Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

It is wrong kumtembelea Gwajima kwa upuuzi alioufanya.UKawa wamepotea.

Wewe ndo uko wrong meningitis, ukawa walikwenda kumjulia hali Mgonjwa hawakwenda kuunga mkono maneno makali aliyomtupia Pengo, kumbuka hapo kuna vitu viwili tofauti. Kuwa makini sana meningitis usije ukapata cerebral meningitis
 
Huyu mzee hili gwanda kalivaa au limemvaa? Mbona naona kama limetundikwa kwenye mti tu.

Acha ujinga unamaanisha Dr slaa ni mti siyo! Utakamatwa ukahojiwe maana umetukana! Jiandae muda wowote kuanzia sasa kova anakuvutia pumzi.
 
Na Gwajima asingemtukana Pengo, asingekuwa mzima?

Za leo Jabulani;
Naam! Sasa naona ni jino kwa jino! Kwa kifupi sana kuna kitu kinaitwa "asili ya chanzo cha tukio" hapa najikita zaidi kwenye chanzo. Nani alianza hapa?
 
Kwani Gwajima kapatwa na nini hadi kawa hospitali??
Mkuu kitimoto cha mahojiano ya polisi ndicho kilichomlaza huyu jamaa. Sijui walimwuliza habari gani huyu askofu ambaye haamini ulinzi wa roho mtakatifu mpaka anajilinda kwa bastola.
 
Za leo Jabulani;
Naam! Sasa naona ni jino kwa jino! Kwa kifupi sana kuna kitu kinaitwa "asili ya chanzo cha tukio" hapa najikita zaidi kwenye chanzo. Nani alianza hapa?
Nakupa mfano rahisi.
Wewe una shamba lako ambalo lilikuwa halijalimwa wala kupandwa zao lolote, na watu walikuwa wakipita katikati ya shamba lako kama njia ya mkato. Mwaka huu ukaamua ulime na kupanda mazao hivyo ukazungushia uzio ili watu wasikanyage mazao kwa mazoea ya kutumia ile njia ya mkato. Watu wakatafuta njia nyingine. Baadhi waliamua kutumia njia ndefu yenye usalama na baadhi waliamua wawe wanapita porini huko huko pembeni mwa shamba lako. Hapo pembeni mwa shamba lako kwa kuwa palikuwa hapatumiki kama njia, kulikuwa kumeota kichaka cha wastani. Matapeli wakagundua kuwa kuna watu wanatumia njia ile ya kichakani, nao wakaanza kuvizia wafanye utapeli. Siku moja wakati mtu mmoja akipita katika njia yenye kichaka, ghafla wakatokea matapeli wawili waliokuwa wamejificha kichakani. Wakamwambia wao ni walinzi wa ule msitu na hairuhusiwi mtu yeyote kupita pale. Wakamwamuru atoe fedha na mali zake za thamani alizokuwa nazo pale ili wamuache huru vinginevyo angepigwa. Aliposikia vitisho hivyo akapata hofu na kupoteza fahamu, akadondoka chini na bahati mbaya alidondokea jiwe, akapasuka sehemu ya kichwani na damu ikaanza kumvuja. Wale matapeli wakaona imeshakuwa ishu, wakakimbia na kumuacha akivuja damu nyingi bila msaada, hatimaye akapita mtu mwingine mwema akambeba na kumfikisha hospitali. Majeruhi anaendelea kutibiwa hadi sasa.

Katika mfano huu, nani alaumiwe kutokana na majeraha ya mgonjwa;
1. Ni mwenye shamba aliyelima na kuweka uzio na kusababisha majeruhi apite kichakani?
2. Ni majeruhi mwenyewe kwa kuwa aliona uvivu kupita njia ndefu lakini yenye usalama?
3. Ni matapeli waliomtolea vitisho kichakani?
4. Ni hela na mali alizohofia kupoteza?

Endeleaaa!
 
INJILI LAZIMA IENDELEE GWAJIMA AATASHINDA BWANA NDIYE MCHUNGAJI WAKE
images
images
images
images
NA KUNA WATU WATAOKOKA HAPAA WATAMINI YESU NI SEREMALA NA KUJAZWA ROHO
 
Meningitis acha ushenzi na uupunguze upumbavu ulio kichwan mwako, ulitaka utembelewe wewe?!,, kichwa chako kimejaa maji akili zinaogelea tu,,, jinnga kabisa weweee
 
Nakupa mfano rahisi.
Wewe una shamba lako ambalo lilikuwa halijalimwa wala kupandwa zao lolote, na watu walikuwa wakipita katikati ya shamba lako kama njia ya mkato. Mwaka huu ukaamua ulime na kupanda mazao hivyo ukazungushia uzio ili watu wasikanyage mazao kwa mazoea ya kutumia ile njia ya mkato. Watu wakatafuta njia nyingine. Baadhi waliamua kutumia njia ndefu yenye usalama na baadhi waliamua wawe wanapita porini huko huko pembeni mwa shamba lako. Hapo pembeni mwa shamba lako kwa kuwa palikuwa hapatumiki kama njia, kulikuwa kumeota kichaka cha wastani. Matapeli wakagundua kuwa kuna watu wanatumia njia ile ya kichakani, nao wakaanza kuvizia wafanye utapeli. Siku moja wakati mtu mmoja akipita katika njia yenye kichaka, ghafla wakatokea matapeli wawili waliokuwa wamejificha kichakani. Wakamwambia wao ni walinzi wa ule msitu na hairuhusiwi mtu yeyote kupita pale. Wakamwamuru atoe fedha na mali zake za thamani alizokuwa nazo pale ili wamuache huru vinginevyo angepigwa. Aliposikia vitisho hivyo akapata hofu na kupoteza fahamu, akadondoka chini na bahati mbaya alidondokea jiwe, akapasuka sehemu ya kichwani na damu ikaanza kumvuja. Wale matapeli wakaona imeshakuwa ishu, wakakimbia na kumuacha akivuja damu nyingi bila msaada, hatimaye akapita mtu mwingine mwema akambeba na kumfikisha hospitali. Majeruhi anaendelea kutibiwa hadi sasa.

Katika mfano huu, nani alaumiwe kutokana na majeraha ya mgonjwa;
1. Ni mwenye shamba aliyelima na kuweka uzio na kusababisha majeruhi apite kichakani?
2. Ni majeruhi mwenyewe kwa kuwa aliona uvivu kupita njia ndefu lakini yenye usalama?
3. Ni matapeli waliomtolea vitisho kichakani?
4. Ni hela na mali alizohofia kupoteza?

Endeleaaa!

Salamu Jabulani!
Hapa nitasimamia msimamo wangu kama Gwajima! Alaumiwe mwenye shamba aliyewaruhusu watu kupita akijua lile ni shamba la kilimo na si barabara.ghafla akaziba njia na luleta hadha kubwa kwa watu.

Alitakiwa atenge barabara ndani ya shamba lake na si kuziba njia. Akija kuvuna mazao gari litapita wapi?
 
kwani Lusinde na gwajima nani alitoa matusi makali, ila Lusinde alipongezwa akaitwa jembe
 
dr slaa amtembelea mshenga gwajima, hospitali
 
Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
attachment.php

'mshenga' katika ubora wake!
 
Back
Top Bottom