Nikimwangalia Mbowe, namuona Tony Blair, Kinana, Lissu, Dr Slaa, Lema, Mnyika na Zitto. Gwajima ni ingizo jipya

SANGAPIPI

Senior Member
Jun 25, 2013
195
250
Spin Doctor ni taaluma ya juu sana katika Ujasusi na ili mtu ujifunze ni lazima uwe na kipaji cha hali ya juu cha maswala hayo, ambacho kimsingi mtu huzaliwa nacho.

Kwa tafasiri pana ya kikoloni Spin doctor nikuwa, In politics, a spin doctor is someone who is skilled in public relations and who advises political parties on how to present their policies and actions. Synonyms: PR person, publicist, propagandist,

Nchini Marekani kuna mtu anaitwa Bob Bekwen, huyu ni jasusi wa CIA, ni alitumiwa kwenye maswala mengi ya ku spin mambo mengi ndani na nje ya USA hasa kubadili hali ya upepo wa kisiasa, msome katika kitabu cha Bush at War.

Pia Marekani kuna jamaa anaitwa Steve Bannon. Huyu anatazamwa na kundi la wanachama na wafuasi wa Democratic walioangushwa katika uchaguzi na Donald Trump, kama mtu mbaguzi wa rangi (White nationalist), mnyanyasaji wa wanawake, mwenyekiti wa zamani wa tovuti maarufu ya wahafidhina wenye mrengo mkali wa kulia wa Beirtbart, na sauti muhimu ya kundi hatari la "alt-right"... na baada ya Trump kufanikiwa kushika madaraka, alimtangaza kuendelea kuwa Chief of strategist (Mkuu wa mikakati) wa Rais Trump.

Kuna habari nyingi tu mtandaoni kuhusu Bannon hasa katika tovuti yake ya Beirtbart. Wafuasi wa Chama cha Democratic walimpiga propaganda kuwa Bannon ni mfuasi wa Milo Yiannopoulos - shoga la Kigiriki lenye "mdomo unaomwaga sumu muda wote," na kundi la "alt-right" lilivyofanikiwa kutumia mitandao ya kijamii "kulipa kisasi kwa Marekani kumchagua mtu mweusi Barack Obama kwa vipindi viwili." Wanasema sasa ni zama ya "Watu Weupe" (White people).

Huu ni mtazamo napropaganda tu za washindwa (Demokrasi) lakini hakuna uhalisia wa hili. Uzuri Marekani kusutani kupo, lakini unasutwa kisomi huku ukitabasamu, tofauti na Bongo ambako watu wanavaa sare kabisa za kusutia na wanakusuta hadi unakufa kabisa.

Nchini Urusi kuna mtu pia anaitwa Sergey Lavrov kwa sasa ni waziri wa Mashauri ya Kigeni, huyu ni jasusi wa shirika la ujasusi la FSB, huyu anatumika zaidi kwenye mashauri ya kidiplomasia. Sergey Lavrov mwenye umri wa miaka 69, Mwenye uso mpana na tambo za makamo, mwenye urefu 1.88 m, msomi wa elimu ya juu katika chuo cha Diplomasia cha Moscow State Institute of International Relations, ni mwanajeshi kikamilifu (komando) kutoka kikosi cha Jeshi la nchi ya Urusi kiitwacho "Spetsnaz". Sergey Lavrov ni mume halali wa Bi Maria Lavrova, na wanamtoto mmoja aitwaye Ekaterina Lavrova.

Uingereza imepata kuwa na watu wengi sana, lakini nitawatolea mfano watu wawili bwana Tony Blar, na Gordon Brown hawa wamewahi kushika kiti cha Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa nyakato tofauti, lakini kwa sasa wanatumika kama special spinning doctor ndani ya shirika la Ujasusi la nchi hiyo la M16, na vilevile wanatumika kwenye misheni iitwayo "IC" ya nchi hiyo ndani ya G8, katika hilo wameweza kusaidia taifa hilo kwa kiwango kikubwa.

