mtu kama huyu ataweza kufa maskini!? Si lazima atakuwa na pesa hata ya kununua sio tu nyumba....bali majumba.

Hivyo kabla hatujatoa comments zetu tujaribu kufikiria kidogo...Unyumbu usiwafanye mtoe comments ili tu mjifurahishe. Ni upuuzi.

Note: Mimi binafsi sijali chochote kuhusu Dr Slaa. I am not his fun.
HAMY-D
Hujambo ndugu?
Nani anamwita Dr. Mihogo msaliti? Sio, mimi kwa nini unanihusisha?
Unalaumu unyumbu, na unashauri tufikiri kidogo kabla ya kutoa comments,wewe ulifanya hivyo? Mbona umeandika upuuzi? Au umeandika nini? Mimi sijafahamu kitu katika uliyoandika.

Unasema Dr. Alihongwa mahela mengi, mabilioni? Kama hilo limefanyika akanunue kisiwa Caribbean huko ale malaha tu.
 
Bavicha mnamsumbua sana mzee wa watu, sijui kawakosea nini,ona sasa , nyie vijana hatari sana.Punguzeni hasira ,uchaguzi umepita .
 
Jamaa hawaaminiki hawa, usikute pamoja na kuwafanyia kazi nyingi kwa uaminifu tena bila hata ya kumkamilishia malipo yake kama walivyokubaliana, huenda walimpa assignment ya kwenda kuwa mwenyekiti mpya wa chama chs DP. Hapo akaona kuna namna akaishia kuomba ukimbizi (kama ni kweli)
 
Safi sana...tumu-wish Dr Slaa good life na hayo mabilioni (if the rumours are true) aliyopewa na CCM. Maana mwenzetu ni bilionea kwa sasa. Acha tu ale bata....Na sisi wengine tutafute vya kwetu.
HAMY-D
Hujambo ndugu?
Nani anamwita Dr. Mihogo msaliti? Sio, mimi kwa nini unanihusisha?
Unalaumu unyumbu, na unashauri tufikiri kidogo kabla ya kutoa comments,wewe ulifanya hivyo? Mbona umeandika upuuzi? Au umeandika nini? Mimi sijafahamu kitu katika uliyoandika.

Unasema Dr. Alihongwa mahela mengi, mabilioni? Kama hilo limefanyika akanunue kisiwa Caribbean huko ale malaha tu.
 
Ngosha alivyo mtata, hakawii kumpokonya. Abaki huko huko
Safi sana...tumu-wish Dr Slaa good life na hayo mabilioni (if the rumours are true) aliyopewa na CCM. Maana mwenzetu ni bilionea kwa sasa. Acha tu ale bata....Na sisi wengine tutafute vya kwetu.
 
Nimepata tenda kwenda kutembeza kichapo zenj. Mtoto wa mwalimu hawezi kufeli, tutafuta mtihani mara 30 ikibidi ila tunabana matumizi kuficha madubwana ya kule mjengoni.

Hivi ngosha hajafuta allowance zako aisee? Ngosha simuamini kabisa
Kati ya wewe na ngosha nani mtata!? Nakuona umeshika bunduki hapo....ukiwa na kibukta tu....
 
Yaani wabongo kweli hamnazo...vihabari uchwara mmevishadadia kwelikweli!

Kwa namna yeyote yule, ni punguani tu ndo hatambui uadilifu, umakini, uwezo, kazi na mchango wa Dr Slaa.
 
Hahahaaaaaaaa! !!!! Wana chadema bana chama chenu mkekivunjia hadhi kiasi ambacho hadi kina Chenge wanajiona wasafi! .....ndio kama chama kikuu cha wapinga ufisadi kinaongozwa na fisadi mkuu... Chenge aogope nini? CCM bado inalea ufisadi. ..chadema inamilikiwa mafia na fisadi !! Dr Slaa kwa uadilifu wake hawezi kuishi katika mazingira haya..kwakuwa atawasema tu wote...! Na hawatamuacha!
 
Back
Top Bottom