Weka picha
Sioni Kosa la Gwajima maana yeye alimkosoa Pengo na wale waliokuwa wakipotosha Mada kwamba wanaopinga Mahakama ya Kadhi ni Wakatoliki Pekee.Gwajima aliweka wazi kwamba wanaopinga MAHAKAMA YA KADHI ni Wakristo wote kupitia Tamko la Jukwaa la Wakristo.