Mwaka 1996 wakati wa mchakato wa Chama cha Labour nchini Uingereza kumpata Waziri Mkuu kuliibuka mvutano wa vijana majabali wa wili ambao ni Gordon Brown na Tony Blair, haki hii ilileta mpasuko mkubwa wa chama na wadasi wa mambo wanaufananisha mvutano ule na mvutano uliowakutanisha Jakaya Kikwete na Edward Lowassa mwaka 1995 ndani ya ccm.

Ukisoma itifaki ya Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na MI6 kwenye secret code ya dessition maker, kigezo kikuu cha kumpata kiongozi wa nchi (Waziri Mkuu) ni yule atakayekuwa na kifua kipata chenye kuhifadhi mambo mazito, yaani anayeweza kumudu kupokea siri za nchi na kutulia bila kuropokaropoka hovyo, kipengele hiki kiko pia ndani ya mashirika mengine ya ujasusi kama CIA, RAW, FSB, MSS, nk.

Bado sijasoma kitabu cha Blair, sina uhakika kama Blair Kwenye kitabu chake kaandika mgogoro wake na Brown uliolazimu ma Godfather wa Labour kuingilia kati na kuweka vigezo vipya vya nani awe Waziri Mkuu, vigezo hivyo ni nje ya kile kigezo kikuu ambacho ni "uwezo wa kupokea taarifu na taarifa nyeti za nchi", ambapo kiliwekwa kigezo cha Elimu, wote wakaonekana wasomi wa juu, kikawekwa kigezo cha Pesa, wote wakaonekana wana afya nzuri kifedha, kikawekwa kigezo cha sura yenye mvuto wote wakaonekana wazuri, (hili huzingatiwa sana na UK)

Kikawekwa kigezo cha hotuba thabiti, wote wakaonekana wazuri sana kwenye utoaji wa hotuba nzuri, kikaletwa kigezo cha mwenye mke mzuri, ikaonekana wote wanawake visu balaaa, na mwisho kikaletwa cha elimu za wake ndipo Tony akashinda... Brown akataka kung'aka jamaa wakamwambia tutakunyang'anya kadi. Kosa la Blair kuiingiza Uingereza katika vita vya Iraq ikawa mlango mkuu wa Gordon Brown kumg'oa kwakuinjinia bunge 24/6/2007...

Brown nae alihudumu mpaka uchaguzi wa 2010 chama chake kikapata aibu ya karne kwakupoteza viti 91 vya bunge, hali iliyopelekea miezi michache akajiuzuru 2010 na nafasi yake kuchukuliwa na David Cameron ambaye nae kura ya maoni ya Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya 2015 ilikuja kumuondoa na Bibi Teresa May kuingia mdarakani hadi sasa nae anaondoka madaraka kwakushindwa kuiondoa nchi hiyo kwenye umoja wa Ulaya na huenda Jeremy Corbyn akashinda kiti cha Waziri Mkuu.

Tanzania pia imekuwa na spin Doctor wazuri wengi mathalani Dr Slaa, Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Mnyika, Godbless Lema, Salumu Mwalimu nk. Pia yupo bingwa wa wote Tanzania, huyo sio mwingine ni Abdulahman Kinana, huyu ni mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania, ametumia kwa ufanisi mkubwa kipawa chake katika jeshi na siasa za kijani kwa nyakati zote ndani ya chama hicho cha Mapinduzi, lakini kipawa chake hakikuwahi kuwa na mafaa kwa nchi ya Tanzania zaidi ya angamizo kwa maslahi ya kisiasa.

