Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Nami nasema ni aheri kitojihusisha na ngono ungali hai ilikusudi ukifika peponi mabikra 72 wawe halili yako. Hii ndiyo sababu Mimi nanyetuka tu katika kipindi chote Cha maisha yangu hapa duniani.

Hata ukijihusisha haiathiri kitu. Ukienda kule unapata nguvu za wanaume 100.
 
Silimu , toa shahada

Ndiyo, Allah ndiye aliyeamrisha Tawaf katika Qur’an (22:29). Idadi ya mara 7 haikutajwa na Qur’an, bali imeelezwa na Mtume Muhammad ﷺ kupitia Sunnah. Waarabu walikuwa wanazunguka Ka‘aba kabla ya Uislam, lakini walikuwa wameipotosha ibada kwa shirki. Uislam haukuanzisha Tawaf, bali uliirejesha katika Tauhid kama alivyoamrishwa Nabii Ibrahim

Narudia swali.

Kwenye Quran kuna sehem allah alisema mzunguke kaaba mara 7?.

Jibu ni Hakuna.
Tuishie hapo.
 
Hujanielewa hoja yangu
Nimekuuliza tu maana kwa kejeli unajua kwaanini? Kwasababu ndio ulivyozoea,

KATIKA SWALI LAKO ULILO ULIZA UMEPINDISHA NA KUWEKA UONGO
PROPAGANDA, so why ufanye hivo?

Nionyeshe huo uongo na hiyo propaganda , Yesu hakuamrisha watu wasio wana israeli wapewe mafundisho yake , ushahidi huu hapa wa biblia

Mathayo 15:24 BHN​

Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 10.5-6

Mbwa ni wewe na mimi kwa mujibu wa Yesu


Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7.6

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Mathayo 19.28
 
Bro Kisai kwan ulikuwa hujui hili.

Haya chat gpt anasema hivi.
Mkiletewa hoja mnaishia kusema dhaifu au ushahidi.
Ushahidi wa kimazingira uko hapo.

👇👇👇
Kabla ya Uislamu, kabila la
Quraysh lilitawala Mecca na Kaaba ilikuwa kituo kikuu cha kidini kilichojaa masanamu, likijumuisha miungu mkuu kama Hubal na mabinti zake watatu, Allāt, al-'Uzza, na Manāt, pamoja na miungu mingine 360 iliyoabudiwa ndani na kuzunguka Kaaba, ambayo ilikuwa ishara ya ibada ya ushirikina hadi Mtume Muhammad alipoifungua na kuondoa masanamu hayo, akirejesha Kaaba kwa ajili ya Mwenyezi Mungu pekee.

Ushuhuda wa Kihistoria na Dini ya Kabla ya Uislamu:

- Kaaba kama Kituo cha Kidini: Kabla ya Uislamu, Kaaba ilikuwa mahali patakatifu ambapo makabila mbalimbali yalikuwa yakiweka masanamu ya miungu yao, na Quraysh, walioitawala Mecca, walikuwa walinzi wakuu wa eneo hili.
- Miungu Mbalimbali: Dini iliyokuwa imeenea ilikuwa ushirikina, ikiwa na miungu mikuu kama Hubal (mungu wa mwezi), na miungu ya kike ya nguvu: al-Lāt, al-'Uzza, na Manāt.
- Sanamu 360: Inasemekana kuwa kulikuwa na masanamu 360 yaliyowekwa ndani ya Kaaba, yakionyesha ibada ya miungu mingi (polytheism) kabla ya kuwasili kwa Uislamu.

Ushahidi wa Kitabu:

- Uharibifu wa Masanamu: Vitabu vya Kiislamu vinasimulia kuwa Mtume Muhammad alipoingia Mecca kwa ushindi, aliamuru masanamu yote yaharibiwe, jambo lililoashiria mwisho wa ibada ya ushirikina na kurudisha Kaaba kwa ibada ya Mungu mmoja (Allah).

