ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,869
- 39,939
Do you believe in love? ❤️
Wadau, mnaamini kweli katika upendo wa kimahaba, au siku hizi ni hadithi tu?
Je, kuna mtu unampenda? Anajua hilo? Na unahisi anathamini upendo wako au hauoni kabisa?
Au wewe unapenda kimya kimya kwa kuogopa kuumizwa?
Labda umeamua kuachana na mapenzi kabisa na kuwekeza nguvu zako kwenye kazi, biashara, kilimo au kutafuta maisha.
Au unajidanganya tu kwamba huna unayempenda? 😉😁
Kwa upande mwingine, kuna sehemu unahisi unapendwa kweli? Au unaona ukipendwa na mama yako tu, hiyo inatosha?
NB: Wale wa hela kwanza, mapenzi baadaye msikimbilie kusema hivyo
🤣 Hela tunazitafuta s, lakini mapenzi nayo ni sehemu ya maisha.
ShesRise_1 ❤️💋🤚
Song Meddy Slowly