Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Kwa hili Rais wangu mtarajiwa Dr Slaa umetuangusha !Gwajima muhuni hakutakiwa kujuliwa hali hawezi kumtukana mtakatifu wetu Pengo halafu aonyweshe upendo .no no big Nooo

Hakuna mkristo anayepaswa kufikiri kuhusu visasi.
Usijenge chuki na adui yake.
Mwombee heri na Mungu atahukumu kwa mapenzi yake.
 
Waumini gani wanaoshangaa? Labda wewe peke yako na hilo lilikuwa tamko la maaskofu sio waumini. Waumini tutaangalia ni nini tunataka, kupiga kura ya ndio au hapana linatuhusu sisi waumini sio maaskofu watuamulie pigeni kula ya hapana.

Mpaka nimefikia umri huu nafanya maamuzi mimi mwenyewe sio askofu anisurutishe, jamani Tanzania yetu ni ya demokrasia.

Mkuu uko deep sawa sawa maaskofu wana mipaka yao.
 
pengo ana akili sana ila gwajima kwa umbumbu wake hakumuelewa.
Pengo tumemwelewa vema tu.Anataka tuachwe tuamue wenyewe kupiga kura ya ndio au hapana.Kusema hivyo ni kukubali kwamba katiba hii imepatikana kwa njia za halali,jambo ambalo sio sahihi.Ni sawa na kumwambia mtu awe huru kukubali au kukataa kula mavi badala ya kumwambia straight,"usile,hayo ni mavi."Hiyo ndio tofauti ya Pengo na wenzie.Sasa chagua mwenyewe ni nani mchungaji mwema hapo.
 
Naamini kuna watu wengi tu humu wanaongea bila ya kuangalia alichosema Pengo.

Pengo tumemwelewa vema tu.Anataka tuachwe tuamue wenyewe kupiga kura ya ndio au hapana.Kusema hivyo ni kukubali kwamba katiba hii imepatikana kwa njia za halali,jambo ambalo sio sahihi.Ni sawa na kumwambia mtu awe huru kukubali au kukataa kula mavi badala ya kumwambia straight,"usile,hayo ni mavi."Hiyo ndio tofauti ya Pengo na wenzie.Sasa chagua mwenyewe ni nani mchungaji mwema hapo.

Mkuu Athlete, umena vema kabisa.

Tamko la Maaskofu lilizingatia na kutambua kuwa weledi wa waumini wao (ama Watanzania) walio wengi kuwa hawana ufahamu mpana na wa kutosha wa kuisoma na wala uwezo wa kuponda kuponda yaliomo kwenye KATIBA. Serikali ya CCM ilitumia kila mbinu chafu kwa kutumia udhaifu wa ukihio (high illiteracy rate nchini) wa WaTanzania walio wengi kuwa ile ni katiba inayowafaa na Rais na Cabinet yake wamezunguka nchini kote (kabla official campaign date) kuwa wanaichi waipigie kura ya NDIYO.

Maaskofu baada ya kuifanyia mapitio na kujiridhisha wamewashauri waumini wao waipigie kura ya HAPANA. Watu wana sahau kuwa Maaskofu hawakusema waumini wasiiinde KUPIGA KURA.

Swali ni kuwa yeye Pengo kama aliloona ni hili la Maaskofu wenzie kupitia baraza lao kusema waumini waipie kura ya hapana ....Hili la Rais na Cabinet yake kupigia chapua katiba ile kuwa ndio inayowafaa WaTanzania na waipigie kura ya NDIYO hili yeye Pengo haliioni hiloooo?

Imefika Mahali Pengo kama hana bora la kuwaeleza waumini / Watanzania ni bora anyamaze na awe mtazamaji tu kama hataki kutukanwa. Kauli zake si msaada kwa WaTanzania wa leo wenye kukabiliwa na changamoto kubwa mbele ya maisha yao. Inahitaji watu wenye mapenzi mema kwa WaTanzania kujikwamua hapa tulipokwama leo. Watu wanaoweza kueleza watu ukweli na uhalisia wa jambo, badala ya kuwachanganya watu kwa kutumia udhaufu wa ufahamu wao.
 
We mbulula umevamia mada kwa hasira ingawa inaonyesha hujui chochote,hata huyo Gwajima mwenyewe humjui, uliwahi kusikia wapi Gwajima kajiita nabii?acha kuzua zua mambo hovyo kama mwanamke, Gwajima alimkemea pengo kwa kitendo cha pengo kuonyesha kuipigia debe mahakama ya kadhi ambayo walikubaliana kuipinga, yeye akasaliti, sasa wewe mbulula unatapika tu au unajisaidia? Malizia kujisaidia mkuu halafu uje tena

hujui unachokisema. kwani kwenye katiba inayopendekezwa kuna kipengele cha mahakama ya kadhi?
 
Mkuu Athlete, umena vema kabisa.

Tamko la Maaskofu lilizingatia na kutambua kuwa weledi wa waumini wao (ama Watanzania) walio wengi kuwa hawana ufahamu mpana na wa kutosha wa kuisoma na wala uwezo wa kuponda kuponda yaliomo kwenye KATIBA. Serikali ya CCM ilitumia kila mbinu chafu kwa kutumia udhaifu wa ukihio (high illiteracy rate nchini) wa WaTanzania walio wengi kuwa ile ni katiba inayowafaa na Rais na Cabinet yake wamezunguka nchini kote (kabla official campaign date) kuwa wanaichi waipigie kura ya NDIYO.

Maaskofu baada ya kuifanyia mapitio na kujiridhisha wamewashauri waumini wao waipigie kura ya HAPANA. Watu wana sahau kuwa Maaskofu hawakusema waumini wasiiinde KUPIGA KURA.

Swali ni kuwa yeye Pengo kama aliloona ni hili la Maaskofu wenzie kupitia baraza lao kusema waumini waipie kura ya hapana ....Hili la Rais na Cabinet yake kupigia chapua katiba ile kuwa ndio inayowafaa WaTanzania na waipigie kura ya NDIYO hili yeye Pengo haliioni hiloooo?

Imefika Mahali Pengo kama hana bora la kuwaeleza waumini / Watanzania ni bora anyamaze na awe mtazamaji tu kama hataki kutukanwa. Kauli zake si msaada kwa WaTanzania wa leo wenye kukabiliwa na changamoto kubwa mbele ya maisha yao. Inahitaji watu wenye mapenzi mema kwa WaTanzania kujikwamua hapa tulipokwama leo. Watu wanaoweza kueleza watu ukweli na uhalisia wa jambo, badala ya kuwachanganya watu kwa kutumia udhaufu wa ufahamu wao.

siku itafika baraza la maaskofu litawaambia waumini wao wasichague mgombea wa ccm wachague wa chadema! maumivu ya kichwa huanza polepole...
 
Padre Slaa na Askofu msela Gwajima wote lao moja wahuni tuh wezi wa wake za watu hao.

Hakuna mwenye utimamu wa akili anaeweza kuwapa dhamana hawa wahuni.
 
Mkuu wewe upo kambi Gwajima? Mimi nipo free kifikra nachangia kile ninachoana kwangu ni sahihi sina kambi mimi labda inawezekana haupendi ninachokiandika tuvumiliane ndiyo uhuru wa mawazo mimi sijawahi hata siku moja kuingilia fikra zako na mitazamo yako.

Twende kwenye ibada Ritz nashukuru umeanza kuona nguvu waliyonayo wakristo. Bila sisi kukubali hakuna cha mahakama ya kadhi.
 
Mkuu Athlete, umena vema kabisa.

Tamko la Maaskofu lilizingatia na kutambua kuwa weledi wa waumini wao (ama Watanzania) walio wengi kuwa hawana ufahamu mpana na wa kutosha wa kuisoma na wala uwezo wa kuponda kuponda yaliomo kwenye KATIBA. Serikali ya CCM ilitumia kila mbinu chafu kwa kutumia udhaifu wa ukihio (high illiteracy rate nchini) wa WaTanzania walio wengi kuwa ile ni katiba inayowafaa na Rais na Cabinet yake wamezunguka nchini kote (kabla official campaign date) kuwa wanaichi waipigie kura ya NDIYO.

Maaskofu baada ya kuifanyia mapitio na kujiridhisha wamewashauri waumini wao waipigie kura ya HAPANA. Watu wana sahau kuwa Maaskofu hawakusema waumini wasiiinde KUPIGA KURA.

Swali ni kuwa yeye Pengo kama aliloona ni hili la Maaskofu wenzie kupitia baraza lao kusema waumini waipie kura ya hapana ....Hili la Rais na Cabinet yake kupigia chapua katiba ile kuwa ndio inayowafaa WaTanzania na waipigie kura ya NDIYO hili yeye Pengo haliioni hiloooo?

