Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Ukiona mpaka wakina Ritz na wenzake wanamtetea Pengo wakati sisi Wakatoriki tunapingana haye jua kuna kitu sio bure hata kidogo. Leo mfumo kristo unatetewa?
 
Huyu Gwajima nilikiwa namsikia tuu.. Ila nilianza kupenda kwenye Audio aliyomtumia salamu CAG mpya kuhusu tuhuma za kujenga kamsikiti ndani ya ofisi ya serikali.

Sasa hivi nimezidi kumpenda Gwajima baada ya kuona video na audio zake zinazohusu mahakama ya kadhi especially kadinali Pengo. Kwa kweli kanisa la Tanzania linamtaka mtu kama Gwajima...

Mtu asiemungunya maneno... Kama ni nyeupe anasema nyeupe na kama ni nyeusi ni nyeusi tu. Kanisa la sasa linataka watu kama Gwajima ambaye anahubiri injili ya cash cash... Hakuna kukopeshana..

Watu kama huyu ndio watakalolitoa kanisa hapa lilipo na kulivusha ngambo na hatimaye kanisa kuzidi kunawiri ndani ya Tanzania. Inshaalah mwenyezi Mungu ampe wepesi Askofu Gwajima apone haraka aje apige Injili.
 
Ukiona mpaka wakina Ritz na wenzake wanamtetea Pengo wakati sisi Wakatoriki tunapingana haye jua kuna kitu sio bure hata kidogo. Leo mfumo kristo unatetewa?
Hakuna mahala nilipomtetea Pengo mie napinga matusi ya Gwajima.
 
Hakuna mahala nilipomtetea Pengo mie napinga matusi ya Gwajima.

Mkuu Pengo hakutukanwa Bali alipewa kalipio Kali kwa kuwasaliti wenzake. Ndio maana mpaka sasa Rais Wa TEC ambaye ndiye msemaji Wakanisa Katoriki nchini Tz hajasema lolote mbona Migiro alijibiwa kesho Yake baada ya kuona anapotosha ukweli?
 
Namsubiri aje ajibu....

Nani aliyefungulia wahuni lango la ikulu kuchezea rasilimali zetu....

Namsubiri anijibu Kati ya JK na Nyerere nani alifungulia fisi na mafisadi milango ya ofisi zetu za umma.

Atuambie nani muasisi Wa kashfa na mtetezi mkuu Wa MEREMETA...EPA...RICHMOND....ESCROW n.k n.k
FaizaFoxy kati ya Nyerere na JK nani kashindwa kuongoza nchi?

Gwajima?
Hizo zote porojo za kuubadili mjadala.

Wakati wa Nyerere na jinsi alivyokuwa mkatoliki unafikiri watu kama Gwajima na hawa wachungaji wa wajinga ndiyo waliwao walikuwepo?

Kuna wakati walianza kuhubiri mnazi mmoja, Nyerere akawaambia kama kweli mnaponesha kwa jina la Yesu, wagonjwa wapo Muhimbili na Ocean Road, nendeni mkawaponeshe kule si mnazi mmoja. Toka siku hiyo hawakuhubiri tena mpaka Nyerere anakufa Uingereza, hatujawaona.

Ndiyo maana nikakuuliza ulikuwepo wakati wa Nyerere? au unajazwa ujinga tu shuleni kwenu?

Tuulize tuliokuwepo wakati huo tukueleze mengi sana ambayo utafaidika. Na si kwenda kujazwa ujinga na kina Slaa na Gwajima, wachungaji waliokosa maadili, wanaodiriki kujiita wachungaji na kwenda kinyume na Ukristo wao wanaouhubiri, wote hao wamepora wake za watu.

Na wanaowafata hao hawana zaidi ya kuwa ni misukule tu.

Birds of a feather flock together.
 
Gwajima Mungu akupe nguvu. Ni mwendo Wa black and white. Kwa sasa ukitaka jamii yenye akili timamu ikupuuze na kukudhalau ni rahisi sana,jaribu hata siku moja kushabikia mambo ya hovyo ya CCM kama vile kupitisha katiba mpya na wizi Wa escrow. Hata kama ulikuwa unaheshimika namna gani heshima yako itashuka kwa Kasi ya ajabu kama vile ya Pengo ilivyoshuka mbele ya wakristo Tz hasa wakatoriki Wanaojitambua.
 
