Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,923
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
Yeye kama mtu au ofisi ya makamu wa Raisi?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Du ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!Yeye kama mtu au ofisi ya makamu wa Raisi?
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Hilo tangazo la siku nyingi sana...Daaah ukiwa mwana ccm buana akili sijui zinaendaga wpDu ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!
Yaani Mzee wa watu hana baya. Nakuombea Dr. Mpango,itakuwa faraja kukusikia na kukuona.Du ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!
Ndyo ofisi inaweza kualikwa kwa mfano kama alialikwa kwa cheo cha makamu wa Rais means anaweza kuwakilishwa kama hatokuwepo...Du ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!
AseeeNaamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakikishwa!.
P