ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,972
- 40,088
- Thread starter
- #161
Safiii
Safiii
Ni huko kwa wadudu nimeelewa sasa kwanini una hizo akili za AyatolahKaribu tukanywe mbege hapa kwa mama Monetary doctor hapa Tarakea.
Eeeh babaaanguuNdroo hivyo babaangu!
Karibu katikati ya migomba ujisikie nyumbani kabisa.Ni huko kwa wadudu nimeelewa sasa kwanini una hizo akili za Ayatolah
Unaishi migombani😀Karibu katikati ya migomba ujisikie nyumbani kabisa.
Usipochanganyikiwa mwakahuu nimekaa paleeeeeeeeeeee...Weee Jichanganye!Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila mapenzi ndiyo kila kitu...
Odilia anamguu mzurrrii! (Kwa sauti ya Mzee Shoo)Eeeh babaaanguu
Kabisa yaani 🔥.Unaishi migombani😀
Sijawahi kukuamini yaan😀Kabisa yaani 🔥.
Ana mguu mzuri sana na paja fulani hv huku chura alikuwa anaitwa madam chura oyaah magie shaa mtoto wa pale rombo mamsera alikuwa hot vibaya mno 🤣Odilia anamguu mzurrrii! (Kwa sauti ya Mzee Shoo)
Niamini tu, maana Sina namna nyingine ya kukuthibitishia.Sijawahi kukuamini yaan😀
Yaani yule Mage mwenye kiuno cha dondora alinifanya ninyetuke kile nilipomtia machoni. We acha tu! 😋.Ana mguu mzuri sana na paja fulani hv huku chura alikuwa anaitwa madam chura oyaah magie shaa mtoto wa pale rombo mamsera alikuwa hot vibaya mno 🤣
Shenzii wewe haya poa🔥Niamini tu, maana Sina namna nyingine ya kukuthibitishia.
❤️❤️Shenzii wewe haya poa🔥
Inabidi tuanze kufurahia ya kwetu sasa....karibu tungalie mpira wa FranceFuraha yangu nikuona mapenzi ya watu
Jamanii 🤭🫣Inabidi tuanze kufurahia ya kwetu sasa....karibu tungalie mpira wa France
Bado haujaanza....hadi saa 6 kamili....Jamanii 🤭🫣
Asante nani anaongoza saiv nipo kwa bed hata siangalii
Ooh ok tukutane kwenye jukwaa la sportsBado haujaanza....hadi saa 6 kamili....