Mmoja alikuwa "haambiliki" lakini mwingine anaambilika na kila mtu, Lowasa, Rostam, mkewe, wanae, wauza madawa, wezi wa mali ya umma, majangili, waganga wa kienyeji.............

Naam, ni raisi wa wote hao, na wewe pia umo. Lakini ukijidai kwenda na magunia hakupokei, sijuwi nani aliwadanganya mkienda mmevaa magunia mtapokewa haraka haraka Ikulu? watu wengine akili zao sijuwi wameziacha wapi, kwenye viroba, no doubt.

Misukule ni misukule tu hata uifanye nini haielekei, eti bangi zao zimewatuma wakienda na magunia ndiyo watapokewa, wakaishia lupango, unaleta ujinga na Ikulu?

Vipi Slaa, aliwatembelea wale chadema waliopo jela kwa kumminya kende Khalid?
 
Wote ni wa dini moja wakristo tunamwabudu Mungu ktk utatu. Vp hali ya sheikh Ponda

Nyie mnamwabudu Mungu au sanamu la mzungu aliyevishwa nepi? hata haya huoni kusema "mwanasesere" ni mungu.

Vipi wale vijana waliomminya Khalid korodani zake, mmeenda kuwatembelea? au ndiyo mmewatosa kwa jina la Yesu?
 
Ukiona mpaka wakina Ritz na wenzake wanamtetea Pengo wakati sisi Wakatoriki tunapingana haye jua kuna kitu sio bure hata kidogo. Leo mfumo kristo unatetewa?

Hahahaha!! Wako kambi moja mkuu!
 
Huyo gawajima na makeke yake yoote na makuhani wake na mihemko kumbe ni joga kupita kiasi kuingizwa polizi tu kuhojiwa uharo debe taabani hajiwezi
 
Naamini kuna watu wengi tu humu wanaongea bila ya kuangalia alichosema Pengo.

Pengo tumemwelewa vema tu.Anataka tuachwe tuamue wenyewe kupiga kura ya ndio au hapana.Kusema hivyo ni kukubali kwamba katiba hii imepatikana kwa njia za halali,jambo ambalo sio sahihi.Ni sawa na kumwambia mtu awe huru kukubali au kukataa kula mavi badala ya kumwambia straight,"usile,hayo ni mavi."Hiyo ndio tofauti ya Pengo na wenzie.Sasa chagua mwenyewe ni nani mchungaji mwema hapo.
 
Gwajima aliongozana makao makuu ya polisi,ili kuhojiwa akiambatana na John Mallya wakili wa chadema,hii inachanganya kidogo.
Katika kuandikisha maelezo police, kama unaweza, nenda na mwanasheria ili akuongoze. Hayo maelezo yanaweza tumika kukutetea au kukuangamiza. Kuhusu CDM hilo ni chaguo la mtu
 
Kuna unshetani zaidi ya kuabudu mwansesere wa kizungu mliyemvesha nepi?

Jisomee: Woman Claims Time In Vatican Dungeon Satanic Rituals

Dah hili nalo neno lakini ni afadhali kuamini sanamu lenye umbo la binadamu kama wewe kuliko kutumia pesa ya kigeni kwenda kuabudu jiwe jeusi huku maelfu kila mwaka wanakufa kwa majanga mara kukanyagana,mara joto kali....Imani kubwa zaidi ikiwa kwenye mambo ya mwili kuliko roho ambako ndo imani iliko, anayetumia muda mwingi kueneza propaganda na ushetani kwa dini ya mwenzake kuliko hata ile inayomhusu!
 
Naam, ni raisi wa wote hao, na wewe pia umo. Lakini ukijidai kwenda na magunia hakupokei, sijuwi nani aliwadanganya mkienda mmevaa magunia mtapokewa haraka haraka Ikulu? watu wengine akili zao sijuwi wameziacha wapi, kwenye viroba, no doubt.

Misukule ni misukule tu hata uifanye nini haielekei, eti bangi zao zimewatuma wakienda na magunia ndiyo watapokewa, wakaishia lupango, unaleta ujinga na Ikulu?

Vipi Slaa, aliwatembelea wale chadema waliopo jela kwa kumminya kende Khalid?

Siyo rais wa wote. Ukiwa na fungu la kumpa utamwambia chochote kotokana na fungu lako, mradi na yeye ajinome. Mkono mtupu haulambwi, au vipi?
 
Back
Top Bottom