Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Kamtembelea mzinzi mwenzake.
Ni bahati mbaya sheria za jf zipo....
Kamtembelea mzinzi mwenzake.
Dr Slaa Vs Mahimbo =JOSEPHINE
Gwajima Vs Mbasa= FLORA
Ndege wafananao huruka pamoja.
Mchunge mkeo kwa usalama wa ndoa yako.
Kichwa cha maada hii kilitakiwa kiwe Viongozi wa dini wazinzi wakubwa wawili wakitembeleana TMJ
ponda yule firauni?
Kumbe si wa Bukoba bali ulipenda tu kujiita "Bukoba boy" ili uonekane wa maana! Duh!
Ndiyo maana mjinga mjinga.
Pitia hizi link uelimike japo kiduchu, siku nyingine usibishane nami kwenye lugha ambayo hata ndoto nnaota kwa lugha hiyo:
Birds of a feather flock together - meaning and origin.
birds of a feather flock together definition, meaning - what is birds of a feather flock together in the British English Dictionary & Thesaurus - Cambridge Dictionaries Online
Birds of a feather flock together - Idioms by The Free Dictionary
Urban Dictionary: Birds of a feather flock together
birds of a feather flock together - Wiktionary
Hivi shule ulienda kusomea ujinga?
Mchecheto,nabii mzima anaogopa jela.Hahahahahaaa😀😀
Hivi Ponda ni miongoni mwa wale mashehe wanaolawitiwa rumande?
Hata kama Gwajima kafanya makosa kwa 'kumrarua' mwadhama, bado ana haki ya kutembelewa hospitaliHata kama Pengo kafanya makosa Gwajima kama kiongozi wa dini akupaswa kumtukana Pengo kiasi hicho.
Hapana,safari hii wanataka kutaste cha nabii.Kitu adimu
kitendo cha ngwajima kumtukana kadinali wa kanisa catolic,kimemskitisha sana pope fransis na ametaka sheria ifuate mkondo wake.
Tatizo Gwajima akiona macho ya misukule yake anajiona kama anahutubia dunia,haya mahojiano ya polisi sukari,presha,machozi na kupumua mfululizo kumempata.Nadhani akitoka itakuwa fundisho na atamuogopa mungu na hatojiita NABII tena!
Hahahahahaha! Faiza unaotaga kikristo mie nilzani unaotaga kiarabu.
Maneno Mengi sana dada!! Take it easy...
Kichwa cha maada hii kilitakiwa kiwe Viongozi wa dini wazinzi wakubwa wawili wakitembeleana TMJ
Dr slaa muungwana sana hana makuu! Lakini pia Pengo ajirekebishe! Huwezi kusaini makubaliano baadae unazungumza na vyombo vya habari kwamba mimi sikuhusika wala sikuwepo kwenye kikao cha maaskofu; huyu pengo ni tatizo hapa .
Na Lowassa (na viongozi wengine wote akiwemo waziri mkuu) pia uenda kwa Gwajima. Inasemekana helkopta aliyonayo Gwajima imenunuliwa na Lowassa.Kwa mwenye akili atajifunza jambo hapa.Kuanzia urafiki wa SLAA na GWAJIMA na kutukanwa kwa kardinali PENGO.Kwani hata mwanasheria wa Dr Slaa ndg John Malya ndio mtetezi wa Gwajima polisi.