Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Hivi bado ni balozi huyu?
Kumbe nj mnafiki kabisa! Siasa ni mchezo mchafu kabisa. Huwezi kufanikiwa kisiasa bila kucheza rafu kwa maneno au kwa matendo!!!
 
Umeandika Mambo ya msingi. Hakuna official documents iliyokataza mikutano ya hadhara. Kama ilikuwa inaweza kufanyika kila kitu kwa mdomo, uteuzi ungefanyika kwa mdomo
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Huyu mzee ameshakosa mwelekeo bora angekaa kimya kulinda heshima yake. Kipindi Magufuli akiwa hai mbona hakunyanyua mdomo wake na aliufyata hatimaye akapewa ulaji. Sikutegemea angekuwa mtu wa dizaini hii, hawa wazee ni aibu sasa watabaki kutukanwa na watoto wadogo.
 
Wanaompinga Dr. Slaa waoneshe official document kipindi cha Magufuli iliyosema katazo la mikutano ya siasa.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Slaa amrudishie Magu zile pesa walizo mhonga ili akimbie Chadema. Shida yote hii iliyo tupata utawala wa Magu Slaa na Pengo hawawezi kukwepa lawama. Mingubata wahukumu sawasawa na matendo yao.
 
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.

Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.

Msikilizeni Dr hapa chini.

Bado anatafuta uteuzi?

Hii nchi imekuwa ilivyo sasa kwa sababu ya watu kama huyu asiyejua kipi anakisimamia maishani mwake.

Kwa hiyo leo ndio amegundua ubatili wa hayo aliyoyafanya Magufuli; mbona hakuhoji alipokuwa anahongwa hongo ya ubalozi?
BTW: Huko ubalozini alifanya jambo lipi la manufaa kwa nchi aliyoiwakilisha kwa muda wote aliokuwa huko. Anaweza kutaja hata jambo moja tu?

Ninashangaa sana bado kuna watu wanampa 'relevance', hadi ya kuleta takataka zake hapa jukwaani.
 
Huyo Slaa panapomfaa ni hukohuko aliko, loyalty kwanza huo upuuzi unaouita hoja ndiyo mambo ya kuwa na
serpent kundini.
 
Dadadadeki...angekuwepo yule mwamba angepanua kende zake kuongea hayo?? Siasa bila unafiki sio siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…