Sikuelewi, tafadhali fafanua.
Waumini gani wanaoshangaa? Labda wewe peke yako na hilo lilikuwa tamko la maaskofu sio waumini. Waumini tutaangalia ni nini tunataka, kupiga kura ya ndio au hapana linatuhusu sisi waumini sio maaskofu watuamulie pigeni kula ya hapana.
Mpaka nimefikia umri huu nafanya maamuzi mimi mwenyewe sio askofu anisurutishe, jamani Tanzania yetu ni ya demokrasia.
Kwa taarifa yenu tu ni kuwa Kadinali Pengo pia amepanga kwenda kumtembelea Gwajima kama hatakua ametoka hospital. Andaeni ya kuongea.
Tafuta matusi ya Gwajima kwa PENGO utakutana nalo
We SiimK mbona CCM inatuambia tupige kura ya ndiyo inamaana sisi hatujakuwa kama wewe?!
Naamini kuna watu wengi tu humu wanaongea bila ya kuangalia alichosema Pengo.
Dr.Slaa alimtembelea hata Shekh Ponda baada ya kupigwa Risasi ya Bega.Huyu Jamaa ni Mkombozi na Kipenzi cha watanzania wanaonyanyasika.
Kwa hili Rais wangu mtarajiwa Dr Slaa umetuangusha !Gwajima muhuni hakutakiwa kujuliwa hali hawezi kumtukana mtakatifu wetu Pengo halafu aonyweshe upendo .no no big NoooAsalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.
Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
Tatizo Gwajima akiona macho ya misukule yake anajiona kama anahutubia dunia,haya mahojiano ya polisi sukari,presha,machozi na kupumua mfululizo kumempata.Nadhani akitoka itakuwa fundisho na atamuogopa mungu na hatojiita NABII tena!