Kumbe huwa unakimbia hoja tu kusingizia Chart gtp kumbe ndiko unakofanya kazi 😛 😛 😛
 
Dini zote ni uongo.

Uislamu ni uongo.

Ukristo ni uongo.

Allah hayupo.

Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.
Macho huona, masikio husikia, pua hunusa, ulimi huonja, ngozi huihisi, akili huchakata na kukupa majibu kutokana na maarifa yako na ikiwa viungo vyako vinafanya kazi sawasawa, unaweza kuona mazigazi ukadhani ni maji. Yaani umetumia njia ya mkato katika jambo linalohitaji usomi.
Lakini umekasirishwa na nini mpaka umefikia hapo ulipofikia?
 
Chamsingi maiache kuhiji..Saudia inahitaji sana hizo hela za utalii na kuwauzia maji ya zamzam
 
Sasa mbona unahamisha hoja tena ? Uarabu ni utamaduni, ada na desturi. Uislamu ni njia sahihi kufika kwa Allah.

Waarabu katika ada zao ilikuwa mtu akipata watoto wa kike, wanawauwa, Uislamu ukaja kukataza jambo hilo. Sasa leta mifano hai.
Rejeo la nilichojibu kkmetokana na wewe kusema Quran ipo kwenye lugha ya kiaarabu na sio uarabu. Jibu langu kwako likawa unatenganishaje kiarabu na waarabu? Mfano wake ndio ukawa huo wa kichagga na wachagga

Unasema waarabu kabla walikua wanaua Watoto wa kike Ila uislamu ukaja kukataza jambo hilo? Hata uislamu usingekuwepo hilo jambo lisingeendelea miaka yote

Huku mababu zetu walikua wakitembea uchi na wengine kuvaa magome ya miti, wakoloni wakaleta nguo. Hii maana yake ukoloni ni mzuri?
Wamisionari walikomesha biashara ya utumwa huku, maana yake tuwasifie wamisionari kwa hilo?
 
Umepanick brother.
😂😂😂😂

Ww haujui Uislam.
Hayo ni maarifa nakuambia ili ujue.
Kuwa Dini yako ni patatu papatu.
Imeokoteza mising ya dini nyingne.
Kuna kitu cha maana cha maana kilichoandikwa kwenye Bibilia zaidi ya huyu alimtomba huyu akamzaa huyu
Hivi hushangai nyinyi nyani weusi mliletewa upupu na wazungu huku waisraeli wenyewe hawauamini
Tangu lini dini iazie nchi nyingine halafu ichakachuliwe na kufanywa ya kizungu halafu wewe sokwe mtu unapuyanga tu unafuata wakati waisraeli wenyewe mpaka leo hawaamini na wala hawajui bibilia nini

Leta hapa vifungu vya Quran vinavyotoka kwenye huu upupu unaitwa bibilia?

Bibilia imeshindwa kusimama yenyewe inajinasibisha na Torati ya Jews ambao hawataki kabisa kuingizwa kwenye huu upuou wenu mnaita bibilia
Kila siku mko bize kujinasibisha ili muonekana yale mataputapu yaliyobumbwa na wavatikani yaonekane ni maneno yenye asili yake na Torati, na kwanini muweke Torati na kujifanya kuita agano la kale wakati Torati haiwahusu hao wa vatikani.

1769011303020.png
 
Leta hapa vifungu vya Quran vinavyotoka kwenye huu upupu unaitwa bibilia?

Bibilia imeshindwa kusimama yenyewe inajinasibisha na Torati ya Jews

Na sisi hatutatak Waislam mjinasibu na Wakristo.
Kila mtu abaki na dini yake.

Alaf Makebo kwakuwa haujatukana ngoja nianze kujibu
Hizi hoja zako 2 hapo juu.
na uzitafakari.

Quran inataja mitume 25.
  • Mitume 21 ni wayahudi na wako kwenye Biblia. Ambayo ilikuwepo miaka 600 kabla ya Uaislam.
  • Mitume 4 ni waarabu.

