CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Ndo maana tunataka tumpate kiongozi Mpya abadilishe huu uchafu katiba ya zamani,tupate katiba Mpya, sa hizi ilitakiwa madaraka yakabidhiwe judge mkuu,ye aombe kura Mpya..JPM bado ni Rais mpaka muda huu ana mamlaka ya kufanya jambo lolote la maendeleo kwa taifa, so kutangaza hiyo tenda ya barabara amefanya kama Rais na si mgombea. Tambua JPM mpaka muda huu ana kofia mbili 1. Rais wa TZ 2. Mgombea, so lazima ujue kutofautisha position zake hizi. Sawa mkuu.
Ndiyo hayo tunayoyakataa ... Nchi haitakiwi kuendeshwa kama familia. Bajeti ikishapitishwa kila fungu linajulika linakwenda wapi na lufanya nini. Siyo hii ya mpaka fulani atambelee ndiyo pesa ipelekwe. Sasa kule kwetu Koromije ambako hakupita inakuwaje?Akitoa pesa kwa Tume na kusema , Mpango uko wapi, peleka pesa tume haraka Kaijage anataka kuchapisha karatasi za kura.
Bado chadema watasema Rushwa wakati ni utekelezaji wa bajeti waliyokimbia kuipitisha
Magufuli ametumwa na Mungu kuja kutukomboa kama Musa alivyotumwa kwa wana wa Israel
Safi bajeti ya mwaka huu hiyo inatekelezwa
Acha kumfananisha Musa na vitu vya ajabu.Magufuli ametumwa na Mungu kuja kutukomboa kama Musa alivyotumwa kwa wana wa Israel
Jiwe tangu lini likasikiaYaaani Mungu anatuonesha waziwazi na mchana kweupe kuwa huyu mtu hafai! Huwezi kuwa na Raisi asiyeheshimu sheria ndogo tu za uchaguzi sasa kwenye mambo makubwa tusiyoyajua huwa anafanyaje???
Tuna sababu zaidi ya 1000 za kumpiga chini magufuli mwaka huu!!
Magufuli ametumwa na Mungu kuja kutukomboa kama Musa alivyotumwa kwa wana wa Israel
Mkuu, kama KATIBA iliyopo haiheshimu, hiyo mpya ndiyo ataiheshimu?Katiba mpya inahitajika haya mambo yananiudhii
Watumishi ni nukta ya wapiga kura!kwadalili hizi huenda kesho au keshokutwa mshahara wa wafanyakazi ukaongezwa maradufu