Ingizo jipya katika medani hizi ni Mchungaji Gwajima huyu ni mmoja ya watu wachache duniani ambao ni special Spin Doctor ambao taifa limebahatika kuwa nao. Haimaanishi yeye ni jasusi, hakuna ushahidi wa hilo, lakini tendo alilolitenda lina sura na haiba ya kijasusi, laiti taifa lingemtumia kwa maslahi ya nchi kungekuwa na mafaa. Mtazame akisimama na kysungumza, anauwezo mkubwa wakubadili moja (1) kuwa saba (7), na mia saba na kumi (710), kusomeka Oil. Hivi ni vipawa watu wanazaliwa navyo na vinakuzwa na kulelewa katika darasa.

Bahati mbaya zaidi katika nchi ya giza, Spin Doctor wanaitwa wachochezi, hivyo wanaanriwa kushinda polisi, mahakamani na jela na ukibisha sana unazawadiwa kifo.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha Ujasusi,
Leo nakuzawadia nakala tano za kitabu cha Ujasusi popote ulipo kwa nusu bei 40,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.

Lipia 40,000 tu kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utalipia nauli.

Na Yericko Nyerere
IMG_20190618_094630_083.jpg
 
lanez

Member
Apr 18, 2019
35
125
Kiongozi itabidi nikutafute, hizi story naziwekaga kweny sauti...ili kuwalahisishia wavivu kusoma, sasa nahitaji madini zaidi !!!!!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,380
2,000

View attachment 1130613
Hahahaa...... Vunja bei copy moja mpelekee Daud Mchambuzi!
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,520
2,000
Nahisi kama umechanganyachanganya mambo, umewataja akina Sergei lavrov, Bob bekwen, labda na Putin ulipaswa kumuweka na story ikawa nzuri hapo juu, ulivyoanza kuwainiza akina Mbowe, Gwajima, lissu mara Kinana na Slaa hapo ndipo ulipoingia chaka. TANZANIA HAKUNA SPINNING BALI KUNA UJINGAUJINGA MWINGI KWA MASLAHI YA WACHACHE. Spinning hufanyika kwa faida ya taifa na si kwa faida ya siasa za chama fulani, UMEZUNGUMZIA LABOR PART KWENYE ISSUE YA GODON NA BLAIR huoni hapo kuna kitu kilifanyika kwa maslahi ya Waiengereza na si maslahi ya LABOR..

HUKU KWETU HAKUNA SPINNING BALI NI UGANGA WA KIENYEJI NA RAMLI CHONGANISHI CCM IENDELEE KUTAWALA.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,098
2,000
Spin Doctor ni taaluma ya juu sana katika Ujasusi na ili mtu ujifunze ni lazima uwe na kipaji cha hali ya juu cha maswala hayo, ambacho kimsingi mtu huzaliwa nacho.

Kwa tafasiri pana ya kikoloni Spin doctor nikuwa, In politics, a spin doctor is someone who is skilled in public relations and who advises political parties on how to present their policies and actions. Synonyms: PR person, publicist, propagandist,

Nchini Marekani kuna mtu anaitwa Bob Bekwen, huyu ni jasusi wa CIA, ni alitumiwa kwenye maswala mengi ya ku spin mambo mengi ndani na nje ya USA hasa kubadili hali ya upepo wa kisiasa, msome katika kitabu cha Bush at War.

Pia Marekani kuna jamaa anaitwa Steve Bannon. Huyu anatazamwa na kundi la wanachama na wafuasi wa Democratic walioangushwa katika uchaguzi na Donald Trump, kama mtu mbaguzi wa rangi (White nationalist), mnyanyasaji wa wanawake, mwenyekiti wa zamani wa tovuti maarufu ya wahafidhina wenye mrengo mkali wa kulia wa Beirtbart, na sauti muhimu ya kundi hatari la "alt-right"... na baada ya Trump kufanikiwa kushika madaraka, alimtangaza kuendelea kuwa Chief of strategist (Mkuu wa mikakati) wa Rais Trump.

