Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Sasa Gwajima mkwara wote ule kuwa aogopi polisi Kova kumuangalia tu presha ikapanda na kuzimia, Pengo kwao ni Sumbuwanga alikuwa anajipanga kwenda kuonana na wazee, pro-Chadema mwambieni Gwajima amuombe msamaha Pengo yaishe.
 
We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...
 
Soon atajua kuwa Roman Empire inanguvu kiasi gani.... Akisalimika kwenye mikono ya Pinda, itamlazimu kumtolea Mungu Sadaka ....

We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...
 
Sasa Gwajima mkwara wote ule kuwa aogopi polisi Kova kumuangalia tu presha ikapanda na kuzimia, Pengo kwao ni Sumbuwanga alikuwa anajipanga kwenda kuonana na wazee, pro-Chadema mwambieni Gwajima amuombe msamaha Pengo yaishe.

... yaani Sumbawanga headquarters ya sorcerers? .. poor Gwajima
 
Kwani Gwajima ni Mwanachama wa CHADEMA? Matusi na Mikwara ya Pengo kwa Waislam vipi? kwanini huwa haiongelewi? au kwakuwa anatoka Sumbawanga? Gwajima alimpa Pengo za Uso vizuri sana ila aliharibu kwenye mahakama ya kadhi ...

Sasa Gwajima mkwara wote ule kuwa aogopi polisi Kova kumuangalia tu presha ikapanda na kuzimia, Pengo kwao ni Sumbuwanga alikuwa anajipanga kwenda kuonana na wazee, pro-Chadema mwambieni Gwajima amuombe msamaha Pengo yaishe.
 
Dr Slaa baada kumsakama Kikwete na familia yake kwa muda mrefu baada ya kuukosa urais,sasa hivi ameamua kupitia Gwajima amtukane PENGO baada kuona kuwa hajaunga mkono msimamo wa UKAWA kuhusu katiba iliyopendekezwa na suala la mahakama ya kadhi.

Kikwete anajjisakama mwenyewe kwa wizi, ubadhirifu, uzururaji, na general cluelessness. Haitaji msaada wa Slaa.
 
We need to pray for Pastor Gwajima, he is in a very critical condition but stable. All senior Pastors and his family are with him at TMJ hospital and Doctors have recommended him to be evacuated to Nairobi for further treatments. Hii ni kwa Mujibu wa Eng. Bihagaza, tumuombee huyu mtumishi Aisee, tone ya Msaidizi wake inatia simanzi. Will keep you all informed...

Akipigwa shoti ya umeme ataamka
 
Comment yako tu unaonesha ni mtu wa aina gani.ni nyerere ndio aliharibu hii nchii

Nyerere mwisho kutawala lini? Mnaiba sababu ya Nyerere? Kuua tembo sababu ya Nyerere? Kufanya biashara ya madawa sababu ya Nyerere? Hata kujilundikia phds ni sababu ya Nyerere.
 
Chadema imeanguka kisiasa ili kiendelee kuishi kwa matumaini kimeamua kiishi chini ya mwamvuli wa UKAWA na Kanisa la ufufuo na uzima..

Cdm wanatumia neno UKAWA kujijenga na kuuwa vyama vingine vya upinzani.
 
Dr Slaa baada kumsakama Kikwete na familia yake kwa muda mrefu baada ya kuukosa urais,sasa hivi ameamua kupitia Gwajima amtukane PENGO baada kuona kuwa hajaunga mkono msimamo wa UKAWA kuhusu katiba iliyopendekezwa na suala la mahakama ya kadhi.

Jinsi msivyo na akili umemsikia JK Leo?

"Serikali haitaanzisha mahakama ya kadhi, Kama waislamu wanaitaka waanzishe hakuna wakuwazuia isipokuwa Kama wanaanzisha waziendeshe wenyewe."

Haya hapa napo Slaa alimsubiri Pengo akatae wakati JK kapigilia msumari?

Utaishia kukimbilia ubwabwa na kubeba ndizi mbivu mifukoni na kwenda kunya tu akili na uwezo Wa kutambua unahitaji nn...wapi na lini huna.....
 
Kwani kufanya comparison ya level of development kunahitaji MTU uishi ktk vipindi vyote?

Leo tunafanya comparison ya karne ya 15 na Leo nani alikuwepo karne ya 15?

Simple question: nani kashindwa kutawala baina ya JK na Nyerere?

Mmoja alikuwa "haambiliki" lakini mwingine anaambilika na kila mtu, Lowasa, Rostam, mkewe, wanae, wauza madawa, wezi wa mali ya umma, majangili, waganga wa kienyeji.............
 
Kwani Gwajima ni Mwanachama wa CHADEMA? Matusi na Mikwara ya Pengo kwa Waislam vipi? kwanini huwa haiongelewi? au kwakuwa anatoka Sumbawanga? Gwajima alimpa Pengo za Uso vizuri sana ila aliharibu kwenye mahakama ya kadhi ...
Za uso zipi kumwambia Pengo anavaa pampers?
 
Gwajima atafufuka baada ya juma la saba.Halafu atapaa mpaka Mikocheni.
Sijawahi kuona nabii kunguru kama Gwajima, Unajua Kova alimwambia haya sema yote uliyokuwa unamwambia Pengo.

Kova amamuuuliza ulisema Pengo anavaa pampers? Gwajima akakanusha akasema wananisingizia.

Kova akamwambia niweke audio yako hapa Gwajima alivyosikia hivyo akaanguka chini wakampeleka hospital anahema ovyo utadhani scania.
 
Back
Top Bottom