Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Arusha- baada ya Katibu Mkuu wa Ccm kutopokelewa vema na vijana wa Arusha wanao jishugulisha na biashara katika soko kuu la Arusha mjini katibu huyo wa ccm Kinana amewamuru mgambo na green gudes wawaondoe kwa nguvu nakuhakikisha hawaonekani tena katika eneo hilo
Hayo yalitokea Arusha wakati katibu huyo alipokua kwenye ziara yake Arusha. Alipita katika eneo hilo na vijana hao wakaanza kuimba nyimbo za ukombozi za Chadema na escrow escrow bila kusahau tunataka tembo wetu hayo ndio yaliyomkuta katibu huyo wa ccm nakuamuru vijana hao kuondolewa. Je kutounga ccm mkono ndio kuondolewa kwenye eneo lako la biashara?