Do you believe in love? ❤️

Do you believe in love? ❤️

hakuna namna ukwepa upendo na kuhisi kupenda ama kupendwa matokeo ya upendo ni pale huna thamani, hupendwi, usaliti, manyanyaso hivyo tunahitimisha hakuna upendo ila upendo wa kweli huishi na kuonekana kwa wapendanao
Sawa so we upo in love sehemu au kuna mtu unaona yupo in love kwako
 
hiyo nyimbo nimekumbuka niliwah andika kwenye daftari la bios advance na sanjari na hilo ulikuwa miongoni mwa nyimbo zilizochezwa pale URU SEMINARY wakati wa kupata cha mtume kwenye graduation niliambatana na kitindamimba ndege secretarybird
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom