Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!

Ati "Mtumishi wa Bwana..." Bwana hatumikiwi na wenye midomo michafu kama huyu. Wewe na yeye mnamjua ni bwana yupi mnayemtumikia ila kwa hakika si Bwana Yesu Kristo!! Kweli siku za mwisho hizi maana hata ukianzisha kanisa la kubakana na kulawitiana humo humo kanisani hutakosa wafuasi wa kukuita Askofu na Nabii!!!
 
Hapo ndipo mawazo yako yamefika mwisho.

Unaona ni bora kuabudu mwanasesere wa kizungu mliemvisha nepi? Pole sana.

Vipi Gwajima, hajambo?
Misunderstanding...hakuna anyeabudu hiyo sanamu kama ujuavyo na ulivyoaminishwa wewe.Lile sanamu la askari uwepo wake pale mtaa wa Azikiwe unaelewa nini?Au ww una hasira kwasababu madume yenu yameahidiwa mabikira na uwezo wa kufanya uasherati na mademu wengi ilhali nyie viburudisho hamkuahidiwa kitu?Ww endelea kujali zaidi mambo ya mwili kuliko roho huku ukiamini kuua wasioamini utakacho ndo kwenda kuleee kwenye stock ya majini muyaabuduyo

Kuhusu Guu wajima si umuulize makata au subiani unayemtukuza
 
Na lile sanamu la askari unalolisema aliliweka nani kama si waabudu masanamu?

Halafu umeliona kila nyumba kama yule mwanaserere wa kizungu mlimyevisha nepi? Fikiri.

Unaona kuwa unpotea lakini ukweli unakuwa mgumu sana kuukubali. Pole sana, huo ndiyo usukule.

Ndiyo habari alizokuletea swahiba yake alipomtembelea?
 
Baraza linaongozwa kwa busara na weledi mkubwa. Maamuzi hufanyika baada ya tafakuri jadidi na mijadala yenye kina na mipana na yenye kuangalia na kupima athari na maslahi yaliyo mapana zaidi mbele ya safari ya maisha ya watu. Na kwa minajili hiyo ndio maana halikuwashauri ati Waumini Wagomee kupiga kura bali waipigie kura ya HAPANA. Kwa maneno mengine baraza lilitumia busara sana tu.

Na tukitaka kuzungumza kwa mapana na kisheria zaidi ni kuwa hata hlo 'scenario' yako kuwa ya eti Baraza kushauri waumini wake wasichague mgombea au Chama fulani au Wagoomee kabisa kwenda kupiga "KURA" kituoni pia bado baraza lingekuwa limetimiza haki zake za kisheria, kidemokrasia na hata kikatiba pasipo kuingia matatani na jinai.

Imefika mahala WaTanzania tutafakari na tutambue mambo yanayo tukabili kwa mapana zaidi. Tujijengee uwezo wa kuzifahamu haki zetu na pia tuwajibike kwa haki zetu pia badala ya kukubali kiwepesi wepesi tu kukubali kuburizwa na watu wa tabaka fulani au serikali isiyowajibika kwa watu kama vile wao ndio pekee wenye haki fulani fulani. Ndio maana kuna usemi kuwa... "Haki bila ya wajibu bado haki hizo haziwezi kuwa haki"

Mchango wako udumu leo kesho na hata milele amina.
 
Na lile sanamu la askari unalolisema aliliweka nani kama si waabudu masanamu?

Halafu umeliona kila nyumba kama yule mwanaserere wa kizungu mlimyevisha nepi? Fikiri.

Unaona kuwa unpotea lakini ukweli unakuwa mgumu sana kuukubali. Pole sana, huo ndiyo usukule.

Ndiyo habari alizokuletea swahiba yake alipomtembelea?
Uarabuni sanamu hakuna kwani?Mbona wale mashujaa wako wa Is wameyavunja kwani nayo yalikuwa ni ibada?Wewe akili yako umeiweka wapi au kwenye uchumia tumbo wa kuchinja mkiita ibada ili muondoke na cabin za wanyama?Anyway kuna kitu nilitaka nikukumbushe kuhusu imani yako lakini mie kama mkristu huwa naogopa wakati mwingine kuumiza hisia za wengine tofauti na wafuasi wa ibilisi.Nice week end.
 
Uarabuni pale Igunga, sijaona sanamu pale.

Naona ukweli umekuingia, hata neno mzungu ukitowa hiyo z linakuwa nini? Fikiri.
 
Waislamu Wanashangaza.. Mnaita wakristo"kafir "wakati mnaenda mashuleni kusoma elimu Yao.. Pathetic
 
Kwahili la kulindwa gwajima kova na serikali wamechemka kadinali pengo isiwe kisingizio kinacho wauma ni ushawishi wa kura ya hapana kama hivyo wahoji maaskofu wote na jumuiya zao ccm jamuendi na wakati watz sio wajinga tena tendeni kaki msitumie police kwa manufaa yenu huko mbele mtajuta.
 
Birds of a feather flock together.

Duuh! Lugha hii huitendei haki kabisa!! Tumia kiswahili, weka nahau, ngeri, misemo ya wahenga, nk.

Sahihisha hivi; Birds of feather flock together. Usiweke "a"
 
Hapa ndio muone unafiki wa huyu silaa padri mzinifu...alafu anataka kuwa rais labda rais wa kuzimu.
 
Misunderstanding...hakuna anyeabudu hiyo sanamu kama ujuavyo na ulivyoaminishwa wewe.Lile sanamu la askari uwepo wake pale mtaa wa Azikiwe unaelewa nini?Au ww una hasira kwasababu madume yenu yameahidiwa mabikira na uwezo wa kufanya uasherati na mademu wengi ilhali nyie viburudisho hamkuahidiwa kitu?Ww endelea kujali zaidi mambo ya mwili kuliko roho huku ukiamini kuua wasioamini utakacho ndo kwenda kuleee kwenye stock ya majini muyaabuduyo

Kuhusu Guu wajima si umuulize makata au subiani unayemtukuza

Kwani musa alipo ambiwa vua viatu miguuni mwako....mungu alimaanisha..rohoni?
kwel ukistaajabu ya musa utayaona ya makafiri.
 
I think gwajima hakuwa fair kwa pengo, Alichokisema pengo ni sahihi, uwamuzi wa kupiga kula ni wa mtu binafsi, where is the problem?
 
Mchungaji anapata kizunguzungu hatari sana, ina maana miujiza yake aimponyi mwenyewe.
 
Kwani musa alipo ambiwa vua viatu miguuni mwako....mungu alimaanisha..rohoni?
kwel ukistaajabu ya musa utayaona ya makafiri.
Ndo upumbavu wako ulipoishia?Kuwa na mambo ya kijinga kama kufanya uasherati,kuua watu ili ukapate mabikira 7 ndo viatu na wala maana sii straight kama ujuavyo.Maandiko yalinaposema ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto ww hapo kwa ujinga wako utaamini kwamba ndo ilivyo kumbe usilipize.Ilivyoandikwa ondoa boriti iliyo ndani ya jicho lako ili utoe kibanzi ndani ya jicho la mwenzio ww unategemea kuna siku jichoni vitu hivi vitakuwepo?Anyway nadhani ni kansa ya vipedo na damu za watu wenu mnaowaua.
 
Kwasababu una ukoma kwenye ubongo wako ndiyo maana ukawaza hivyo... Namaanisha hao unaowakashifu kwa dini yao ndiyo wenye hiyo lugha unayojitapa nayo hapo... Think big Kibibi

Ni nani huyo niliyemkashifu? mbona unanisukumia mambo si yangu? Unanshangaza.
 
Back
Top Bottom