Imefika Mahali Pengo kama hana bora la kuwaeleza waumini / Watanzania ni bora anyamaze na awe mtazamaji tu kama hataki kutukanwa. Kauli zake si msaada kwa WaTanzania wa leo wenye kukabiliwa na changamoto kubwa mbele ya maisha yao. Inahitaji watu wenye mapenzi mema kwa WaTanzania kujikwamua hapa tulipokwama leo. Watu wanaoweza kueleza watu ukweli na uhalisia wa jambo, badala ya kuwachanganya watu kwa kutumia udhaufu wa ufahamu wao.

Kama kuna mtu hajakuelewa hapa, atakuwa kipofu kama ' Mpanju' inabidi mwenye elimu ya maandishi ya vipofu atuandikie hapa ili akuelewe. Tunataka hoja za namna hii na ndipo tatizo la pengo linapoanzia. Nakushukuru sana umesema ukweli mtupu.
 
Dah hili nalo neno lakini ni afadhali kuamini sanamu lenye umbo la binadamu kama wewe kuliko kutumia pesa ya kigeni kwenda kuabudu jiwe jeusi huku maelfu kila mwaka wanakufa kwa majanga mara kukanyagana,mara joto kali....Imani kubwa zaidi ikiwa kwenye mambo ya mwili kuliko roho ambako ndo imani iliko, anayetumia muda mwingi kueneza propaganda na ushetani kwa dini ya mwenzake kuliko hata ile inayomhusu!

Ndivyo mnavyojazana ujinga huko makanisani siyo?

Sisi hatuabudu kitu chochote isipokuwa mungu mmoja tuh.

Nae ni yule muuumba wa mbingu na ardhi.

Makah tunaenda hijja kwa kuwa ni miongoni mwa nguzo kuu ya dini yetu tuliyoamrisha na mungu muumba.

1.shahada i.e kushuhudia kwamba hakuna apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa mungu mmoja muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na Muhammad ni mjumbe wake.

2.kuswali swala tano.

3.kufunga mwez wa Ramadhani.

4.Kutoa zaka.

5.kuhiji kwenye nyumba yake maka...i.e na huko ndiko ambako baba yetu nabiii ibrahim aliomba kwa Allah apafanye sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya mkusanyiko wa watu ulimwenguni kote na mungu akamjibu dua hiyo.

Enhee tueleze sasa wewe lile Sanamu lililoveshwa chupi na kutundikwa msalabani nani kakuambia uliite mungu??

Makafiri tumieni akili japo kidogo.
 
Arusha- baada ya Katibu Mkuu wa Ccm kutopokelewa vema na vijana wa Arusha wanao jishugulisha na biashara katika soko kuu la Arusha mjini katibu huyo wa ccm Kinana amewamuru mgambo na green gudes wawaondoe kwa nguvu nakuhakikisha hawaonekani tena katika eneo hilo

Hayo yalitokea Arusha wakati katibu huyo alipokua kwenye ziara yake Arusha. Alipita katika eneo hilo na vijana hao wakaanza kuimba nyimbo za ukombozi za Chadema na escrow escrow bila kusahau tunataka tembo wetu hayo ndio yaliyomkuta katibu huyo wa ccm nakuamuru vijana hao kuondolewa. Je kutounga ccm mkono ndio kuondolewa kwenye eneo lako la biashara?

Mwanahabari Huru

Unaonyesha wakati unaandika haya ulikuwa umepakatwa.Kinana azomewe kabisa Arusha? Ungetafuta habari ingine sio hii
 
Ndivyo mnavyojazana ujinga huko makanisani siyo?

Sisi hatuabudu kitu chochote isipokuwa mungu mmoja tuh.

Nae ni yule muuumba wa mbingu na ardhi.

Makah tunaenda hijja kwa kuwa ni miongoni mwa nguzo kuu ya dini yetu tuliyoamrisha na mungu muumba.

1.shahada i.e kushuhudia kwamba hakuna apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa mungu mmoja muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na Muhammad ni mjumbe wake.

2.kuswali swala tano.

3.kufunga mwez wa Ramadhani.

4.Kutoa zaka.

5.kuhiji kwenye nyumba yake maka...i.e na huko ndiko ambako baba yetu nabiii ibrahim aliomba kwa Allah apafanye sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya mkusanyiko wa watu ulimwenguni kote na mungu akamjibu dua hiyo.

Enhee tueleze sasa wewe lile Sanamu lililoveshwa chupi na kutundikwa msalabani nani kakuambia uliite mungu??

Makafiri tumieni akili japo kidogo.
Mungu alikwambia kuwa uwaite wenzako makafiri, matusi? Huyo Mungu sio mwadilifu kama aliamrisha matusi!
 
Back
Top Bottom