Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,906
- 6,890
I believe in Love bhana, Mke niliyenaye kwa kweli ananipenda tena sana tu hadi naona kabisa ! Anajali sana kuhusu mimi yaan hata nikwame vipi huwa ananitia Moyo.
Tumepata mtoto mmoja, tumetafuta wa pili bila mafanikio ila bega kwa bega , Ma mtu namwelewa sana ! Mwaka wa 11 sasa miaka mitatu ya urafiki na uchumba , Miaka 8 ya ndoa.
Naahidi sitamwangusha 😍
Tumepata mtoto mmoja, tumetafuta wa pili bila mafanikio ila bega kwa bega , Ma mtu namwelewa sana ! Mwaka wa 11 sasa miaka mitatu ya urafiki na uchumba , Miaka 8 ya ndoa.
Naahidi sitamwangusha 😍