Sasa ni nani anajipendekeza kwa mwingine?.
  • Manabii na mitume hiyo 21 ina mistar na visa kwenye Biblia.
  • ni nani sasa ametegemea mwingne kwenye kusimama kwake?.
 
Ukiprove kuwa nimeitoa AI naingia ukristo hapahapa

Usikimbie hoja kwa visingizio vya AI , Hiyo nimewajibu wakristo humu hata kabla ya kuanza hiyo AI

Ile aya ni ya kuchakachuliwa soma biblia ya NIV utaona
A.
Alianza na Wayahudi, akamalizia kwa ulimwengu wote.

Yesu alizaliwa chini ya Agano la Israeli (Warumi 15:8).
Ahadi za Mungu zilianza na Israeli (Mwanzo 12:3).
Ndiyo maana alisema:
“ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.” (Mathayo 15:24)

Lakini hiyo ilikuwa hatua ya kwanza, si mwisho.

Baada ya:
kifo
kufufuka
kutimizwa kwa agano

Ujumbe unafunguliwa kwa mataifa yote (Mathayo 28, Luka 24).

Hii si kujipinga, ni mpango unaokua kwa hatua.

Mfano rahisi: Darasa la 1 → Darasa la 7

Sio kubadilika mawazo, ni kuendelea mbele.

B.
Sehemu ya Marko 16:9–20 ina mjadala wa maandishi, lakini agizo la kuhubiri ulimwengu wote halitegemei sehemu hiyo.

Ukweli:
, Marko 16:9–20 haipo kwenye baadhi ya miswada ya kale
lakini:❌Agizo hilo halipo Marko peke yake
Lipo pia:

Mathayo 28:19–20
Luka 24:46–49
Matendo 1:8

Hata kama ungeiondoa Marko 16 kabisa, ujumbe haupotei.

Hivyo kusema “liliongezwa” ≠ kusema “halikutoka kwa Yesu”.


C.
Paulo si mtunzi, ni mpokeaji wa mapokeo.

Katika 1 Wakorintho 15:3 anasema wazi:
“niliyoyapokea…”

Hii ni lugha ya mapokeo ya kale, si ubunifu.

Wanazuoni wengi (hata wasio Wakristo) wanakubali:

Kipande hiki ni cha miaka 2–5 baada ya kifo cha Yesu
Kabla hata Paulo hajaanza huduma yake

Zaidi ya hapo:
Paulo alithibitishwa na Petro, Yakobo na mitume (Wagalatia 1–2)
Kama angeleta “injili tofauti”, angekataliwa

Paulo hakuanzisha Ukristo, aliutangaza.

D.
Kufufuka ni imani ya awali kabisa ya Wakristo, si ubunifu wa baadaye.

Ushahidi:
1 Wakorintho 15 (mapokeo ya mapema sana)
Mashahidi wengi (Petro, mitume, ndugu 500)
Adui wa awali (Paulo mwenyewe) alibadilika
Hakuna mwili uliowahi kuonyeshwa kupinga dai

🔥 Kama kufufuka kingekuwa hadithi:
Wayahudi wangeivunja mapema
Warumi wangeizima kirahisi
Mitume wasingekufa kwa kile walichojua ni uongo

Watu hawafi kwa kile wanachojua ni uongo.


Jamaa unachukua hoja halali za kitaaluma, lakini unazivuta hadi kwenye hitimisho ambalo ushahidi hauungi mkono.

Au kwa lugha ya mtaa kidogo 😄

Ni nusu-mkweli unayevusha mipaka ya ukweli.

Yesu alianza na Israeli kwa mpango, akapanua kwa ulimwengu baada ya kufufuka. Agizo la mataifa yote halitegemei Marko 16 pekee, Paulo hakubuni imani bali alirithi mapokeo ya awali, na kufufuka ni imani ya mwanzo kabisa ya Wakristo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kote kote naona hali hiyo hiyo. Wanaotapeliwa na kuhani mussa hawana tofauti na wanaotapeliwa na kina sheikh Kishk.

