Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Na Lowassa (na viongozi wengine wote akiwemo waziri mkuu) pia uenda kwa Gwajima. Inasemekana helkopta aliyonayo Gwajima imenunuliwa na Lowassa.

Alimpa nini mpaka amnunulie chopa?
 
Hivi yule Rahma Al-kharus malaika wa nyuki yuko wapi siku hizi? Naona mambo yote wakuu wa wilaya maana wana adabu wale hawatoi tezi.


Ahsante kwa kunikumbusha. Shida kwa magamba ni upeo mdogo au turufu yao ni uwoga wa waTanzania. Wanajua profesa wao ni mkali kuliko hao jamaa hao wawili, lakini wanajua kila mtu ataogopa kujibu. Huko wanakojifunza mbinu hizo za kijuha wanaambiwa usianzishe issue of which you are vulnerable, lakini magambaza are just too slow to learn.
 
Thubutu! Slaa akanyage Mtambani 😡

Uwe na uhakika unapocomment. Dr Slaa na baadhi ya viongozi wa Chadema walikwenda kupeleka msaada wa madawati na vitu vingine pale shule ya hapo Mtambani ilipoungua. Kwani Dr Slaa ana ugomvi gani na waislam hususan hao wa Mtambani?
 
Wagalatia bhana !.....huyu jamaa wa misukule alitukana wakatoliki wote !
Ingekuwa sisi katukanwa kiongozi wetu vile,.....heeeh 'tungefukuza mwizi kimya kimya' !
Naona unataka kuleta mihemuko humu.
 
Alimpa nini mpaka amnunulie chopa?
Sijui alichompa lakini inawezekana ni kile kinacho wapeleka wanasiasa na viongozi kwenye kanisa lake. Ni sawa na wanavyokwenda kwa yule wa Nigeria!
 
Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
naona cheap popularity tu humu.
 
Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
View attachment 238631Huyu hajamtenelea?
 
Naam,Mungu anasema usiabudu Miungu wengine wala kushikamana na njia zisizofaa.Kitendo cha MAHAKAMA YA KADHI kutaka kuingizwa kwenye Katiba ni sawa na kushirikisha wakristo kuabudu Miungu Mingine.Kitendo cha Kodi ya Mkristo na Mbunge wa Kikristo kuchangia Fedha na Mawazo ili kuboresha MAHAKAMA YA KADHI ni sawa na kumsaliti Mungu wao(YEHOVA) na kuanza kutumikia Matakwa ya Miungu wengine.Kama upo vizuri mimi nipo tayari kukurushia Vifungu vingi vya Biblia vinavyoonyesha jinsi gani MAHAKAMA YA KADHI ni ibada batili kwa Wakristo na hivyo haifai kuwashirikisha wakristo katika utekelezaji wake.Kwa hiyo Maaskofu wana uhalali wa kuwaambia Wakristo waikatae katiba inayowashirikisha kwenye IBADA YA miungu.

Funguka vifungu hivyo tuvione sio kuongea maneno matupu,..
 
Mafunzo ya mtu anayeitwa kaldinali ni tofauti kabisa na mafunzo ya kutoa Nigeria.Nguvu ya Kadinali kiroho ni kubwa kuliko wengi tunavyodhani.
Siku nyingine asirudie kumtusi mtu asiyemjibu,katika hili Ndg.Gwajima amejifedhehesha sana.

Kadinali ni binadamu kama wewe, hasa akiwa amepata mshiko wa Rugenikima kupitia Mkombozi Bank.
 
Birds of a feather flock together.

Hata ukiwa na dhambi kama lusifa,Ukitenda jambo moja tu linalomfurahisha MUNGU anakusamehe na kukubariki maradufu! shida ni sisi wana wa adam ambao bado tunaandamwa na royo ya KAHINI roho ya CHUKI,WIVU NA HUSDA!
 
#Mingoi ....take tht 100%...!!!


👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍


Kwa mwenye akili atajifunza jambo hapa.Kuanzia urafiki wa SLAA na GWAJIMA na kutukanwa kwa kardinali PENGO.Kwani hata mwanasheria wa Dr Slaa ndg John Malya ndio mtetezi wa Gwajima polisi.
 
Ndio hao aliosema Gwajima kuwa wanavaa pampers?

Nahisi ni wale wa Uhamsho ambao walidai kulawitiwa Wakiwa kituo cha Polisi.Waziri alisema wanachunguza kama ni Mchezo wao toka Zamani.
 
Unaona, umeshindwa kuelewa "idiom" nyingine.

Walikudanganya kuwa lugha zina dini na wewe ukakubali?

Unazidi kunihakikishia kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Uislamu na kiarabu ni kama samaki na maji, samaki ukimtoa kwenye maji chali na ibada msikitini bila kiarabu inakuwa haijakamilika.
 
Kwa taarifa yenu tu ni kuwa Kadinali Pengo pia amepanga kwenda kumtembelea Gwajima kama hatakua ametoka hospital. Andaeni ya kuongea.
 
Gwajima si alisema aogopi polisi kuhojiwa tu presha imepanda na kuzimia.

Hahaaaa......Gwajima kukutana uso kwa uso na MACHO YA KOVA....mavi debe....tena hapo Kova hajachukia wala...alikuwa anamwangalia tu...maana alikuwa anaona kama kakutana na LUCIFA...mkuu wa mashetani yote.....presha, kisukari, malaria, HBP, pumu, mkojo, mav, jasho, heart beat, vyoooote vimem attack from NO WHERE...na alikuwa hajawahi umwa magonjwa hayo....Dr. TMJ wanasema ana magonjwa yooote kwa mkupuo....!!!

Macho ya Kova, na bado....sasa tutamwambia KOVA akasirike ayatoe kisawa sawa, Gwajima akirudi central...atakufa on the spot...!!!
 
Back
Top Bottom