Do you believe in love? ❤️

Do you believe in love? ❤️

Upendo haununuliwi kijana

Achana na hizo biashara za waranguzi
Hata huyo unaenona kafata pesa kwako kuna mtu anampenda na hapindui
Nimetoa maoni tu maana naskia wakilalamika huko mtandaoni ila mimi sijawahi kuuziwa, nikiona dalili za kutangaziwa biashara naacha vumbi tu eneo la tukio
 
Ngekua sina sijui matatizo yangu ngesolve vipi, make nikiwa na highest level of stress kinachoniokoa ni 🥒🥒 nikifanya Kuna energy naihisi inatoka kabisa napata nafuu nakua mpya sana.

Kwakweli Mungu kanipendelea kwa namna ya kipekee HALLELUJAH
Trauma hii😂😂 utakufwaa vibaya nakuhurumia wewe
 
katika unyonge nilionao, umaskini umaskini nilio nao, elimu kidogo niliyonayo, mavazi na makazi yangu duni niliyonayo, kuna mwanamke anaweza kuniamini na kunipenda kweli mimi?
nadhani nastahili upendo wa Mungu pekee,

hata hivyo,
ukinipenda kwa matendo kwenye mazingira na hali ya hewa inayoruhusu, siwezi kujivunga au kukawia hata kwa sekunde moja kujibu mapigo ya upendo huo on the spots. :1Head:
Mkuu naona unarusha doano🤣😂 mdogo mdogo Tlaatlaah safi sana
 
What is love?🤔😪🙇🏿‍♂
 
Upendo wa kweli upo kwenye pesa na Tungi mengine mbwembwe tu na maumivu
 

Attachments

  • Screenshot_20260630_175119_Gallery.jpg
    Screenshot_20260630_175119_Gallery.jpg
    192 KB · Views: 6

Similar Discussions

Back
Top Bottom