Kuna habari nyingi tu mtandaoni kuhusu Bannon hasa katika tovuti yake ya Beirtbart. Wafuasi wa Chama cha Democratic walimpiga propaganda kuwa Bannon ni mfuasi wa Milo Yiannopoulos - shoga la Kigiriki lenye "mdomo unaomwaga sumu muda wote," na kundi la "alt-right" lilivyofanikiwa kutumia mitandao ya kijamii "kulipa kisasi kwa Marekani kumchagua mtu mweusi Barack Obama kwa vipindi viwili." Wanasema sasa ni zama ya "Watu Weupe" (White people).

Huu ni mtazamo napropaganda tu za washindwa (Demokrasi) lakini hakuna uhalisia wa hili. Uzuri Marekani kusutani kupo, lakini unasutwa kisomi huku ukitabasamu, tofauti na Bongo ambako watu wanavaa sare kabisa za kusutia na wanakusuta hadi unakufa kabisa.

Nchini Urusi kuna mtu pia anaitwa Sergey Lavrov kwa sasa ni waziri wa Mashauri ya Kigeni, huyu ni jasusi wa shirika la ujasusi la FSB, huyu anatumika zaidi kwenye mashauri ya kidiplomasia. Sergey Lavrov mwenye umri wa miaka 69, Mwenye uso mpana na tambo za makamo, mwenye urefu 1.88 m, msomi wa elimu ya juu katika chuo cha Diplomasia cha Moscow State Institute of International Relations, ni mwanajeshi kikamilifu (komando) kutoka kikosi cha Jeshi la nchi ya Urusi kiitwacho "Spetsnaz". Sergey Lavrov ni mume halali wa Bi Maria Lavrova, na wanamtoto mmoja aitwaye Ekaterina Lavrova.

Uingereza imepata kuwa na watu wengi sana, lakini nitawatolea mfano watu wawili bwana Tony Blar, na Gordon Brown hawa wamewahi kushika kiti cha Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa nyakato tofauti, lakini kwa sasa wanatumika kama special spinning doctor ndani ya shirika la Ujasusi la nchi hiyo la M16, na vilevile wanatumika kwenye misheni iitwayo "IC" ya nchi hiyo ndani ya G8, katika hilo wameweza kusaidia taifa hilo kwa kiwango kikubwa.

Mwaka 1996 wakati wa mchakato wa Chama cha Labour nchini Uingereza kumpata Waziri Mkuu kuliibuka mvutano wa vijana majabali wa wili ambao ni Gordon Brown na Tony Blair, haki hii ilileta mpasuko mkubwa wa chama na wadasi wa mambo wanaufananisha mvutano ule na mvutano uliowakutanisha Jakaya Kikwete na Edward Lowassa mwaka 1995 ndani ya ccm.

Ukisoma itifaki ya Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na MI6 kwenye secret code ya dessition maker, kigezo kikuu cha kumpata kiongozi wa nchi (Waziri Mkuu) ni yule atakayekuwa na kifua kipata chenye kuhifadhi mambo mazito, yaani anayeweza kumudu kupokea siri za nchi na kutulia bila kuropokaropoka hovyo, kipengele hiki kiko pia ndani ya mashirika mengine ya ujasusi kama CIA, RAW, FSB, MSS, nk.

Bado sijasoma kitabu cha Blair, sina uhakika kama Blair Kwenye kitabu chake kaandika mgogoro wake na Brown uliolazimu ma Godfather wa Labour kuingilia kati na kuweka vigezo vipya vya nani awe Waziri Mkuu, vigezo hivyo ni nje ya kile kigezo kikuu ambacho ni "uwezo wa kupokea taarifu na taarifa nyeti za nchi", ambapo kiliwekwa kigezo cha Elimu, wote wakaonekana wasomi wa juu, kikawekwa kigezo cha Pesa, wote wakaonekana wana afya nzuri kifedha, kikawekwa kigezo cha sura yenye mvuto wote wakaonekana wazuri, (hili huzingatiwa sana na UK)

Kikawekwa kigezo cha hotuba thabiti, wote wakaonekana wazuri sana kwenye utoaji wa hotuba nzuri, kikaletwa kigezo cha mwenye mke mzuri, ikaonekana wote wanawake visu balaaa, na mwisho kikaletwa cha elimu za wake ndipo Tony akashinda... Brown akataka kung'aka jamaa wakamwambia tutakunyang'anya kadi. Kosa la Blair kuiingiza Uingereza katika vita vya Iraq ikawa mlango mkuu wa Gordon Brown kumg'oa kwakuinjinia bunge 24/6/2007...

