kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,069
- 7,508
Utaniumiza tu mwisho wa siku.....hahahNjoo tupendane nitakupenda mpka basi 🥰
Utaniumiza tu mwisho wa siku.....hahahNjoo tupendane nitakupenda mpka basi 🥰
Ushauri wako nimeuchukua kuufanyia kazi niachie mimiNdio uolewe sasa miaka 20 hio ndio panakua pamoto hapo usisubiri ufike 40 patakua pamepoa
Nimefurahi kusikia hivyo!Safiiiii hongera kwa babu mdinya kobe kukurithisha upendo
Asante sana keep it up, you're very sincerelyYes i do… Sababu was i am love, and i was raised by a very loving mother.. I mean very!
Niseme kwa uchache tu upendo wa kweli upo.Wewe kusema aah🤣
Unataka kusemaje Mkuu? 😅😅😅Kama hukuanza naye utotoni huku juu ni Kuokotana tu.
View attachment 3619044
Sweetie❤️ Gold heart 💛Yes i do… Sababu was i am love, and i was raised by a very loving mother.. I mean very!
Sasa hujasema jambo hili lina mtu au bado lipo wazi ili mashababi wa jf wajae wanakufikiaje kutimiza lengo la kumsaka anko wa jfUshauri wako nimeuchukua kuufanyia kazi niachie mimi
Fayaaa 🔥.Kama hukuanza naye utotoni huku juu ni Kuokotana tu.
View attachment 3619044
Thank you ❤️Asante sana keep it up, you're very sincerely
Kuna ukweli hapa watu tunapenda wapenzi wa watuKama hukuanza naye utotoni huku juu ni Kuokotana tu.
View attachment 3619044
Babe sis ❤️Sweetie❤️ Gold heart 💛
Poleee sana usiachee kuwalaani walikuumiza🤣🤣Mimi nimetumia muda mwingi kupenda wengine na kutaka wengine wanipende mimi matokeo yake ni ujinga
Kila la kheriKwa sasa nawekeza nguvu zote kwenye kujipenda mwenyewe kwanza mengine baadaye.
Dah sasa itakuajeDunia hii ya utandawazi siyo ya kuamini kwenye mapenzi hata kidogo.
Naogopa kuna kikosi kikiwasha data ntakosa pakujificha.Unataka kusemaje Mkuu? 😅😅😅
Tu focus na mada mkuu🙏Sasa hujasema jambo hili lina mtu au bado lipo wazi ili mashababi wa jf wajae wanakufikiaje kutimiza lengo la kumsaka anko wa jf
Ukutane na mwanamke ambaye hajawahi kuumizwa na mtu, utaenjoy. Ukikutana na chuma kimenolewa kikawa kikali, utakoma😀😀Ndio uolewe sasa miaka 20 hio ndio panakua pamoto hapo usisubiri ufike 40 patakua pamepoa
Mungu ni pendo ndugu mdau,Asante mdau
Nakuheshimu pia
Kuamini katika Mungu hakufanyi nisikupende wewe kama umenivutia (Jokes
Na sio makosa kuamini katika upendo Mungu kaagiza upendo right 🐒