Majuzi sheikh Kishk akiwa anatoa mawaidha alisema peponi mwanaume wa Hali y chini kabisa atapewa mabikra watatu, bikra zao zitakua zinajirudi kila baada ya tendo.
Kwa akili ya kawaida wewe unaona hiyo Ni kweli? Lakini watu wanaamini kweli peponi watapewa bikra
Baada ya hapo sheikh kishki akawauzia nini waumini wake??
 
Na sisi hatutatak Waislam mjinasibu na Wakristo.
Kila mtu abaki na dini yake.

Alaf Makebo kwakuwa haujatukana ngoja nianze kujibu
Hizi hoja zako 2 hapo juu.
na uzitafakari.

Quran inataja mitume 25.
  • Mitume 21 ni wayahudi na wako kwenye Biblia. Ambayo ilikuwepo miaka 600 kabla ya Uaislam.
  • Mitume 4 ni waarabu.

Sasa ni nani anajipendekeza kwa mwingine?.
  • Manabii na mitume hiyo 21 ina mistar na visa kwenye Biblia.
  • ni nani sasa ametegemea mwingne kwenye kusimama kwake?.
Kwanza ngoja nianze na wewe
Wewe mmatumbi weusi tii, pua kubwa na nywele za kipilipili tangu lini umekuwa myahudi tunakuiga ?

Halafu umengangania bibilia, unadhani wayahudi wanaamini hio hio bibilia, mpaka leo wanajua upupu wa wazungu na wala hauna nafasi katika dini yao, hujiulizi kwanini ni kama hakuna ukristo Israel na wakristo mpaka leo hii wanapelekewa moto na wayahudi?

Sasa kama wayahudi hawaamini bibillia, Torati inafanya nini kwenye upupu wa bibilia kwa kujipa jina la agano la kale, ina maana bibilia haikamiliki bila Torati, wakati wenye Torati hawaitaki bibilia.

Unaposema Quran imeiiga kwenye bibilia, yaani wewe utoe maandiko ya torati halafu uyapachike kwenye bibilia, na Quran inapo elezea mitume wa zamani wanatumia Torati, hapo ndio useme Quran imetoa maadiko kwenye bibilia,
Kwa uijnga wako uliolishwa upupu na wachungaji wako, unadhani hakuna kitabu cha Torati kinachojisimamia chenyewe, na Wayahui mpaka leo wanatumia nini?
alikudanganya Torati inatoka kwenye bibilia? kweli wagalatia weusi ni vilaza
 
Macho huona, masikio husikia, pua hunusa, ulimi huonja, ngozi huihisi, akili huchakata na kukupa majibu kutokana na maarifa yako na ikiwa viungo vyako vinafanya kazi sawasawa, unaweza kuona mazigazi ukadhani ni maji. Yaani umetumia njia ya mkato katika jambo linalohitaji usomi.
Lakini umekasirishwa na nini mpaka umefikia hapo ulipofikia?
Macho kuona, masikio kusikia, pua kunusa, ulimi kuonja, ngozi kuhisi, akili kuchakata. Havina uhusiano wowote na Mungu.

Kuvihusisha viungo hivi vya mwili na habari za huyo Mungu ni kufanya logical fallacy inaitwa non-sequitur.

Una unganisha vitu visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
 
Dini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.

Shida hamna akili, mara ngapi watu wanajua kitu fulani ni dhambi na wanakifanya ?

Mmekuwa na chuki dhidi ya Waislamu mpaka mmekuwa wajinga.

Nani asiyejua ya kuwa wizi au uzinifu ni jambo baya, na watu wanafanya ?

Dini yetu sisi haiwategemei Wasaudia, wala waarabu wowote, Bali dini yetu sisi ni Qur'an, Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Kalombwe huko
 
A.
Alianza na Wayahudi, akamalizia kwa ulimwengu wote.

Yesu alizaliwa chini ya Agano la Israeli (Warumi 15:8).
Ahadi za Mungu zilianza na Israeli (Mwanzo 12:3).
Ndiyo maana alisema:
“ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.” (Mathayo 15:24)

Lakini hiyo ilikuwa hatua ya kwanza, si mwisho.

Baada ya:
kifo
kufufuka
kutimizwa kwa agano

Ujumbe unafunguliwa kwa mataifa yote (Mathayo 28, Luka 24).

Hii si kujipinga, ni mpango unaokua kwa hatua.

Mfano rahisi: Darasa la 1 → Darasa la 7

Sio kubadilika mawazo, ni kuendelea mbele.

B.
Sehemu ya Marko 16:9–20 ina mjadala wa maandishi, lakini agizo la kuhubiri ulimwengu wote halitegemei sehemu hiyo.

Ukweli:
, Marko 16:9–20 haipo kwenye baadhi ya miswada ya kale
lakini:❌Agizo hilo halipo Marko peke yake
Lipo pia:

Mathayo 28:19–20
Luka 24:46–49
Matendo 1:8

Hata kama ungeiondoa Marko 16 kabisa, ujumbe haupotei.

Hivyo kusema “liliongezwa” ≠ kusema “halikutoka kwa Yesu”.


C.
Paulo si mtunzi, ni mpokeaji wa mapokeo.

Katika 1 Wakorintho 15:3 anasema wazi:
“niliyoyapokea…”

Hii ni lugha ya mapokeo ya kale, si ubunifu.

Wanazuoni wengi (hata wasio Wakristo) wanakubali:

Kipande hiki ni cha miaka 2–5 baada ya kifo cha Yesu
Kabla hata Paulo hajaanza huduma yake

Zaidi ya hapo:
Paulo alithibitishwa na Petro, Yakobo na mitume (Wagalatia 1–2)
Kama angeleta “injili tofauti”, angekataliwa

Paulo hakuanzisha Ukristo, aliutangaza.

D.
Kufufuka ni imani ya awali kabisa ya Wakristo, si ubunifu wa baadaye.

Ushahidi:
1 Wakorintho 15 (mapokeo ya mapema sana)
Mashahidi wengi (Petro, mitume, ndugu 500)
Adui wa awali (Paulo mwenyewe) alibadilika
Hakuna mwili uliowahi kuonyeshwa kupinga dai

🔥 Kama kufufuka kingekuwa hadithi:
Wayahudi wangeivunja mapema
Warumi wangeizima kirahisi
Mitume wasingekufa kwa kile walichojua ni uongo

Watu hawafi kwa kile wanachojua ni uongo.


Jamaa unachukua hoja halali za kitaaluma, lakini unazivuta hadi kwenye hitimisho ambalo ushahidi hauungi mkono.

Au kwa lugha ya mtaa kidogo 😄

Ni nusu-mkweli unayevusha mipaka ya ukweli.

Yesu alianza na Israeli kwa mpango, akapanua kwa ulimwengu baada ya kufufuka. Agizo la mataifa yote halitegemei Marko 16 pekee, Paulo hakubuni imani bali alirithi mapokeo ya awali, na kufufuka ni imani ya mwanzo kabisa ya Wakristo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Ukiiuliza chart GTP iambie ikuandike vizuri

Katika tafsiri ya Biblia iitwayo Harper's Bible Commentary inasema:

"Kama lipo jambo lolote katika uchunguzi wa Injili ambalo juu yake wataalamu wamekubaliana, ni kuwa kufika hapa (yaani Marko 16.8) Injili ya Marko inakoma.

Sehemu iliyobaki ya sura (yaani 16.9-20) ndio hiyo iitwayo "Kimalizio kirefu" cha Injili.

Kimalizio hicho hakionekani katika nakla za miswada ya zamani, na ambacho ni nyongeza iliyopachikwa katika karne ya pili kutokana na maongezo ya Mathayo, Luka na Matendo...ushahidi wa kale kabisa ulioandikwa juu ya Kufufuka (Yesu) haumo katika Injili bali katika barua ya kwanza ya Paulo kuwapelekea Wakorintho 15.3-8."

Maneno hayo ya Paulo aliyowaandikia Wakorintho na ndio mara ya kwanza kutajwa kufufuka kwa Yesu ni haya:

Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maaandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala; badaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.

1 Wakorintho 15.3-8

Ikiwa kipande chote tangu mstari 9 mpaka mstari 20 katika sura 16 ya Injili ya Marko, kimepachikwa, basi kisa chote cha kufufuka Yesu kimebuniwa. Mwenye kubuni kisa hichi ni Mtakatifu Paulo. Hivyo ndivyo tunavyoweza kuagua kutokana na kuisoma Biblia, kwani maandishi ya kwanza hayamo katika Injili bali yamo katika barua ya Paulo kwa Wakorintho.

Amesema Craveri katika kitabu cha Maisha ya Yesu:

"Paulo alijihakikishia mwenyewe kuwa ijapokuwa Yesu ni kweli alikufa, lazima awe amefufuka, akiuwacha mwili wake wa kidunia nyuma ili avae mwili wa 'kiroho'...

Paulo alichanganya mawazo yake mwenyewe ya kikafiri kafiri ya Yesu kuwa na maisha mapya kwamba ni malipo yake kwa mema yake, pamoja na imani ya Kiyahudi ya kuwajibika mapatano na Yehova (Mungu) na agano la pili.

Kwa hivyo Paulo akafunza kuwa ndiyo haya hasa yaliyokuwa ni kazi ya Yesu, na hicho ndicho cheo chake machoni mwa Mungu: kafara ya nafsi yake kwa utakatifu wake na kutokuwa na dhambi kwake ili afutie kwa pamoja makosa ya wote."

Ikiwa basi msingi wa hadithi nzima ya kufufuka Yesu hadi ya ubora wake ni kuwa ni ya shaka shaka - licha ya kuwa ni wazi kuwa ni ya uwongo - hapana njia ya kuamini ya Kuwa Yesu wakati wo wote katika historia aliwahi kuamrisha watu "Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu," kwa sababu haya hakuyasema ila baada ya huko kunakoambiwa ni kufufuka.

Katika Biblia ya Kiswahili iliyo mbele yangu iliyotangazwa na The British and Foreign Bible Society 1950 kifungu cha Marko 16 tangu mstari wa 9 mpaka mwisho yaani mstari wa 20 kimetiwa katika mipinde miwili hivi ( ) kuonyesha kuwa maneno hayo hayakuwamo katika maandiko ya asili.

Ilivyokuwa imethibitika kuwa hayo ya Marko si madhubuti, basi yaliyonukuliwa na Mathayo na Luka juu ya mambo hayo ya kufufuka, na kuamrisha kwenda kuhubiria watu wa ulimwengu, na kuutaja Utatu, yote hayo ni baatili.

Kwa muhtasari tunaona kuwa Biblia inashuhudia kuwa Yesu alikuwa ni Nabii aliyetumwa na Mwenyezi Mungu kwa Waisraili waliopotea njia.

Hadithi ya kuwa aliamrisha mafunzo yake yakatangazwe kwa watu wote "kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu" imebuniwa na kuongezwa mwishoni mwa Injili tatu za Mathayo, Marko na Luka.

Kadhaalika kuwa Yesu alifufuka kutoka wafu kwa njia ya kimiujiza imeongezwa, na kauli ya Utatu basi ya kuwa mafunzo yakatangazwe "kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu" pia nayo imebuniwa na wala haina asili yo yote ya kweli.
 
Back
Top Bottom