Brown nae alihudumu mpaka uchaguzi wa 2010 chama chake kikapata aibu ya karne kwakupoteza viti 91 vya bunge, hali iliyopelekea miezi michache akajiuzuru 2010 na nafasi yake kuchukuliwa na David Cameron ambaye nae kura ya maoni ya Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya 2015 ilikuja kumuondoa na Bibi Teresa May kuingia mdarakani hadi sasa nae anaondoka madaraka kwakushindwa kuiondoa nchi hiyo kwenye umoja wa Ulaya na huenda Jeremy Corbyn akashinda kiti cha Waziri Mkuu.

Tanzania pia imekuwa na spin Doctor wazuri wengi mathalani Dr Slaa, Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Mnyika, Godbless Lema, Salumu Mwalimu nk. Pia yupo bingwa wa wote Tanzania, huyo sio mwingine ni Abdulahman Kinana, huyu ni mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania, ametumia kwa ufanisi mkubwa kipawa chake katika jeshi na siasa za kijani kwa nyakati zote ndani ya chama hicho cha Mapinduzi, lakini kipawa chake hakikuwahi kuwa na mafaa kwa nchi ya Tanzania zaidi ya angamizo kwa maslahi ya kisiasa.

Ingizo jipya katika medani hizi ni Mchungaji Gwajima huyu ni mmoja ya watu wachache duniani ambao ni special Spin Doctor ambao taifa limebahatika kuwa nao. Haimaanishi yeye ni jasusi, hakuna ushahidi wa hilo, lakini tendo alilolitenda lina sura na haiba ya kijasusi, laiti taifa lingemtumia kwa maslahi ya nchi kungekuwa na mafaa. Mtazame akisimama na kysungumza, anauwezo mkubwa wakubadili moja (1) kuwa saba (7), na mia saba na kumi (710), kusomeka Oil. Hivi ni vipawa watu wanazaliwa navyo na vinakuzwa na kulelewa katika darasa.

Bahati mbaya zaidi katika nchi ya giza, Spin Doctor wanaitwa wachochezi, hivyo wanaanriwa kushinda polisi, mahakamani na jela na ukibisha sana unazawadiwa kifo.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha Ujasusi,
Leo nakuzawadia nakala tano za kitabu cha Ujasusi popote ulipo kwa nusu bei 40,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.

Lipia 40,000 tu kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utalipia nauli.

Na Yericko Nyerere
View attachment 1130613
Nganepi,Sangapipi,Nyeriko dah
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,662
2,000
Hivi watu wanadhani kuandika vitabu kuhusu mambo ya ujasusi ni rahisi namna hii? Huyu jamaa yuko kama dakika moja mbele. Ameeokoteza sentensi zisizo na mantiki yoyote hapa na pale ndiyo anaita kitabu cha ujasusi! Kweli Bongo kila kitu kinawezekana.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,599
2,000
nimesoma kwa makini hadi nilipofika kwa Jeremy Corbyn kuwa 'anaweza' kuwa next kushika kiti cha waziri mkuu wa UK ndio nikagundua umeandika chai tupu.
Corbyn aunde serikali kwa 'majority' ipi waliyonayo bungeni, next PM atatokea chama cha conservative / Tory cha Theresa May.
Next PM most likely atakua Boris Johnson au Jeremy Hunt.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom